Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / June / 22

Daily Archives: June 22, 2018

MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA YAONGEZEKA

6

Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi jengo la kuchuja damu kwa wenye matatizo ya figo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo. Waziri wa Afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi miongozo ya Bodi …

Read More »

DK. KIGWANGALLA ATIMUA WAVAMIZI KWENYE PORI LA AKIBA SWAGASWAGA

CW4A6516

Video Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akizungumza na wananchi wa kijiji cha Handa katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma jana, alipotembelea kijiji hicho kwa ajili ya kutatua mgogoro kati yake na Pori la Akiba Swagaswaga.    Na Hamza Temba-WMU-Chemba, Dodoma …………………………………………………………………………… Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI TANZANIA

Jeshi-la-polisi-Tanzania

TANGAZO LA AJIRA. Jeshi la Polisi Tanzania linatangaza nafasi za ajira kwa mwaka wa fedha 2017/2018 kwa vijana wa JKT wa Operesheni Kikwete waliopo nje ya kambi za JKT (waliomaliza mkataba wenye elimu ya kidato cha nne, sita, stashahada, stashahada ya juu na shahada. Waombaji watatakiwa kuwa na sifa zifuatazo: …

Read More »

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UONGOZI WA CHAMA CHA WANASHERIA TANGANYIKA (TLS) OFISINI KWAKE BUNGENI JIJINI DODOMA

V25A1060

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili. Fatma Karume alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili. Fatma Karume (katikati) na Muweka Hazina wa …

Read More »

RC KATAVI AWAITA WAWEKEZAJI KIWANJA CHA NDEGE MPANDA

mpanda jengo

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Prof. Ninatubu Lema (wa kwanza kulia) akiteta jambo na wajumbe wengine wakati walipotembelea kiwanja cha Ncdege cha Mpanda jana. Wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa TAA, Bw. Richard Mayongela. jengo la abiria la Kiwanja …

Read More »

UZINDUZI WA MKOBA UTAKAOTOLEWA BURE KWA MAMA MZAZI

1

WAZIRI wa Afya Hamad Rashid Mohamed akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mkoba wa Vifaa vya Mama Mzazi katika sherehe zilizofanyika katika Viwanja vya Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zaznibar aliekamata Mkoba huo ni Muuguzi Dhamana Hospitali ya Mnazi Mmoja Nasra Ishaka. WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akionesha …

Read More »

MADAKTARI KUTOKA CHINA WAINGIA TANZANIA

006

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Makani Makwaia akikaribisha timu ya wataalamu kutoka China ambao wamekuja kujenga uwezo kwa wataalamu wetu na kusaidia maeneo ambayo yana upungu wa wataalamu Muhimbili, Taasisi ya Mifupa MOI, Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Hospitali ya Rufaa ya Mbeya.  Kutoka …

Read More »

WAJUMBE WA TUME MPYA YA UCHAGUZI ZANZIBAR WAAPISHWA LEO

DSC_4457

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akimuapisha  Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC)  katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,ambapo Viongozi mbali mbali walihudhuria,  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza …

Read More »

NAIBU SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKAZI SHIRIKA LA VOLUNTARY SERVICES OVERSEA BUNGENI JIJINI DODOMA

V25A0721

Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Voluntary Services Oversea (VSO) Tanzania, Ndg. Dawn Hoyle alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Shirika la Voluntary Services Oversea (VSO) Tanzania …

Read More »

WASHINDI WA MAWAKALA WA TIGO PESA NYANDA ZA JUU KUSINI

DSC_0071

Meneja wa Tigo Nyanda za Juu Kusini, Devis Kisamo katikati pichani akikabidhi mfano wa Hundi kwa washidi shindano la mawakala wa TIGO PESA nyanda za juu kusini kwenye hafla iliyofanyika mjini Iringa mwishoni mwa wiki. Heriy Ngesi kutoka kyela Mbeya  Mshindi wa shindano la mawakala la uwekaji miamara kwa wingi …

Read More »

WAHUDUMU WA AFYA YA JAMII MKOANI SIMIYU WANOLEWA

1

Mratibu wa mradi wa RMNCAH- UNFPA Idara ya Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Bi. Dinah Atinda akitoa mada kuhusu kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga ili kupunguza vifo vya mama na watoto wachanga kwenye mafunzo ya wahudumu wa afya ya jamii yaliyofanyika …

Read More »

ZANTEL YAJA NA NGUVU KUBWA BAADA YA UBORESHAJI MTANDAO WAKE

ZANTEL+ZNZ+2

Mtendaji Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa, akiongea wakati wa uzinduzi huo Mtendaji Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Khamis Mussa,akiongea na vyombo vya habari wakati wa hafla ya uzinduzi huo 8.Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakifuatilia matukio wakati wa uzinduzi huo *Yazindua kampeni ya “Tunaliamsha Kivingine”. Kutokana na kuimarisha …

Read More »