Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / June / 24

Daily Archives: June 24, 2018

HONDA AIPATIA SARE JAPAN DHIDI YA SENEGAL KOMBE LA DUNIA

4

Dakika 90 zimemalizika katika mchezo wa Kombe la Dunia kwa Senegal kulazimishwa sare ya mabao 2-2 na Japan. Walikuwa ni Senegel walioanza kuziona nyavu za Japan kupitia kwa Sadio Mane mnamo dakika ya 11 ya kipindi cha kwanza na baadaye Japan wakasawazisha kupitia kwa Takash Inui kwenye dakika ya 34. …

Read More »

TOC FC MABINGWA WAPYA WA LIGI YA AWESO CUP 2018 PANGANI

1

   NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi kombe la Ubingwa wa Ligi ya wilaya ya Pangani maarufu kama Aweso Cup nahodha wa timu ya  TOC Bato Diasi  kushoto ni Meneja wa Bandari ya Tanga Percival Salama  aliyevaa …

Read More »

NAIBU WAZIRI MHE.MAVUNDE ABARIKI SAFARI YA WAPANDAJI WA MLIMA KILIMANJARO KUTOKA GEITA GOLD MINING(GGM) KWA LENGO LA KUCHANGISHA FEDHA ZA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

E86A5313

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana na Ajira ,Anthony Mavunde  akizungumza wakati wa Hafla ya kuwaaga washiriki 70 wa Programu ya Kili Challenge 20018 wanaopanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya vita dhidi ya Virusi vya Ukimwi na Ukimwi. Baadhi ya washiriki wa Changamoto hiyo pamoja …

Read More »

WANAMUZIKI WA INJILI WAWASHA MOTO IBADANI JIJINI DODOMA

1

  Rais wa Umoja wa Muziki Tanzania (TAMUFO), Dk.Donald Kisanga, akiimba wakati wa ibada iliyofanyika Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Anglikana Jijini Dodoma leo.  Watoto kutoka Kanisa la Anglikana Msalato wakiimba katika ibada hiyo.  Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Jijini Dar es Salaam, Madamu Ruth Mwamfupe akiimba katika ibada …

Read More »

TIMU YA SOKA YA TBL YAIBUKA KIDEDEA NA KUJISHINDIA SAFARI YA UINGEREZA

????????????????????????????????????

Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe akimkabidhi  nahodha wa timu ya TBL Group FC, Lupa Mwanjoba, kombe la ushindi wa  michuano ya makampuni iliyoandaliwa na benki ya Standard Chartered  Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe ,  na Gwija la soko ,klabu ya Liverpool Sami Hyypia  …

Read More »