Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 25

Daily Archives: June 25, 2018

CHUO CHA USTAWI WA JAMII CHAFANYA UTAFITI WA NAMNA YA KUTATUA MIGOGORO KATIKA JAMII KWA NJIA ZA ASILI NA KITAMADUNI

1

Kaimu Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISW) Dk. Zena Mabeyo akizungumza katika kongamano la uwasilishaji wa utafiti ( Indigenous And Innovative Social Problem Solving Models) uliofanywa na taasisi hiyo kuhusu  utatuzi wa matatizo  mbalimbali yanayoikumba jamii ya Kitanzania katika maisha yao ya kila siku na njia zinazoweza  kutumika …

Read More »

WANAMUZIKI KUTOKA TAMUFO WATINGA BUNGENI WAKUTANA NA WAZIRI MKUU

11

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais wa Umoja  wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO), Dk. Donald Kisanga nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo wakati wa ziara ya wanamuziki hao kutembelea Bunge kuona shughuli zinazofanyika.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Makasy, wakati wa ziara hiyo.  Waziri …

Read More »

IGP SIRRO ATAKA KUIMARISHA AMANI

1

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, leo 25/06/2018 amekutana na    Akizungumza na sheikh Al Amin Seifullaha aliyeongozana na ujumbe wa masheikh ambao ni viongozi kutoka Aljaziira international hajji trust waliomtembelea ofisini kwake makao makuu ya jeshi hilo kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali yanayohusu kuimarisha amani, …

Read More »

VODACOM YAPEWA MASAFA YA 700 MHz BAADA YA MNADA

vodacom1[1]

Dar es Salaam, 24th June 2018: Kampuni ya simu inayoongoza nchini Vodacom Tanzania Plc, imepokea kwa furaha tangazo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tanzania Communications Regulatory Authority) ambapo Vodacom imepewa masafa ya kuongeza nafasi ya kuboresha na kuwafikia mamia ya wateja wake baada ya mnada uliofanyika tarehe 08 Juni 2018. …

Read More »

UJUMBE WA MADAKTARI KUTOKA CHINA WAKUTANA NA RAIS DK.SHEIN LEO

DSC_6176

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Kutoka Nchini China waliofika kumuaga na kujitambulisha leo wakiongozwa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Bw.Xie Yunliang(wa tatu kulia) katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar Miongoni mwa Madaktari Kutoka …

Read More »

LUGALO YATAMBA MASHINDANO YA GOFU YA WAZI

20180623_133809

Amanda Mlula wa lugalo akiwa katika harakati za mchszo huo katika mashindano ya Tanapa Lugalo open yaliyomalizika jumapili jijini Dar es salaaam  Mshindi kwa kundi la Wanawake Habiba Likuli wa klabj ya jeshi lugalo akiwa katika harakati za mchezo huo katika mashindano ya Tanapa Lugalo open yaliyomalizika jumapili jijini Dar es …

Read More »

MKUTANO WA UONGOZI WIZARA YA AFYA WAONANA NA RAIS DK.SHEIN,

DSC_6669

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjhini Zanzibar Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed alipokuwa akisoma muhtasari wa Ripoti ya Utekelezaji kwa Mwaka 2017-2018 …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO JIJINI DODOMA

PMO_6532

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia na mwanamuziki, Kikumbi Mwanza Mpango (King Kiki)  na wasanii wenzake  katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma  Juni 25/2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba, kushoto mwenye kofia nyekundu ni Mzee Makassy na Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Martha Mlata . Waziri Mkuu Kassim Majaliwa …

Read More »

DOT TZ REGISTRY (TZNIC) YADHAMINI MKUTANO WA ICT ARUSHA

Photo1

Mhandisi wa Mifumo ya dot TZ kutoka Tanzania Network Information Centre (TZNIC), Bw. Raymond Linus akiongea na wataalamu wa ICT na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa kuwa na kikoa cha .tz (.tz domain name) katika mkutano wa ICT uliofanyika Chuo cha Uhasibu Arusha (AIA). Dot TZ registry imekua ikidhamini …

Read More »

RAIS DK.SHEIN AZINDUA MFUMO WA USAJILI WA MTANDAO WA KOMPYUTA

DSC_5591

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Mfumo wa Usajili kwa kutimia Mtandao wa Kompyuta kwa taasisi za Biashara na Amana kwa Mali zinazohamishika,hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar (kushoto) Mkuu wa idara …

Read More »

ORODHA YA WASHINDI WOTE WA TUZO ZA BET 2018

1024-michael-b-jordan-062418

HAPA nimekuwekea orodha ya washindi wote wa Tuzo za BET 2018, zilizofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Microsoft jijini Los Angeles.     Best Female R&B/Pop Artist Award Beyoncé *WINNER SZA H.E.R. Rihanna Kehlani     Best Male R&B/Pop Artist Award Bruno Mars *WINNER Chris Brown The Weeknd Khalid Daniel …

Read More »