Monday , February 18 2019

Home / 2018 / June / 26

Daily Archives: June 26, 2018

UFARANSA NA DENMARK ZAFUZU 16 BORA KOMBE LA DUNIA

4DA6EE3700000578-5887545-image-a-50_1530023232628

Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Grioud akipambana kuwania mpira wa juu na beki wa Denmark, Simon Thorup Kjaer katika mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia uliomalizika kwa sare ya 0-0 Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow, Urusi na timu zote zinakwenda hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia zikiziacha Peru na Australia …

Read More »

PERU YASHINDA MECHI KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 40

4DA852F800000578-5887791-image-a-85_1530028794448

Nahodha wa Peru, Paolo Guerrero aliyepambana na adhabu ya kufungiwa kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu kwa miezi saba ili kupata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia nchini Urusi akishangilia baada ya kuifingia timu yake bao la pili dakika ya 50 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Australia leo Uwanja …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUSHIRIKI MAONESHO YA SABASABA MWAKA HUU 2018

4386846841_f341c7cdf7

Wizara ya Maliasili na Utalii itashiriki Maonesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar–es-Salaam (SabaSaba) yatakayofanyika  kwenye Viwanja vya Mwl. Nyerere, Barabara ya Kilwa kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2018. Wizara inawakaribisha wananchi wote na inawajulisha kuwa wale watakaopenda kutembelea Bustani ya wanyamapori hai kutakuwa na kiingilio …

Read More »

WASHINDI WA PROMOSHENI YA BIA KILIMANJARO NDANI YA URUSI

TBL URUSI 3

Meneja Masoko na Udhamini wa TBL Group,George Kavishe akiongoza timu ya washindi wakipokelewa na wenyeji nchini Urusi Timu ya washindi wa bia ya Kilimanjaro ndani ya uwanja wakiangalia mechi  kati ya Denmark na Ufaransa   …………………      Washindi 10 wa promosheni ya bia  KILIMANJARO, bia rasmi ya Tanzania katika msimu huu wa …

Read More »

TASUBA YATOA UFADHILI KWA WANAFUNZI 20 WA KIKE AFRIKA MASHARIKI

1+6

  Na Humphrey Shao Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) imezindua mpango wa ufadhili wa masomo ujulikanao kama Sanaa tuition fee waiver scholarship kwa wanafunzi 20 kwa mwaka wa masomo 2018/2019.ambapo kwa upande wa Tanzania ufadhili huo utahusu wasichana 10 ,wanafunzi wengine kumi watatoka nchi wa washiriki wa jumuia …

Read More »

ASAS DAIRIES LTD KUONYESHA MAMBO MAKUBWA KATIKA MAONYESHO YA TANTRADE BARABARA YA KILWA JIJINI DAR ES SALAAM KUANZIA JUNI 28

3

ASAS DAIRIES LTD Kiwanda kinachotengeneza bidhaa mbalimbali za maziwa kutoka mkoani Iringa kiko kwenye maandalizi makubwa ya banda lake katika maonyesho ya 41 ya Biashara ya TANTRADE Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Fullshangwe ilipotembelea banda hilo imewakuta mafundi wakiwa katika hatua za mwishomwisho za kukamilisha kupaka rangi …

Read More »

UWEZO WA WATAALAM WA KUPANDIKIZA FIGO WAIMARISHWA MUHIMBILI

005

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 26 Juni, 2018 kuhusu wagonjwa watano kupandikizwa figo katika hospitali hii. Kushoto ni Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Figo na Mfumo wa Mkojo, Dkt. Mustafa Khokhawala, Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Mishipa …

Read More »

WAZIRI MKUU ASIFU JUHUDI ZA AGA KHAN

PMO_9825

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akigonganisha glasi kumtakia afya njema, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli na Mtukufu Agakhan, katika sherehe za kuhitimisha kuwepo madarakani kwa Mtukufu Agakhan, kwenye viwanja vya Bunge, jijini Dodoma Juni 25, 2018. Kushoto ni Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai na katikati …

Read More »

WAZIRI WA AFYA AMEWASHAURI WAFANYIKAZI WA TAASISI YA MATIBABU YA UBONGO NA UTI WA MGONGO (NEURO) KUJIFUNZA KUPITIA UZOEFU WA WATAALAMU WA KIGENI WANAOKUJA ZANZIBAR ILI KUONGEZA UTAALAMU

1

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohd akizungumza na Madaktari bingwa wa maradhi ya Ubongo na Uti wa Mgongo kutoka Marekani, Hispania na Abudhabi alipokutana nao katika Taasisi ya NEURO Hospitali kuu ya Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Kiongozi wa kundi la Madaktari wa maradhi ya Ubongo na Uti wa Mgongo kutoka Marekani, …

Read More »

TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI IMETOA MAFUNZO MAALUM KWA WAHANDISHI

Picha No 2 Edited

  Katika picha kutoka kushoto, Kaimu Mkurugenzi Muhandisi Willson Karumuna, Kaimu Mkurugenzi Mhandisi Pascal Shayo, Kaimu Mkurunzi Msaidizi Mhandisi Ntonda Kimasa na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Mhandisi Muyenjwa Maugo wakifuatila Jambo katika Mafunzo ya wahandisi na wataalam kutoka katika Halmashauri kwenye warsha ya Mafunzo, yalihusu ujenzi wa skimu za umwagiliaji  iliyofanyika …

Read More »

KAGERE NI MALI YA SIMBA, ASAINI MIAKA MIWILI

Kagere New

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda mwenye asili ya Uganda Meddie Kagere amejiunga na mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara klabu ya Simba. Kagere Mwenye umri wa miaka 32 amesaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la milioni 110 na mshahara wa milioni 11 kwa mwezi kama mchezaji huru. Kagere …

Read More »

PEMBA:UWAJIBIKAJI NA UWAZI KATIKA UTOAJI NA UPOKEAJI WA HUDUMA NI NJIA PEKEE YA KUWAPATIA WANANCHI MAENDELEO

index

Na Masanja mabula PEMBA. Uwajibikaji  na uwazi katika utoaji na upokeaji wa huduma ndio njia pekee inayotoa  muelekeo kwa Serikali kuweza kuwapatia wananchi maendeleo yanayostahiki  kwa wakati. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Uhifadhi wa Msitu  wa Hifadhi ya asili  wa Ngezi (Ngenareco), HASSAN SULEIMAN KHAMIS , katika Mafunzo …

Read More »

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA SHELTER AFRIQUE

index

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; William Lukuvi amekutana na viongozi wakuu wa  Kampuni ya kuwezesha upatikanaji wa nyumba za bei nafuu – Shelter Afrique jijini Dar es Salaam. Waziri Lukuvi alikutana na viongozi hao kwa kikao maalum ofisini kwake – Dar es Salaam. Viongozi hao ni Kaimu …

Read More »