Friday , March 22 2019

Home / 2018 / June / 27

Daily Archives: June 27, 2018

BALOZI SEIF ALI IDDI AIOMBA BENKI YA DUNIA (WB) KUENDELEA KUIUNGA MKONO SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA KUIMARISHA USTAWI WA WANANCHI WENYE KIPATO CHA CHINI

403

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  Ali Iddi aliyevaa Suti na Miwani akiwa katika tafrija ya pamoja na ujumbe wa viongozi wa Benki ya Dunia na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF)  ukiwa Zanzibar kukagua miradi ya maendeleo ya jamii inayosimamiwa na TASAF hapo Hoteli ya …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA MWEZI MMOJA KWA WATUMISHI BAHI

PMO_3836

*Ataka apewe majina ya watakaokiuka agizo hilo *Akataza magari ya Serikali kulala nyumbani kwa mtu   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Bahi mkoani Dodoma wanaoishi nje ya eneo lao la kazi wawe wamehamia ifikapo Julai 30, mwaka huu. “Tunataka watumishi wa umma wawajibike na …

Read More »

RAIS MAGUFULI KUMPOKEA RAIS MNANGAGWA WA ZIMBABWE KESHO

IMG-20180627-WA0029

Nchi yetu imepata heshima ya kupokea  ugeni wa Mhe. Emerson Mnangagwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Zimbabwe ambaye anatarajiwa kufika hapa nchini siku ya Alhamis tarehe 28/06/2018 kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili kuanzia tarehe 28/06/2018 hadi 29/06/2018. Mhe. Mnagangwa atapokelewa katika uwanja wa …

Read More »

GERRARD AMKABIDHI NABY KEITA JEZI NAMBA 8 LIVERPOOL

4DAE925D00000578-5891547-image-a-8_1530098393725

Mchezaji mpya wa Liverpool, Naby Keita akikabidhiwa jezi namba nane (8) na gwiji wa klabu, Steven Gerrard ambaye alikuwa anavaa jezi hiyo kabla ya kuhamia LA Galaxy ya Marekani Mei 2015.  Keita anatarajiwa kutambulishwa rasmi wiki ijayo baada ya makubaliano ya awali ya kusajiliwa kutoka RB Leipzig .Naby Keita msimu …

Read More »

RAIS MNANGAWA KUWASILI NCHINI KESHO

0fgjhs9v43dg8tru.r900.3de77b27

Na. Immaculate Makilika-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe Emmerson Dambudzo Mnangagwa, anatarajiwa  kufanya ziara ya kitaifa  ya siku mbili nchini kuanzia Juni 28 hadi  29 ikiwa ni ziara yake ya  kwanza  nchini tangu aingie madarakani Novemba mwaka 2017. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano …

Read More »

Infinix IMEZINDUA Infinix NOTE 5 YENYE TEKNOLOJIA YA ANDROID One

image3

              Dubai, UAE, 27/6/2018: Kampuni ya simu ya Infinix imeweka dhamira ya kuzalisha simu zenye teknolojia ya hali ya juu na muonekano mzuri kwajili ya kizazi kipya. Infinix NOTE 5 inaendeshwa na mfumo wa Android wenye kuifanya kuwa simu ya pekee yenye sifa zenye kushawishi ukilinganisha na simu yoyote ya …

Read More »

WAHANDISI CHANGAMKIENI UWEKEZAJI WA VIWANDA-MWIJAGE

????????????????????????????????????

Waziri wa Viwanda,  Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (kulia) akimweleza jambo Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Nchini (ERB) Eng. Profesa. Ninatubu Lema kabla ya kufungua kongamano la siku moja la wahandisi kuhusu mchango wa Wahandisi katika Sekta ya viwanda jijini Dodoma leo. Waziri wa Viwanda, Biashara na …

Read More »

TARIMBA:SIMBA HAWAJUI KUTAFUTA WACHEZAJI WAZURI

Tarimba Abbas

Mwenyekiti wa Kamati ya Maalum ya kuivusha Yanga wakati wa mpito, Abbass Tarimba, ameibuka na kueleza kuwa watani zao wa jadi, Simba SC hawana wataalam wa kusaka wachezaji “SCOUTING’. Tarimba ameeleza hayo ikiwa ni siku moja baada ya klabu hiyo kufanikiwa kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Gor Mahia FC, Meddie Kagere, …

Read More »

SERIKALI KUMALIZA TATIZO LA MAFUTA YA KULA-MAJALIWA

PMO_3447

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa mafuta ya kula nchini kwa kufanya mageuzi makubwa katika zao la michikichi, alizeti na ufuta.   Ameyasema hayo leo (Jumatano, Juni 27, 2018) wakati akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Balozi Dkt. Ramadhan Dau ofisini kwake …

Read More »

AGIZO LA WAZIRI UMMY MWALIMU LAANZA KUTEKELEZWA

Pix 1

Kaimu Katibu Mkuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Marcel Katemba akifungua kikao baina ya Wizara na Shirika la World Education kujadili Programu ya kuwajengea uwezo waalimu na wanafunzi wa shule za Sekondari kupambana na ukatili shuleni kilichofanyika Jijini Dodoma Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Mtoto Bi. …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU ZIARA YA RAIS WA ZIMBABWE NCHINI

_98890553_mnangagwaoath

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Zimbabwe nchini Mheshimiwa Emmerson Dambudzo Mnangagwa, Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe atafanya ziara ya kitaifa nchini Tanzania tarehe 28 hadi 29 Juni, 2018. Hii itakuwa ziara ya kwanza ya Mheshimiwa Rais Mnangagwa nchini Tanzania tangu aingie madarakani mwezi Novemba, …

Read More »

MultiChoice yasaidia kuimarisha elimu Zanzibar

m2

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kusini Unguja Juma Musa akizumgumza wakati wa hafla hiyo. Kulia ni mkuu wa mawasiliano wa MultiChoice Tanzania na kushoto ni Mkurugenziwa Halmashauri ya wilaya ya Kusini Kassim Mtoro. Hafla hiyo ilifanyika halmashauri ya wilaya Kusini Unguja. …………………………………………………….. Kampuni ya MultiChoice Tanzania imetoa msaada wa …

Read More »

MKUU WA MKOA WA IRINGA AWAFUNDA MAKANDARASI WANAWAKE

????????????????????????????????????

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mhe. Amina Masenza, akihutubia makandarasi wanawake kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa mafunzo elekezi ya kuwajengea uwezo katika ushiriki wa kazi za ujenzi na matengenezo ya barabara, yaliyofanyika mkoani humo. Mratibu wa Kitengo cha Ushirikishwaji wa Wanawake kutoka …

Read More »