Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / June / 28

Daily Archives: June 28, 2018

HALOTEL,STARTIMES WALETA KOMBE LA DUNIA KIGANJANI

3-13

  Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mhina Semwenda Halotel akizungumza na waandishi wa Habari katika uzinduzi wa huduma mpya itakayo wawezesha wateja wa mtandao wa Halotel kuangalia mechi za kombe la dunia kupitia simu zao za kiganjani kwa gharama nafuu . Kulia ni Meneja Masoko wa  Startimes David Malisa.  Mkuu wa Kitengo cha …

Read More »

TANZANIA NI KIMBILIO KWA WALIOKOSA AMANI-MAJALIWA

PMO_6634

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa tuzo ya Balozi wa Amani na Mwenyekiti wa Umoja wa Kimataifa wa Wabunge Wapenda Amani, Dk Thomas Walsh katika hafla ya kuzindua tawi la Tanzania la Wabunge wapenda amani, iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa, jijini Dodoma Juni 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri …

Read More »

RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA AWASILI NCHINI NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa wakati nyimbo za mataifa mawili ya Tanzania na Zimbabwe zikipigwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya Rais huyo wa Zimbabwe kuwasili nchini. …

Read More »

SERIKALI YAJIPANGA NA BIMA YA AFYA KWA WOTE- NAIBU WAZIRI

3

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akizindua Baraza la Pili la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), mkoani Morogoro. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulile akimkabidhi nyaraka za kuongoza Baraza hilo, Mkurugenzi …

Read More »

MAKANDARASI FANYENI KAZI KWA BIDII NA UADILIFU-KWANDIKWA

3

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Usajili Makandarasi (CRB), Eng. Light Chobya, kabla ya kufungua Mkutano wa mwaka wa siku mbili wa Bodi hiyo unaofanyika mjini Dodoma. Sehemu ya Makandarasi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (hayupo pichani), wakati akifungua Mkutano wa mwaka …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA KILIMO

DSC_7144

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika mkutano wa utekelezaji wa  mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo …

Read More »

MULTICHOICE TANZANIA YAWEKA NGUVU KWENYE RIADHA

1

Mkuu wa Mawasiliano  wa MultiChoice Tanzania Johnson Mshana akizungumza na waandishi wa habari Masaki jijini Dar es salaam leo wakati wa kutiliana saini mkataba wa udhamini na  Mwanariadha kinda Francis Damiano Damasi hayupo pichani  kushoto ni Wilhelm Gidabuday Katibu Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT). Mkuu wa Mawasiliano  wa …

Read More »

KAGERE,WAWA NA DIDA WATAMBULISHWA SIMBA

Utambulisho 1

  Klabu ya Simba imewatambulisha rasmi wachezaji wake wapya iliowasajili wiki hii mbele ya waandishi wa habari katika makao makuu ya klabu hiyo yaliyoko Msimbazi, Kariakoo, Dar es Salaam. Wachezaji hao ni pamoja na beki Pascal Wawa aliyewahi kuichezea Azam FC, Mlinda Mlango Deogratius Munish ‘Dida’ ambaye pia aliwahi kuichezea …

Read More »

AJALI YA NOAH YAUA WATANO MTWARA

IMG-20180628-WA0014

Muonekano wa gari aina ya Noah iliyokuwa ikufanya safari zake kutoka Manganka kwenda Tunduru baada ya kuungua na kuteketea. Baadhi ya wananchii wa kijiji cha Chingweje wilaya ya nanyumbu Mkoa wa Mtwara wakitazama Gari aina ya NOAH mara baada ya kugonga gema la barabara na Kupinduka kisha kuwaka moto na …

Read More »

WAOGELEAJI WA BLUEFINS KUSHIRIKI MASHINDANO YA MOMBASA NCHINI KENYA

Bluefins Mombasa team pic

Dar es Salaam . Jumla ya waogeleaji 11 wa klabu inayokuja juu kwa kasi katika mchezo wa kuogelea nchini, Bluefins watashiriki mashindano ya Mombasa yaliyopangwa kuanza leo. Mashindano hayo ya kimataifa, yanashirikisha waogeleaji mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki na klabu hiyo ndiyo pekee inayoiwakilisha nchi. Muasisi na kocha mkuu …

Read More »

BRAZIL YATINGA 16 BORA KOMBE LA DUNIA,YAICHAPA SERBIA 2-0

4DB3158400000578-5893703-image-a-79_1530129984715

Nyota wa Brazil, Neymar akimtoka kiufundi mchezaji wa Serbia katika mchezo wa Kundi E Kombe la Dunia Jumatano Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moskow. Brazil ilishinda 2-0, mabao ya Paulinho dakika ya 36 na Thiago Silva dakika ya 68, hivyo kufuzu hatua ya 16 Bora na itakutana na Mexico Julai 2, wakati Serbia …

Read More »