Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / June / 29

Daily Archives: June 29, 2018

Kampuni ya Asas Dairies Ltd yaahidi kufunga mitambo ya kuchakata maziwa Busokelo mkoani Mbeya

Mhe.Ulega

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akizungumza Bungeni Jijini Dodoma leo. …………………………………………………………………………… SERIKALI imesema Mwekezaji wa kampuni ya Asas Dairies Ltd ameahidi kufunga mitambo ya kuchakata maziwa kama kiasi cha maziwa kitaongezeka kwenye wilaya ya Busokelo. Aidha, kwa sasa mwekezaji anakusanya jumla ya lita 3600 za maziwa kwa …

Read More »

WATANZANIA KAENI MKAO WA KUKALIA KITI CHA DREAMLINER 787 –ATCL

IMG_6348

 Ofisa wa Idara ya Biashara wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) Lily Fungamtama akizunguza na wageni mbalimbali waliotembelea katika banda la ATCL katika maonyesho ya biashara ya TANTRADE viwanja vya Sabasaba leo.  Mmoja wa akina mama ambaye jina lake halikupatikana akiwa katika picha huku akionyesha mfano wa ndege mpya ya …

Read More »

RAIS AAGIZA SH. MILIONI 308 ZITUMIKE KUBORESHA BARABARA

PMO_0112

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua Kituo cha Polisi kinachohamishika katika eneo la Kısasa jijini Dodoma, Juni 29, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ……………… *Ni zile zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya Mashujaa    RAIS Dkt. John Magufuli ameagiza sh. milioni 308 zilizotengwa kwa ajili ya Maadhimisho …

Read More »

Baraza La Uuguzi Lawatia Hatiani Wauguzi Wakunga Sita

image1

Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) limewakuta na hatia na kuwapa karipio kali la maandishi Wauguzi Wakunga sita katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa kushindwa kutimiza majukumu yao ya kitaaluma wakati wakitoa huduma kwa mgonjwa. Katika kikao chake cha 193 kilichofanyika tarehe 28 Juni, 2018 katika Ofisi za …

Read More »

UBA DODOMA BRANCH COMMISSIONING

IMG-20180629-WA0000

Branch Manager wa UBA Dodoma Branch Bw. Onesmo Mwansanga pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa UBA Tanzania Bw. Usman Isiaka wakisalimiana mteja wa UBA wakati wa hafla ya uzinduzi wa branch ya Dodoma. Brendansia Kileo Meneja Masoko wa UBA Tanzania akikaribisha wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa branch ya Dodoma. …

Read More »

TANZANIA YAONGOZA KWA WANYAMA PORI AFRIKA

PMO_4007

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa  11 wa Bunge,  jijini Dodoma Juni 29, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………………. *Ni baada ya Serikali na wananchi kulinda rasilimali za nchi IMEELEZWA kuwa jitihada za Serikali za kulinda rasilimali za nchi na ushirikiano kutoka kwa wananchi …

Read More »

RAIS WA ZIMBABWE EMMERSON MNANGAGWA ATEMBELEA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO MKOANI PWANI AMBACHO MIAKA YA 1960s ILIKUWA SHULE YA MAFUNZO YA UFUNDI YA WAPIGANIA UHURU WA CHAMA CHA FRELIMO

9

Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Edmund Mndolwa mara baada ya kuwasili katika chuo cha Kilimo na Mifugo cha Kaole Bagamoyo mkoani Pwani. Rais huyo wa Zimbabwe alisoma Shuleni hapo mwaka 1963 pamoja na wapigani Uhuru wa …

Read More »

TEMBELEA BANDA LA MULTICHOICE TANZANIA VIWANJA VYA MAONYESHO TANTRADE UONE MAMBO MAKUBWA DUNIANI “KAMA SIYO DSTV POTEZEA”

2

Esther Mtei Msimamizi MKuu wa Kitengo cha Masoko Multichoice Tanzania akipata maelezo kwa mmoja wa wafanyakazi wa Multchoice Tanzania wakati wa maonyesho ya 42 ya Biashara TANTRADE yanayoendelea kwa siku 16 katika viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam leo Multichoice Tanzania inawakaribisha wananchi mbalimbali kutrembelea banda …

Read More »

SERIKALI YAWATAKA WATENDAJI KUWAJIBIKA

PMO_4119

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge jijini Dodoma Juni 29, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu ………………… *Ni katika ukusanyaji wa mapato na nidhamu ya matumizi   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali …

Read More »

MUHOGO SASA RASMI KWENYE MAZAO YA BIASHARA-MAJALIWA

PMO_4007

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa  11 wa Bunge,  jijini Dodoma Juni 29, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na baadhi ya wabunge baada ya kusoma hotuba ya kuahirisha Mkutano wa 11 wa Bunge jijini Dodoma Juni 29, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi baada …

Read More »

DKT. MAGUFULI, MNANGAGWA WAWEKA HISTORIA MPYA

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU ***************** Na Emmanuel J. Shilatu Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. …

Read More »

SHANGWE ZA M-PESA ZAHAMIA JIJINI MBEYA ,GARI YA PILI YAENDA TUKUYU

????????????????????????????????????

Mkurugenzi wa M-Commerce kutoka Vodacom Tanzania, Ashutosh Tiwary (kushoto) akimpa mkono wa pongezi mshindi wa gari kutoka promosheni ya ‘Tumia Mpesa ushinde gari’, Mkazi wa Tukuyu Wilayani Rungwe, Mbeya, Tumaini Msosi baada ya kukabidhiwa gari hilo juzi mchana wakati wa hafla ya kusherekea miaka 10 ya Mpesa tangu kuanzishwa kwake. …

Read More »

BENKI YA CRDB YADHAMINI MKUTANO WA MAKANDARASI JIJINI DODOMA

DSC_0361

 Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Jane Ikira, akimkaribisha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa, alipotembelea banda la benki hiyo. Katikati ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo anayeshughulikia wateja wakubwa na taasisi, Shima Danford.  Meneja Mahusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulikia wateja …

Read More »

JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI ZAASWA KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

1

Mwakilishi kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhaidrolojia Mkuu, Bernad Chikarabani akizungumza na washiriki katika warsha ya Jumuiya ya Watumia Maji. Mmoja wa wawezeshaji akitoa mada kwa washiriki katika warsha ya Jumuiya ya Watumia Maji. Washiriki wa warsha ya Jumuiya ya Watumia Maji wakiwa kwenye picha ya pamoja. ……………….. Jumuiya …

Read More »