Thursday , March 21 2019

Home / 2018 / July

Monthly Archives: July 2018

NHIF KUPIMA BURE MAGONJA YSIYOAMBUKIZWA SIMIYU NANENANE

PICHA A

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka(kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika banda la maonesho la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), lililopo Uwanja wa Nanenane Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi. Meneja Masoko na Huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima …

Read More »

MAFUNZO YA UONGEZAJI THAMANI WA VIAZI LISHE YAFANA SUGECO MOROGORO

VIAZI 1

Washiriki wa Mafunzo ya Uongezaji Thamani Viazi Lishe kutoka mikoa mbalimbali nchini,wakionesha mikate na mandazi waliyotengeneza  kwa kutumia urojo wa viazi hivyo pamoja na unga wa ngano wakati wa mafunzo yaliyofanyika hivi karibuni katika Ushirika wa Wahitimu wa  Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro (Sugeco). Washiriki hao walifundishwa mambo mbalimbali ikiwemo …

Read More »

KIGAMBONI WAPONGEZWA KWA KUJENGA OFISI YA KISASA

JAFO 1

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiwa na viongozi wa wilaya ya Kigamboni katika eneo la ujenzi wa majengo ya Ofisi ya Mkuu wa wilaya na Halmashauri ya Kigamboni. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiwa …

Read More »

SERIKALI KUMNYANG’ANYA MOHAMMED ENTERPRISES MASHAMBA

2 (4)

Na. Hassan Mabuye, Wizara ya Ardhi Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula amesema serikali imekusudia kuchukua baadhi ya mashamba yanayomilikiwa na Kampuni ya Mohammed Enterprises na kuwapa wananchi kwa kuwa wameshindwa kutimiza masharti ya endelezaji wake. Mhe. Mabulla amesema hayo baada ya kufanya ziara …

Read More »

WIZARA YA VIWANDA YAPATA PIGO

sagati

Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imempoteza mtumishi wake mwandamizi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Shadrack Kerenge Sagati aliyefariki dunia kufuatia ajali iliyotokea jana Katoro mkoani Geita. Taarifa ya kifo cha marehemu Sagati imetolewa jana tarehe 30 Julai, 2018 kwa umma na wizara ya viwanda, ambapo sehemu ya taarifa …

Read More »

RAIS WA ZANZIBA DK.ALI MOHAMED SHEIN AWASILI NCHINI INDONESIA LEO.

DSC_1028

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia pia akiwakilisha Tanzania Nchini Indonesia Mhe.Dkt Ramadhani Kitwana Dau (kulia)  na Viongozi wengine wakipewa maelekezo na Afisa Maalum mara baada ya  mapokezi walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno Hatta, Jakarta Indonesia leo wakiungana na Rais wa Zanzibar …

Read More »

Rais Magufuli aikaribisha Dunia Dodoma.

t (42)

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekabidhi hati 67 za viwanja kwa Mabalozi na Mashirika ya Kimataifa kwa ajili ya kujenga makazi na matumizi mbalimbali.  Akizungumza mara baada ya kukabidhi hati hizo leo Ikulu jijini Dar es salaam, Rais Magufuli Amewapongeza …

Read More »

KAMPUNI YA MONSANTO YAZINDUA MBEGU MPYA YA MAHINDI

fred1

  Meneja Kiongozi wa Kampuni ya Monsanto  Frank Wenga Akizungumza katika uzinduzi wa mbegu mpya aina ya DK 777 ,ulifanyika katika viwanja vya Kituo cha utafiti wa kilimo Selian jana Mkoani Arusha.Picha na Pamela Mollel Arusha       Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wafanyabiashara wa Mbegu nchini Bob Shuma akizungumza katika …

Read More »

WAZIRI LUGOLAAKUTANA NA WADAU WA USAFIRI NA USAFIRISHAJI

PIX 1 (2)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (katikati), akimsikiliza Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, na Ajira, Mhe Antony Mavunde, alipokua akiwafafanulia jambo  wadau wa usafiri na usafirishaji kuhusu jinsi ya kupambana na ajali nchini. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

index

MNAMO TAREHE 30.7.2018 MAJIRA YA SAA YA 03:20HRS KATIKA KIJIJI CHA LUGONGO KATA YA CHIFUNFU WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, ROBERT CHARLES, MIAKA 40, MKAZI WA CHIFUNFU ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA KOSA LA KUPATIKANA NA NYAVU HARAMU (TIMBA) 52 ZA KUVULIA SAMAKI PAMOJA NA SAMAKI WACHANGA WENYE …

Read More »

STEND UNITED YATWAA FLATEI CUP

IMG-20180730-WA0080

Mabingwa wa michuano ya Flatei Cup timu ya Stand United (Chama la wana) wakiwa na mbunge wa Jimbo la Mbulu vijijini mhe Flatei Maasay (aliyejifunga rubega). Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini Mkoani Manyara mhe Flatei Maasay akisalimiana na washindi wa pili wa michuano ya Flatei Cup timu ya Young …

Read More »

Dk. Kalemani azindua umeme usiku vijijini

kal2

Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ihanga Wilayani Chato usiku wa jana baada ya kuzindua umeme Wananchi wa Kijiji cha Ihanga Wilayani Chato,  wakimsikiliza kwa Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani Diwani wa Viti Maalumu, Grace Kubilima (CCM), ambaye pia ni mkazi wa Kijiji …

Read More »