Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 01

Daily Archives: July 1, 2018

WANANCHI WA MWANZOMGUMU WAISHUKURU SERIKALI YA MAGUFULI

daraja (1)

    Daraja la Matulanga likiendelea kujengwa   Wananchi wa kijiji cha Homboza wakiwa katika mkutano   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akikagua ujenzi wa wodi ya watoto unaoendelea katika kituo cha afya Homboza   Ukaguzi wa madaraja ya barabara …

Read More »

MSIRUHUSU SIASA KUINGILIA DINI- MHAGAMA

jenista

 NA TIGANYA VINCENT RS TABORA 1 JUNI 2018VIONGOZI wa dini mbalimbali hapa nchini wametwakiwa  kutoruhusu siasa kuingilia shuguli za dini ili kujenga ustawi wa kanisa na Taifa kwa ujumla pia kutowafanya watu wachche kujinufaisha kupitia taasisi za dini. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu …

Read More »

MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI MAGOMENI KOTA WALETA MATUMANI MAKUBWA.

index

Na Mwandishi Wetu MTENDAJI MKUU WAKALA WA MAJENGO TANZANIA(TBA) Arch; ELIUS ASANGALWISYE MWAKIBINGA AONYESHA UWEZO MKUBWA KATIKA KUSIMAMIA UBORA WA MIRADI NA KUOKOA FEDHA ZA UMMA. Nimepitia taarifa ya maendeleo ya Mradi mkubwa wa nyumba za Makazi Ujulikanao kama MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI MAGOMENI KOTA, Kilichonifurahisha ni namna ambavyo …

Read More »

MIZENGO PINDA AKUBALI KUWA MLEZI WA TACIP

IMG_20180628_091722

Wawakilishi wa Mradi wa Utambuzi wa Sanaa za Ufundi Tanzania (TACIP) wakimsikiliza Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda wakati walipomtembelea nyumbani kwake, kijiji cha Nzinje, nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda akimsikiliza Rais wa TAFCA na Mtendaji Mkuu Mshirika wa Mradi wa Utambuzi wa …

Read More »

KAMATI YA KUDUMU YA MIUNDOMBINU YAIPONGEZA KADCO

????????????????????????????????????

Mtaalam wa Kuongoza ndege kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Nchini (TCAA), Bw. Godwin Mutarubukwa (mwenye shati la blue), akiwaonyesha Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu namna ya kuongoza ndege kwa kutumia ramani, wakati kamati hiyo ilipotembelea Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA). Meneja wa …

Read More »

KMC YAZIDI KUILIZA MBAO FC,YAMNASA BEKI SADALA MOHAMED

36469048_2082206728694402_8921423286051536896_o

  Usajili umeendelea kushika kasi kwa klabu za soka Tanzania ambapo uongozi KMC umetangaza kumalizana na aliyekuwa beki wa Mbao FC, Sadala Mohamed. Mohamed ametua Mbao kuungana na wakongwe kama Juma Kaseja kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja. KMC ilifanikiwa kupanda daraja kushiriki Ligi Kuu msimu ujao imekuwa ikisajili wachezaji …

Read More »

CHOLEMU INVESTMENT YAWAHIMIZA WANANCHI KUNUNUA VIWANJA, MASHAMBA KUTOKA KWAO

index

Meneja Masoko wa Kampuni ya Cholemu Investment,Swaumu Mohamed akizungumza na Globu ya jamii leo jijini Dar as Salaam juu ya kuuza mashamba,viwanja bila riba wala dhamana yoyote katikamaonyesho ya biashara ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam yanayoandaliwa na Mamlaka ya Mendeleo ya Biashara TANTRADE. ………………………………………………………………………………………… KAMPUNI ya …

Read More »