Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 02

Daily Archives: July 2, 2018

MAMLAKA HIFADHI YA NGORONGORO KULIPENDEZESHA JIJI LA DODOMA

????????????????????????????????????

Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi na Kaimu Meneja Uhusiano Mamlaka Hifadhi ya Ngorongoro, Joyce Mgaya wakisaini hati ya makubaliano ya kuboresha mandhari ya mizunguko ya magari kwenye barabara kuu za jiji hilo. Kwenye uboreshaji huo wa mandhari …

Read More »

VIDEO:WAZIRI KIGWANGALLA ATOA SIKU 90 KWA TAWIRI KUFANYA SENSA YA MAMBA ZIWA RUKWA NA TFS KUANDAA MPANGO WA KITAIFA WA UVUNAJI MISITU

679

Na Hamza Temba, Songwe ………………………………………………………….. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ametoa miezi mitatu kwa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Tanzania (TAWIRI) kufanya utafiti na sensa ya mamba katika ziwa Rukwa ili kubaini idadi yake na hatimaye kuishauri Serikali namna ya kudhibiti madhara yanayosababishwa na mamba hao kwa …

Read More »

RAIS WA TFF KARIA AWAPONGEZA WANAMICHEZO WATATU WALIOTEULIWA NA RAIS DKT.MAGUFULI KUSHIKA NYADHIFA MBALIMBALI

1

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewapongeza wanamichezo watatu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Muheshimiwa John Pombe Magufuli kushika nyadhifa mbalimbali.   Wanamichezo waliopata nafasi hizo ni Mussa Ramadhan Sima aliyeteuliwa kuwa Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Mazingira …

Read More »

​RC TABORA AKABIDHI MAJINA YA WATOTO WATORO 11,400 KWA RPC

7c

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (aliyenyosha mikono), Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(OR –TAMISEMI) Joseph Kakunda(wa pili kutoka kushoto) , Mbunge wa Jimbo la Kaliua Magdalena Sakaya na viongozi wengine wakishiriki maandamano ya kulaani utoro, mimba kwa wanafunzi wa kike, ndoa za utotoni …

Read More »

WAFANYABIASHARA WA SOKO LA KISUTU WAISHUKURU SERIKALI

JF (1)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akiwa na viongozi wa wilaya ya Ilala pamoja na wafanyabiashara wa soko la kisutu. Viongozi wakiteta jambo kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya soko la Kisutu  Wafanyabiashara wa soko la kisutu wakitoa maoni yao wakati wa …

Read More »

MO SALAH AONGEZA MIAKA MITANO LIVERPOOL

Liverpool's German manager Jurgen Klopp (R) greets Liverpool's Egyptian midfielder Mohamed Salah (L) as Salah comes off during the English Premier League football match between Liverpool and Manchester City at Anfield in Liverpool, north west England on January 14, 2018. / AFP PHOTO / Oli SCARFF / RESTRICTED TO EDITORIAL USE. No use with unauthorized audio, video, data, fixture lists, club/league logos or 'live' services. Online in-match use limited to 75 images, no video emulation. No use in betting, games or single club/league/player publications.  /         (Photo credit should read OLI SCARFF/AFP/Getty Images)

  Mchezaji bora wa Ligi Kuu England katika msimu wa 2017/18 Mohamed Salah, ameisaini mkataba wa muda mrefu kuendelea kuitumikia klabu ya Liverpool. Salah amefikia makubaliano na mabosi wa Liverpool kuongeza muda wa soka la maisha yake na timu hiyo na kuzima rasmi tetezi za kuondoka Anfield. Mshambuliaji huyo kutoka …

Read More »