Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 03

Daily Archives: July 3, 2018

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limedhamiria kutoa mikopo ya riba nafuu kwa sekta isiyo rasmi

NS1

  Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Profesa Godius Kahyarara alipozungumza nao leo kuhusu dhamira ya Shirika hilo kutoa Mikopo ya Riba nafuu kwa sekta isiyo rasmi kama vile wajasiliamali,waendesha boda boda,Mamalishe,Wakulima,Wavuvi na wote waliojiunga kwenye vikundi rasmi vya uzalishaji mali kama AMCOS,VICOBA  pamoja na SACCOS, ndani ya Banda la Shirika hilo katika …

Read More »

MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA ATEMBELEA MAONENYESHO YA SABASABA

2N0A0043

MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA MHE. KATARINA REVOKATI AKIWASILI KWENYE VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE KATIKA MAONENYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA. MSAJILI MKUU WA MAHAKAMA YA TANZANIA MHE. KATARINA REVOKATI AKIMSIKILIZA MTUMISHI WA MAHAKAMA YA TANZANIA, MOSES NDELWA AKIELEZEA NAMNA MAHAKAMA INAYOTEMBEA (MOBILE COURT) ITAKAVYOFANYA KAZI. MAHAKAMA YATANZANIA IMEAMUA KUANZISHA MAHAKAMA …

Read More »

KIWANDA CHA DAWA KIKUBWA KUJENGWA NCHINI

????????????????????????????????????

Picha ya Pamoja ikiongozwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage baada ya kikao cha kujadili Uwekezaji wa Kiwanda cha kutengenezea Dawa nchini na Kampuni ya Fosun Pharma kutoka nchini China. Waziri wa …

Read More »

IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO KWA MAKAMANDA WA POLISI

Mkuu-wa-Jeshi-la-Polisi-nchini-IGP-Simon-Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi kwa baadhi ya mikoa. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo Julai 3, 2018  iliyosainiwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, Barnabas Mwakalukwa, inasema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza juhudi za kuzuia ajali zilizotokea mara kwa …

Read More »

TANZIA: MBUNGE MAJIMAREFU AFARIKI DUNIA

Untitled-1

  MBUNGE wa Korogwe Vijijini (CCM) mkoani Tanga,  Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo Jumatatu Julai 2,  2018 usiku katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo cha mbunge huyo zimethibitishwa na ofisa uhusiano wa Muhimbili, Aminiel Eligaeshi. Juni 20,  …

Read More »