Saturday , March 23 2019

Home / MCHANGANYIKO / Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof Lughano Kusiluka atembelea banda la chuo hicho Sabasaba

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof Lughano Kusiluka atembelea banda la chuo hicho Sabasaba

8I9A0316

Nd. Innocent Mgeta Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Mzumbe  afisa Udahili Mwandamizi akitoa maelezo juu ya programme mbalimbali za mafunzo zinazotolewa na Chuo kikuu Mzumbe kwa Mzumbe  mzazi aliefika kupata huduma hiyo katika Banda la Chuo kikuu Mzumbe  kwenye maonesho ya sabasaba

8I9A0424

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe  Prof Lughano Kusiluka akitoa  huduma kwa waombaji waliofika kupata elimu juu ya Mfumo wa Udahili wa wanafunzi Chuo Kikuu Mzumbe kwa mwaka wa fedha 2018/19. Huduma ya udahili inatolewa katika Banda la Chuo katika maonesho ya 42 ya SABASABA

8I9A0458

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe  Prof Lughano Kusiluka akikagua baadhi ya vitabu vilivyoandikwa na wahadhiri kutoka Chuo Kikuu Mzumbe , Kushoto ni Nd. Benjamin Jonas Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu Mzumbe katika maonesho ya 42 ya SABASABA

8I9A0605

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof Lugano Kusiluka akitoa  maoni  kwa Nd. Baasha kutoka Idara ya TEHAMA kuhusu Mfumo wa Usimamizi na menejiment ya  hospitali za umma  “GOTHOMIS” ulioandaliwa na Chuo hicho kupitia mradi wa VLIR-UOS  alipotembelea Banda la Chuo katika maonesho ya 42 ya SABASABA

About bukuku

Check Also

WAKITAZAMA

Waziri Biteko Asema Wizara Iko Tayari kuwahudumia Watanzania kutokea Ihumwa

Muonekano wa Jengo la Wizara ya Madini linalojengwa katika Mji wa Serikali eneo la Ihumwa.  …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

12 + 20 =