Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 04

Daily Archives: July 4, 2018

PROPERTY INTERNATIONAL WAFURAHIA USHINDI MAONESHO YA SABASABA

pr01

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe cha ushindi wa jumla kipengele cha (Trade in Services Exhibitor) Mkurugenzi wa Kampuni ya Property International Tanzania  Bw. Masoud Alawi  leo. Mara baada ya kutangazwa washindi katika uzinduzi wa maonesho ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayofanyika kwenye …

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA MUONGOZO WA UJENZI WA VIWANDA NCHINI

MWO

*Pia afungua rasmi maonesho ya biashara yanayoendelea Sabasaba *Ahimiza wananchi kuhudhuria kwa wingi kuona teknolojia , bidhaa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Muongozo wa Ujenzi wa viwanda ambao utatumiwa kuanzia ngazi ya kijiji hadi mkoa kwa lengo la kufanikisha Tanzania ya viwanda. Uzinduzi wa muongozo huo wa ujenzi wa viwanda …

Read More »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAINGIA KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA KWA KUWA KITUO CHA UFUATILIAJI WA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO

Ramani ya nchi ambazo zimetambuliwa kimataifa kuwa vituo vya upasuaji wa moyo

Katika kuimarisha uhusiano na uboreshaji wa upasuaji wa magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo kwa watoto Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imechaguliwa kuwa kituo cha ufuatiliaji na shirika la (International Quality Improvement Collaborative for Congenital  Heart Surgery (IQIC) la nchini Marekani. Kabla ya kuchagulia kuwa kituo cha …

Read More »

LENGO LETU NI KUPELEKA MAJI KWA WATANZANIA-PROF. MBARAWA

2

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja alipotembelea ofisi za DAWASCO. Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na watumishi wa DAWASCO (hawamo pichani) na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO, Mhandisi Cyprian Luhemeja. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu …

Read More »

MAKONDA AMALIZA MIGOGORO SUGU YA WAKAZI WA TABATA LIWITI

IMG-20180704-WA0059

Mkuu  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wakazi hao. Wakazi hao wakishangilia baada ya kutatuliwa kero zao. Makonda akiendelea kuzungumza. MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo ametegua kitendawili kilichowatesa kwa muda mrefu wakazi wa Kata ya Liwiti baada ya mmoja wa wananchi …

Read More »

WAZIRI MKUU ATEMBELEA SABASABA, AKABIDHI MATREKTA 500

PMO_1378

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage (kulia) wakitazama trekta lenye uwezo wa kupanda mbegu mbalimbali lili tengenezwa na Kampuni ya CRMATEC ya  Arusha baada ya Waziri Mkuu, kufungua Maonyesho ya 42 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salam. Julai 4, 2018 Waziri …

Read More »

KIKAO KATI YA GLOBAL FUND NA WAZIRI UMMY

????????????????????????????????????

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza wakati wa kikao na wawakilishi wa Mfuko wa Pamoja wa Dunia wa kushughulikia magonjwa ya TB,Maralia na Ukimwi(GLOBAL FUND)  hawapo pichani kilichofanyika katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Mfuko wa Pamoja wa Dunia …

Read More »

PROF.KAMUZORA AWAASA WATUMISHI WA IDARA YA MPIGACHAPA MKUU WA SERIKALI KUZINGATIA UBORA NA UFANISI KATIKA UTENDAJI

????????????????????????????????????

Kaimu Mpigachapa Mkuu wa Serikali Bw.John Kaswalala akimuonesha Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof.Faustin Kamuzora moja ya mtambo unaotumika kuchapisha nyaraka za Serikali unaoitwa Original Heidelberg alipotembelea katika Idara ya Mpigachapa Mkuu wa Serikali Julai4, 2018 Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na …

Read More »

SPIKA NDUGAI AONGOZA WAHESHIMIWA WABUNGE KUAGA MWILI WA MAREHEMU STEPHEN NGONYANI (PROFESA MAJIMAREFU) KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

PIC C

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini Marehemu Stephen Hillary Ngonyani katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda Korogwe Mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi. Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akisaini …

Read More »