Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 05

Daily Archives: July 5, 2018

YANGA NAYO YASHUSHA KOCHA MPYA WA KUMSAIDIA ZAHERA MWINYI

36706513_255944975182594_7782041820464152576_n

Kuelekea pambano hilo inaelezwa kuwa Yanga wamemshusha msaidizi wa Kocha Mkuu Mwinyi Zaherea ambaye anajuikana kwa jina la Guy Bukasa Guy Bukasa ambaye aliwahi kuwa kocha wa timu ya vijana ya taifa ya Congo (U17) ndio kocha msaidizi wa klabu ya Yanga Sc. Guy ambaye tangu juzi yupo Nchini ndio …

Read More »

CHUO CHA KODI CHAFUNGUA MILANGO KWA WANAOTAKA KUJIUNGA KWA MWAKA WA MASOMO WA 2018/2019

SAMSUNG CAMERA PICTURES

………………………………………………………………… CHUO cha Kodi (ITA) kimesema kwa sasa kimeanza kupokea maombi ya wanaotaka kujiunga na chuo hicho kwa mwaka wa masomo wa 2018/2019 na kwamba wamekuwa wakielezea program ambazo wanazitoa. Pia kimesema wanafunzi wote wenye sifa watume maombi kwa kozi ambazo wanahitaji kusoma na kwamba wanaosoa chuoni hapo na kumaliza …

Read More »

KANGI LUGOLA AREJEA JIJINI DAR ES SALAAM AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

PIX 3

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye (kushoto) baada ya kurejea kutoka jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam,walijadiliana  mambo mbalimbali yanayolihusu jeshi hilo Kamishna Jenerali wa Jeshi la …

Read More »

WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI PROFESA MBARAWA ATEMBELEA MRADI WA UBORESHAJI MIFUMO YA USAMBAZAJI MAJI INAYOSIMAMIWA NA DAWASA NA KUTOA MAAGIZO MAZITO

5R5A7793

 Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (katikati), akizungumza wakati wa majumuisho ya ziara yake aliyoifanya leo Julai 5, 2018 kutembelea mradi wa uboreshaji wa mfumo wa usambazaji maji Dar es Salaam na Pwani (kushoto) ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), …

Read More »

RC SHINYANGA AFUNGA MAFUNZO YA WAKUNGA

IMG_7568

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainab Telack amefunga mafunzo ya wakunga mkoa wa Shinyanga kuhusu huduma za dharura kwa wajawazito,wazazi na watoto wachanga mkoani Shinyanga yaliyoandaliwa na Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA),Cuso Internation na Chama Cha Wakunga wa Canada (CAM).

Read More »

Serikali Yatakiwa Kufanye Tathmini Ya Viwanja Vya Ndege

????????????????????????????????????

Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeitaka serikali kufanya tathmini ya viwanja vya ndege nchini, inavyojiendesha kwa faida na hasara, ili iweze kuvihudumia vyema. Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Hawa Mchafu ametoa kauli hiyo hivi karibuni wakati kamati hiyo ilipofanya ziara kwenye Kiwanja cha Ndege …

Read More »

TAA Yakusanya Bil. 98.1 Za Mapato Kwa Mwaka 2016/17

????????????????????????????????????

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela (aliyesimama) akiikaribisha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwenye Jengo la Watu Mashuhuri (VIP) walipotembelea Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) hivi karibuni. Katikati ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Suleiman Kakoso …

Read More »

SUMTRA YASITISHA KUTOA LESENI KWA MAGARI MADOGO ARUSHA

sumatra

Na Ahmed Mahmoud,Arusha. Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na  Nchi kavu mkoani Arusha imesitisha kutoa lesini kwa magari madogo yanayofanyabiashara ya usafirishaji katika jiji la Arusha ili kutoa fursa kwa wamiliki wa magari makubwa kupata leseni hizo na kuendana na hadhi ya jiji la Arusha ambalo linahitaji kuwa …

Read More »

WASHINDI WA KWANZA ‘TUSUA MAISHA NA GLOBAL’ WAZAWADIWA

TUSUA-MAISHA-1

Mhariri wa magazeti ya Global Publishers, Aziz Hashim (katikati) akizungumza na washindi (hawapo pichani) muda mfupi kabla ya kuwakabidhi zawadi leo katika ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Usambazaji, Keffa Massaga, na kulia ni Meneja wa Masoko wa Global Publishers, Anthony Adam. WASHINDI …

Read More »