Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 06

Daily Archives: July 6, 2018

JAFO AWAAGIZA WATAALAM BAGAMOYO KUTUNZA VIFAA TIBA

sel+(1)

  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiongea na wananchi wa Bagamoyo Dkt.  Saleh kutoka nchini Saudia kutoka taasisi iliyofadhili mradi huo akitoa maelezo ya mradi kwa Waziri wa Tamisemi Mhe.  Selemani Jafo.    Wananchi wa Bagamoyo wakiwa katika mkutano wa …

Read More »

MDAU TILLAH MGUMIA ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA KWAKE

si1

Mdau Tillah Mgumia akiwa na dada yake Mhariri wa Mtanzania Digital, Siddy Mgumia wakifurahi  pamoja wakati aliposherehekea siku ya kuzaliwa kwake akiwa pamoja na dugu, Jamaa na Marafikia.Uwe na maisha marefu yenye baraka tele. Huu ni Mjikeki ulioliwa siku hiyo Mdau Tillah Mgumia akipozi kwa picha Mdau Tillah akifurahi pamoja …

Read More »

TFD IWE CHACHU YA UCHUMI WA VIWANDA NCHINI

1

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa TFDA na baadhi ya wadau wa afya hawapo pichani wakati wa upokeaji wa vyeti vya Ithibati kwa kiwango cha kimataifa iliyofanyika leo jijini Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka …

Read More »

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AIPONGEZA WCF KWA KUINGIA KWENYE MFUMO WA TEHAMA KATIKA KUTOA HUDUMA KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

wcf-tehama

  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, (wapili kushoto), Naibu Waziri wa Viwanda, Bishara na Uwekezaji, Mhe. Eng. Stella Manyanya, (wakwanza kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Masha Mshomba wakipatiwa maelezo …

Read More »

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI ATEMBELEA BANDA LA MAHAKAMA SABASABA

DSC08350

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Adelardus Kilangi (kulia) akiingia katika banda la Mahakama pindi alipotembelea mapema Julai 06 kujionea huduma zinatolewa, kushoto ni Mhe. Charles Magesa, Naibu Msajili- Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi. Mhe. Charles Magesa, Naibu Msajili- Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa …

Read More »

UBALOZI WA JAPAN WAMUUNGA MKONO WAZIRI UMMY MWALIMU KUJENGA MADARASA SITA YA SHULE YA MSINGI MWAKIDILA JIJINI TANGA

IMG-20180706-WA0018

Mkurugenzi waShirika la Maendeleo ya Wanawake mkoani Tanga(Tanga Women Development Initiative-TAWODE) Tawode Fatuma Mganga kushoto akisaini na Balozi wa Japan nchini Tanzania Masaharu Yoshida Msaada huo wenye thamani hya dola za kimarekani 84,000 (Takribani shilingi za kitanzania milioni 188) umetolewa na Serikali ya Japan kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania kufuatia …

Read More »

TCAA YASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE WATAALAMU WA NDANI

????????????????????????????????????

Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga, Aristide Kanje, akifafanua jambo kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu kozi zinazotolewa, wakati kamati hiyo ilipotembelea chuo hicho, jijini Dar es Salaam. Wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Selemani Kakoso. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu …

Read More »

TIGO NA TECNO WAUNGANA KULETA SIMU ZA KISASA KWA GHARAMA NAFUU

36785182_1763359820368398_123055580444098560_n

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (kushoto) akikabidhi zawadi ya simu aina ya Tecno S2 kwa mpiga picha Maurice (kulia) aliyoshinda katika droo ndogo iliyofanyika wakati wa uzinduzi wa ofa kabambe za simu kutoka Tigo na Tecno katika msimu huu wa Sabasaba. Katikati ni Afisa Mawasiliano wa Tecno, Eric Mkomoya.  ……………….. …

Read More »

PLUIJM KOCHA MPYA AZAM FC,ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA

36677460_256621261781632_7944904974578745344_n

Klabu ya Azam FC imemtambulisha rasmi Kocha wao Mpya  Mholanzi Hans Van Der Pluim akitokea Singida United ambayo ilimchukuwa kutoka Mabingwa wa Kihistori Yanga. Kocha Huyu amesaini Mkataba wa Mwaka Mmoja kuwatumikia Mabingwa hao watetezi wa Kombe la Kagame huku mpaka sasa wameshatinga hatua ya Robo Fainali ya Michuano hiyo …

Read More »

SIMIYU YAPOKEA VITABU 174, 188 VYA DARASA LA NNE

PICHA 1

Mwakilishi wa Taasisi ya Elimu Tanzania(TET) Bw. Didas Hamsini(kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka akiwa na baadhi ya viongozi na wanafunzi wa Shule ya Msingi Somanda A vitabu vya Darasa la nne mkoani humo, makabidhiano hayo yalifanyika Julai 05, 2018 katika Viwanja vya Ofisi ya Mkuu …

Read More »

Dk.shein Asafiri Safari Maalum Nchini Uingereza

DSC_9459

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini  kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza …

Read More »

NIMR Yaja na Mpango wa kutokomeza Ugonjwa wa TB Nchi za EAC

Tuberculosis (TB): Types, Symptoms, and Risks

Na Mahmoud,Arusha TAASISI ya utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kushirikiana na mtandao wa kujengea uwezo tafiti za Afya katika nchi za Afrika mashariki, imezindua mradi mpya unaolenga kuibua wagonjwa wapya wa kifua kikuu ( TB )utakaofanyika katika nchi tano za Afrika mashariki.   Akizungumzia Mradi huo wa miaka …

Read More »