Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 07

Daily Archives: July 7, 2018

RC MAKONDA APOKEA MWENGE WA UHURU.

MWE1

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda leo July 07 amepokea Mwenge wa Uhuru uliowasili Asubuhi ya leo Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere ukitokea Mkoa wa Kusini Pemba na kuukabidhi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bi. Sophia Mjema kwaajili ya kuanza shughuli ya uzinduzi wa …

Read More »

JKT QUEENS MABINGWA WAPYA LIGI YA WANAWAKE MSIMU WA 2018

36760816_257746028335822_1595068733959700480_n

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya JKT Queens imefanikiwa kutewaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara kwa kishindo, baada ya kumaliza na pointi 42 kutokana na kushinda mechi zake zote 14. Hiyo ni kufuatia ushindi wa mabao 6-2 jioni ya leo dhidi ya wenyeji, Mlandizi Queens …

Read More »

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF. KABUDI ATEMEBELEA BANDA LA MAHAKAMA KATIKA MAONESHO YA 42 YA BIASHARA YA KIMATAIFA

2N0A1354

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akiwa katika gari ya mfano inayotumika kama Mahakama inayotembea ‘mobile court’ pindi alipotembelea katika banda la Mahakama Julai 07, 2018. Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akijadili jambo na Mkutubi sehemu ya Maktaba iliyopo katika banda la Mahakama. …

Read More »

WAZIRI MKUU: SERIKALI HAITANUNUA MADENI

PMO_2185

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haina mpango wa kununua madeni yaliyosababishwa na mikopo ya kibenki kwenye vyama vikuu vya ushirika nchini.   Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Julai 7, 2018) wakati akizungumza na wanaushirika na mamia ya wakazi wa Jiji la Mwanza waliohudhuria maadhimisho ya Siku …

Read More »

IGP AFANYA ZIARA KATIKA VISIWA VYA ZIWA VIKTORIA

4

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akizungumza na Wakazi wa kata za Kagongo, Nyasungu na Kiriba zilizopo Visiwani Ziwa Victoria Mkoani Mara wakati wa Ziara yake ya kuhakikisha wahalifu wanaovamia wavuvi na vitendo vya wizi wa mifugo vinakomeshwa katika maeneo hayo. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini …

Read More »

KAMPUNI YA KUFANYA MATENGENEZO YA UMEME BILA KUUKATA YATUA DODOMA

cm3

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Afrique Live Power Line Maintenance T&D Ltd Donald Mwakamele kulia akiwapa maelezo  wataalam kutoka nchini Kenya ambao walijifunza teknolojia hiyo kwake Morogoro  na sasa wanaitumia nchini mwao. Mataifa Mengi yaliyoendelea katika masuala ya viwanda yanaitumia sana teknolojia hiyo kama wanavyoonekana katika picha hii. Gari Maalum …

Read More »

HATIMAYE BOEING 787-8 DREAMLINER KUTUA KESHO NCHINI

787-8-Air-Tanzania-680x365_c

RAIS Dkt. John Magufuli kesho Jumapili Julai 08, 2018 atawaongoza watanzania katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania. Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa alasiri ya leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu ya Rais, Gerson Msigwa na kusema ndege hiyo inatarajiwa kutua …

Read More »

KOZI YA UTIMAMU WA MWILI KWA WAAMUZI LIGI DARAJA LA KWANZA,LA PILI MSIMU WA 2018-19 KUFANYIKA KATIKA VITUO VIWILI VYA MWANZA NA DAR ES SALAM

tff_reminds_clubs_to_submit_players_registration_before_deadline_h5361_5746b

Kozi ya Utimamu wa mwili kwa Waamuzi watakaochezesha mechi za Ligi Kuu,Daraja la kwanza(FDL) na Daraja la Pili(SDL) msimu wa 2018/2019 inatarajia kufanyika katika Vituo viwili vya Mwanza na Dar es Salaam, Kozi hiyo itahusisha Waamuzi wote wa Daraja la Kwanzanchini,Waamuzi waliochezesha Ligi ya Mabingwa wa Mikoa(RCL) na Waamuzi waliochezesha …

Read More »

SERIKALI YA NIGERIA YATUMA UJUMBE NCHINI KUJIFUNZA NAMNA WATANZANIA WANAVYOWEZA KUISHI KWA AMANI NA MBINU ZA MAFANIKIO YA RAIS DKT MAGUFULI

DSC09400

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa umma na Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika akizungumza na ujumbe wa maafisa wa serikali kutoka Nigeria waliofika nchini kujifunza mbinu za mafanikio ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na namna uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa haraka, kujua namna Watanzania wanavyoweza kuishi kwa …

Read More »

TANZANIA YASISITIZA USHIRIKIANO KUTEKELEZA SDGs

WAZIRI MAHIGA

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida (kulia) akizungumza jambo na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne-Marie Kaarstad (wa pili kushoto) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam kushiriki kikao cha …

Read More »

RAIS MAGUFULI AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WA JESHI

magufuliii

Na. Immaculate Makilika – MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi  Mkuu Dkt. John  Pombe Magufuli  amewatunuku Kamisheni  Maafisa  wapya 123 wa Jeshi la Ulinzi na Wananchi wa Tanzania  (JWTZ) katika cheo ha Luteni UsO. Rais Magufuli amewatunuku Kamisheni Maafisa hao wapya wa Jeshi la Ulinzi …

Read More »

DKT. KEBWE AWAPONGEZA VIJANA WA UMITASHUMTA NA UMISETA

image1

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe  akikabidhiwa vikombe na Katibu Tawala Msaidizi Sehemu ya Elimu Mhandisi Joyce Baravuga  waliyoshinda vijana wa shule za msingi na sekondari Mkoa wa Morogoro katika mashindano ya UMISETA na UMITASHUMITA yaliyofanyika jijini Mwanza Juni Mwaka huu. Kulia ni  Katibu Tawala wa Mkoa …

Read More »