Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 08

Daily Archives: July 8, 2018

JUMUIYA YA ISTIKAMA ZANZIBAR YAKABIDHI MSAADA WA FEDHA KWA WANANCHI WALIOPATWA NA MAAFA YA UPEPO KISIWA CHA TUMBATU

2

WAFANYAKAZI wa Jumuiya ya Istikama Zanzibar wakiwa kwenye Boti wakielekea katika Kisiwa cha Tumbatu kwaajili ya kukabidhi  Msaada wa fedha kwa Wananchi waliopatwa na Maafa ya Upepo hivi karibuni. MWENYEKITI wa kitengo cha Maafa  Jumuiya ya Istikama Zanzibar Said Hemed Alshaybar  akimkabidhi Msaada wa Fedha Bi. Dawa Jabiri Haji mkaazi …

Read More »

BIA YA BUDWEISER YAINGIA SOKO LA TANZANIA KWA KISHINDO

BUD 2

Maofisa Waandamizi wa ABINBEV wakifanya cheers wakati wa hafla ya uzinduzi ya ndani. Baadhi ya wafanyakazi wa TBL wakifurahia  uzinduzi wa bia hiyo kwa shangwe mbalimbali ……………….. BIA YA BUDWEISER YAINGIA SOKO LA TANZANIA KWA KISHINDO Kampuni mama ya TBL Group ya ABInBev katika mkakati wake wa kupanua wigo wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA MAAFISA USHIRIKA WENYE VISINGIZIO

PMO_2185

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekemea tabia ya kutowajibika miongoni mwa watumishi kwa kisingizio cha mgawanyo wa madaraka.   Ametoa onyo hilo jana (Jumamosi, Julai 7, 2018) wakati akizungumza na wanaushirika na mamia ya wakazi wa Jiji la Mwanza waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya …

Read More »

UJUMBE WA MAOFISA WA JESHI LA ZIMBABWE WAFANYA ZIARA TBL

TOUR JESHI 7

Meneja Mawasiliano wa TBL Group,Zena Tenga,akieleza ujumbe wa wanajeshi hao kampuni inavyoendesha shughuli zake Meneja wa Kiwanda cha bia cha TBL  Group Ilala jijini Dar es Salaam, Calvin Martin akifafanua jambo kwa ujumbe huo wakati wa ziara hiyo Mtaalamu wa upishi wa bia katika kiwanda cha TBL cha  Ilala,jijini Dar …

Read More »

WAZIRI MKUU: AMCOS ZIAJIRI WATUMISHI WENYE SIFA

PMO_1869

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa vyama vya msingi (AMCOS) waajiri mameneja wenye sifa ili kuepuka ubadhirifu ndani ya vyama hivyo.   Ametoa rai hiyo jana (Jumamosi, Julai 7, 2018) wakati akizungumza na wanaushirika na mamia ya wakazi wa Jiji la Mwanza waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Ushirika …

Read More »

TTB YAENDELEA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA KUPITIA MICHEZO

1

Afisa Uhusiano wa TTB, Bi. Augustina Makoye akimkabidhi kijana Saidi Mkomba fukana  ambayo inahusu utambulisho wa nchi na kuwakaribisha wanamichezo na raia wengine kuja kuitembele nchi ya Tanzania. Saidi  Mkomba akiperuzi moja ya jarida la utalii punde baada ya makibidhiano. ………………….. Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inaendelea na mkakati wake …

Read More »

WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA, PROF KABUDI NA NAIBU KATIBU MKUU WA MALIASILI NA UTALII, DKT. NZUKI WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

5

Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi akipatiwa maelezo  kutoka kwa Afisa Misitu, Elias Nkilima wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii leo katika viwanja vya Sabasaba Baadhi ya wateja wakiwa na  nyuso za furaha wakiwa wanatoka katika Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii mara baada …

Read More »