Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 09

Daily Archives: July 9, 2018

Katibu Mkuu CCM Aipongeza TRA kwa kuongeza Makusanyo

_MG_8373

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Huduma TRA Bi. Honesta Ndunguru baada ya kumaliza ziara yake katika banda la TRA katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya 42 yanayoendelea jijini Dar ers salaam Meneja wa Huduma TRA Bi. Bonesta Ndunguru akimfafanulia jambo Katibu …

Read More »

ENRIQUE ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA WA TIMU YA TAIFA YA HISPANIA

skysports-luis-enrique-football_4258449

ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Luis Enrique, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hispania baada ya nchi hiyo kung’olewa katika Kombe la Dunia wakati wa kutafuta 60 bora katika michuano inayoendelea nchini Russia. Kwa mujibu wa mkataba, Enrique ataishika nafasi hiyo kwa miaka miwili. Kocha huyo …

Read More »

Wachimbaji Wadogo Kunufaika na Vituo Vya Umahiri

PIX 4 WAZIRI AKIONGEA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Prof. Simon Msanjila ( wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Ujenzi ya SUMA JKT, Mhandisi Morgan Nyonyi wakisaini Mikataba ya Ujenzi wa Vituo vya Umahiri. Nyuma wanaoshuhudia ni Waziri wa Madini Angellah Kairuki (wa kwanza kushoto) na Naibu Waziri wa Madini …

Read More »

KATIBU MKUU WA CCM TAIFA, DKT. BASHIRU ATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA 42 YA KIMATAIFA YA BIASHARA JIJINI DAR ES SALAAM

V25A3973

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa  Dkt. Bashiru Ally (kushoto) akimsikiliza Mwandishi wa Taarifa  Rasmi za Bunge Mwandamizi, Ndg. Patson Sobha akimpatia maelezo kuhusu Siwa alimaarufu kama “Rungu la dhahabu” na umuhimu wake Bungeni alipotembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea leo tarehe …

Read More »

UN YATUNUKU UBUNIFU KATIKA MAENDELEO ENDELEVU

AWARD 3

Mtaalamu wa Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Bi. Hoyce Temu (kushoto) akimkabidhi Latifa Mohammed Ngea kutoka Zanzibar (kulia) mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni tatu mara baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa tuzo za Umoja wa Mataifa za ubunifu akiwa miongoni mwa vijana watatu waliokuwa …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU JUMUIYA YA WAZAZI CCM TAIFA KUTOKA ZANZIBAR NAJMA GIGA AKABIDHI SH.MILIONI 1.5 KWA UONGOZI WA CHUO CHA KILIMO NA MIFUGO CHA KAOLE BAGAMOYO KATIKA MAHAFALI YA TATU YA CHUO HICHO

3

   Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kutoka Zanzibar,Najma Murtaza Giga (katikati) akimkabidhi cheti cha Stashahada cha Kuhitimu Mafunzo ya Kilimo na Ufugaji,Rais wa Chuo cha chuo  cha Kilimo na ufugaji cha Kaole,Glorious Kalabamu (kushoto) katika Mahafali ya tatu ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni hapo wilayani Bagamoyo …

Read More »