Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 10

Daily Archives: July 10, 2018

BITEKO ASIMAMISHA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI EPANKO

PICHA NA 4

Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Prof. Shukran Manya akiwasilisha  taarifa ya uchunguzi wa shughuli za uchimbaji madini ya kinywe na vito katika machimbo ya Epanko mbele ya Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko, Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Jackob Kassema pamoja na watendaji kutoka Wizara ya Madini (hawapo pichani) …

Read More »

Serikali Yatoa Miezi 3 Ukamilishaji Vituo vya Afya 98

1

Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo, akihutubia wananchi katika eneo la Nkonko wilayani Manyoni mkoani Singida , wakati wa ziara yake ya kukagua shughuli za miundombinu ya Afya, Kituo hicho kimepelekewa Mil. 400 kwa ajili ya ukarabati wa kituo. Mhe. Daniel Edward Mtuka Mbunge wa Manyoni Masharikiri akitoa …

Read More »

ARSENAL YAMNASA TORREIRA KUTOKA SAMPDORIA

4E17453300000578-5938287-image-a-205_1531232847522

Kiungo wa kimataifa wa Uruguay, Lucas Torreira akifurahia baada ya kukamilisha usajili wake klabu ya Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 25 kutoka Pescara alikokuwa anacheza kwa mkopo kutoka Sampdoria. Lucas Torreira anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Arsenal chini ya kocha mpya, Mspaniola Unai Emery, baada ya Sokratis Papastathopoulos, Bernd Leno na Stephan Lichtsteiner PICHA ZAIDI …

Read More »

SERIKALI KUENDELEA KUKUZA UJUZI NCHINI

????????????????????????????????????

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akizungumza na Naibu Mawaziri na wajumbe alipokutana nao kujadili juu ya Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini, hii leo Julai 10, 2018 Jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu akifafanua jambo wakati wa majadiliano na Naibu …

Read More »

JAFO AWAPONGEZA WILAYA YA MANYONI KWA UJENZI MZURI

IMG-20180710-WA0116

        Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali wa wilaya ya Manyoni katika wodi mpya ya akinamama kwenye Kituo cha Afya Kintinku.    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za …

Read More »

YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO MSHAMBULIAJI TOKA MTIBWA SUGAR

36887847_2192309804144874_2055627474498224128_n

  Mabingwa wa Kihistori wa Tanzania klabu ya Yanga imekamilisha saini ya Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar na Mtibwa Sugar,Mohammed Issa Banka kwa mkataba wa miaka miwili wa  kuwatumikia wanajangwani hao. ‘Mo Banka’ ametambulishwa leo Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh aliyeambatana na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, …

Read More »

MSAJILI WA HAZINA AFUFUA VIWANDA VYA BABA WA TAIFA MBEYA

dangotee

Na Judith Mhina-MAELEZO Katika kuhakikisha azma ya Tanzania ya Viwanda inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini  ya Rais Dkt John Pombe,Ofisi ya Msajili wa Hazina imefanikiwa kufufua baadhi ya viwanda vilivyoasisiwa na Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Mbeya. Juhudi za kufufua viwanda hivyo zimeonekana …

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

8

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akiongoza Kikao cha Kamati Kuu (CC) ya CCM kilichofanyika katika Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam.  Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

KATIBU MKUU WA CCM, DKT. BASHIRU PAMOJA NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. HASUNGA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALISIALI NA UTALII

3A

Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally (katikati) akizungumza na Afisa Misitu, Kombo Siwa  ( wa kwanza kulia) akiwa pamoja na Naibu Waziri wa Maliasili na utalii, Japhet Hasunga ( wa kwanza kushoto)  wakipatiwa maelezo na wakati walipotembelea Banda la Wizara ya Maliasili katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, SUBIRA MGALU AZINDUA MRADI WA UMEME VIJIJINI REAIII WILAYANI KILOSA, VIJIJI 180 MKOANI MOROGORO KUNUFAIKA

NAIBU WAZIRI UZINDUZI WA KUWASHA UMEME KIJIJI CHA MANDELA PIX NO 06

 Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, na viongozi wengine wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa usambazaji umeme vijijini REA Awamu ya Tatu (REAIII), kwenye kijiji cha Mandera Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro Julai 9, 2018. Mhe. Naibu Waziri pia alitumia fursa hiyo kusikilzia …

Read More »

WAZIRI TIZEBA NA MWIJAGE WATUA KAGERA

DSC_0743

      Na Mathias Canal-WK, Bukoba-Kagera Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt Charles Tizeba (Mb) na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe Charles Mwijage wamewasili Mkoa Kagera kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia 10 Julai 2018 hadi 13 Julai 2018. Ziara hiyo imeanza kwa mawaziri hao …

Read More »