Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 11

Daily Archives: July 11, 2018

“HAKUNA BEI NZURI YA KAHAWA-UGANDA” DKT TIZEBA

DSC_0894

Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akikisitiza jambo wakati akizungumza na wadau wa biashara ya Kahawa katika ukumbi wa Happiness Hoteli uliopo katika eneo la Mtukula Wilayani Misenyi, Leo 11 Julai 2018. (Picha zote Na Mathias Canal-WK) Wadau wa biashara ya Kahawa wakifatilia mkutano wa Waziri wa Kilimo Mhe. …

Read More »

TFS KUHIFADHI MISITU YOTE ILIYOMO NDANI YA JIJI LA DODOMA

deal-done-2

Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi (kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS Professa Dos Santos Silayo wakikabidhiana hati hati ya makubaliano inayoipa mamlaka TFS kupanda na kustawisha miti, na kuhifadhi misitu yote iliyopo ndani ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kuikijanisha …

Read More »

PROFESA MBARAWA AAGIZA DUWASA KUONGEZA MAKUSANYO

048A4481

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa akiwa na Profesa Ahmed Ame, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Dodoma. Waziri alitoka kukagua mabwawa ya maji taka yaliyopo katika Chuo Kikuu cha Dodoma. Wengine aliyeongozana nao ni Mkurugenzi Mtendaji wa DUWASA, Mhandisi …

Read More »

JUISI ZA AZAM YAJA KIVINGINE ‘AFRICAN FRUTI’

2

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Bakhresa Foods and Beverages Ltd wakionyesha juisi ya African Fruti iliyokuwa ikijulikana kama Azam juisi kwenye hafla ya uzinduzi wa juisi hiyo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Waziri wa Viwanda, Biashara na …

Read More »

DKT. KEBWE AWATAKA WANANCHI WA MOROGORO KULIMA KILIMO BORA

image2

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe Stephen Kebwe  akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa semina ya mafunzo ya maafisa ughani yaliyoandaliwa na Serikali ya watu wa China kupitia Chuo Kikuu cha Kilimo cha China kwa kushirikiana  na Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinne SUA, ufunguzi huo ulifanyika Julai 10 …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

kamandamtei-620x308

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama hali inayopelekea kupata …

Read More »

POLISI KILIMANJARO WAKAGUA LESENI YA MADEREVA 2000

E86A7873

Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,ACP ,Hamis Issah akizungumza na madereva katika kituo kikuu cha Mabasi mjini Moshi wakati akifungua rasmi mafunzo kwa madereva hao ikiwa ni njia mojawapo ya kuwakumbusha Sheria ya Barabarani pamoja na matumizi ya Alama mpya za barabarani. Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,ACP,Hamis Issah akiwaonesha …

Read More »

MATUKIO YA SEMINA YA PILI YA WANASHERIA KUTOKA BARA LA AFRIKA ILIYOANDALIWA NA MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA NINADAMU NA WATU JIJINI ARUSHA

Prez opening 2nd African training

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Sylvain Ore akifungua semina ya wanasheria kutoka katika nchi za afrika iliyofanyika kwa siku tatu kujadili mambo kadhaa yahusuyo mahakama hiyo changamoto na maboresho kwenye masuala ya usajili wa kesi zinazowasilishwa mahakamani hapo mwanzoni mwa wiki jijini Arusha …

Read More »

ZIARA YA IGP SIRRO WILAYA ZA RORYA NA BUTIAMA

3

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro waakimkabidhi zawadi ya fedha mwanafunzi wa Shule ya Msingi Ingri Juu Wilayani Rorya baada ya kujibu swali wakati alipokuwa akiwasili wilayani hapo kuendelea na  Ziara yake ya kubaini changamoto za uhalifu na kuzipatia ufumbuzi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Mkuu …

Read More »