Thursday , January 17 2019

Home / BIASHARA / MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA

MATUKIO KATIKA PICHA ZA ZIARA YA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DK.ABBASI KATIKA MAONESHO YA 42 YA SABASABA

1

Baadhi ya wananchi wakiwa katika maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam.

2

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akisalimiana na watumishi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akitembelea mabanda mbalimbali wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

5

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (kulia) akimsikiliza Afisa wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

6

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi (wa pili kulia) akisalimiana na baadhi ya wananchi waliotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

16

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akisoma gazeti la Uhuru wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

18

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia samaki walioandaliwa tayari kwa kitoweo wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

19

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia bwawa la kisasa la kufugia samaki wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

22

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia nguo zinazotengenezwa na wawekezaji wa Ukanda Maalum wa Uzalishaji wa Bidhaa kwa Mauzo ya Nje wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

23

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akiangalia namna taasisi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania wanavyotoa huduma kwa wateja wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

24

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

26

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Shirika la Posta wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

28

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa (Standard Gauge)  wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

29 30

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akipata maelekezo toka kwa mtumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

31

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Dk. Hassan Abbasi akizungumza na watumishi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATC) wakati alipotembelea maonesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam jana jijini Dar es Salaam.

Picha na MAELEZO

About Alex

Check Also

1R6A0323

MHE HASUNGA ASHUHUDIA HAFLA YA UTIAJI SAINI MIKATABA YA UBANGUAJI KOROSHO

  Mkurugenzi wa Bodi ya nafaka na Mazao Mchanganyiko Tanzania Dkt Hussein Mansoor (Kushoto) akisalimiana …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

16 − 2 =