Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 12

Daily Archives: July 12, 2018

TFF YAMVUA CLEMENT SANGA WA YANGA UENYEKITI BODI YA LIGI

TFF

Rais wa shirikisho la soka nchini (TFF), Wallace Karia (katikati),  akiongea na wanahabari leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa TFF, Kidao Wilfred. KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kilichofanyika leo Julai 12,2018,  makao makuu ya shirikisho hilo, kimemuondoa  aliyekuwa mwenyekiti wa Bodi ya …

Read More »

WAZIRI MKUU ATAKA MAAFISA UGANI WAWEZESHWE

PMO_3009

    *Awataka wasimamie mifumo rasmi ya ununuzi wa mazao   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ofisi za maafisa ugani zinapaswa kuwepo walipo wakulima, wafugaji na wavuvi na kwamba maafisa ugani katika ngazi zote lazima wawezeshwe na wasimamiwe kikamilifu. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo (Alhamisi, Julai 12, 2018) wakati …

Read More »

TAASISI ZA DINI ZIWEKEZE KWENYE VIWANDA – WAZIRI MKUU

PMO_3035

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini wasibaki nyuma katika suala zima la kuwekeza kwenye viwanda ili waweze kuendana na azma ya Serikali ya awamu ya tano ya kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.   “Serikali ya awamu ya tano imeazimia kukuza uchumi wa viwanda. …

Read More »

BOOMPLAY MUSIC KUFIKISHA MILIONI 10 INSTALLATIONS KWENYE GOOGLE PLAY STORE & MILIONI 29 JUMLA YA WATUMIAJI

press 6

DAR ES SALAAM, TANZANIA– Boomplay Music kufikisha Milioni 10 Installations kwenye Google Play Store & Milioni 29 Jumla ya Watumiaji Katika kuthibitisha kukubalika na kuongoza kama platform iliyo mbele katika usambazaji muziki, Boomplay Music, ni platform inayokua kwa kasi kubwa katika kusikiliza (streaming) and kupakua “download” muziki ndani ya Afrika, …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU FURSA ZA UFADHILI WA MASOMO

ngao

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo katika kozi mbalimbali kutoka Serikali ya Saudi Arabia. Mafunzo hayo yatatolewa katika Chuo Kikuu cha Imam Abdulrahman bin Faisal kilichopo Saudi Arabia. Taarifa kamili kuhusu ufadhili, kozi na taratibu zote za namna ya kuomba …

Read More »

KIUNGO FUNDI TOKA JKU ASAINI SINGIDA UNITED MIAKA MITATU

index

  Klabu ya Singida United imefanikiwa kuinasa saini ya  mchezaji Feisal Salum Abdalah “FEI TOTO” kwa kandarasi ya miaka mitatu. Katika kikao cha pamoja cha Uongozi wa JKU na Singida United, wameshakubaliana gharama za kufidia mkataba (transfer fee) wa miaka miwili ambayo mchezaji huyo alibakiza kuitumikia JKU. Toto ambaye alikuwa …

Read More »

Biteko Akamata Tani Saba Za Madini Ya Vito Yaliyofichwa Ndani

PICHA NA 5

Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Mchembe (kushoto) akielezea shughuli za uchimbaji madini katika wilaya yake kwa Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko (katikati) kwenye ziara yake katika eneo la Rubeho wilayani Gairo mkoani Morogoro tarehe 11 Julai, 2018 Mchimbaji madini aliyekamatwa akiwa amehifadhi madini aina ya Rhodilite yenye uzito …

Read More »