Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 13

Daily Archives: July 13, 2018

MKUTANO WA KIDUNIA WA VYAMA VYA SIASA KURINDIMA JIJINI DAR ES SALAAM, JULAI 17-18, 2018, MAMIA YA WAJUMBE KUTOKA NDANI NA NJE YA AFRIKA KUHUDHURIA

index

Lumumba, Dar es Salaam Mkutano wa Kidunia wa vyama vya siasa utakaohusisha vyama 38 vya siasa kutoka Afrika ambao umeandaliwa kwa ushirikiano wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), utafanyika jijini Dar es Salaam, Julai 17-18, 2018 Taarifa iliyotolewa na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi …

Read More »

KUTOKA DStv TUNAKUAMBIA HIVI,MOTO HAUZIMWI

DStv ads Instagram(1080px X 1080px)

Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja wa DStv ambaye akaunti yake iko hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na za Watoto buree kabisa! Amini usiamini…., utashuhudia mieleka na mbio za magari za langalanga(Formula 1) kupitia Supersport 1,2,3,4,5,6,7 na 8. Ofa hii …

Read More »

GST INAZO FURSA NYINGI ZA KIBIASHARA- PROF. MSANJILA

DSC_0247 (1)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila akipewa maelezo juu ya vifaa mbalimbali vya utafiti wa miamba na madini kutoka kwa Mkurugenzi wa Jiolojia wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Maruvuko Msechu. Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila pichani akipewa maelezo …

Read More »

NEEC yawahimiza wahitimu kujikita kwenye ujasiriamali

large-1531486244-mafunzo

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) Bibi Beng’i Issa amewataka wahitimu wa masomo ya elimu ya juu hapa nchini kuangalia uwezekano wa kujiajiri kupitia biashara na kilimo kwani hivi sasa kuna changamoto ya ajira. Bibi Beng’i Issa aliyasema hayo wakati wa kufungua semina ya mafunzo …

Read More »

DKT TIZEBA AWAPIGA MSASA WATAFITI MARUKU-BUKOBA

DSC_1034

Waziri wa Kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akizungumza kwenye kikao kazi kilichowakutanisha watendaji wa Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania (TARI) kituo cha Maruku, Taasisi ya utafiti wa kahawa (TACRI) na Uongozi wa chuo cha mafunzo ya kilimo MARUKU katika kijiji cha Butairuka Kata ya Maruku Wilayani Bukoba vijijini, Leo 13 Julai …

Read More »

WAZIRI MKUU: SH. 43bn/- ZIMELIPA MADENI YA WATUMISHI

PMO_3207

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo, Julai 13, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack . Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………….. *Asema madeni yaliyohakikiwa yamefikia sh. bilioni 127   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa …

Read More »

HIZI HAPA SABABU ZA TFF KUONGEZA IDADI YA WACHEZAJI WA KIGENI

TFF

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) imemthibitisha Kidao Wilfred kuwa Katibu Mkuu wa TFF katika kikao kilichofanyika jana Julai 12,2018 Makao Makuu ya TFF Karume,Ilala. Rais wa TFF Wallace Karia aliwasilisha suala la Kidao kwenye kikao hicho na Wajumbe kulipitisha na kuthibitisha rasmi Kidao katika nafasi …

Read More »

KAMPUNI YA UVUVI ZANZIBAR (ZAFICO) IMETILIANA SAINI NA KAMPUNI YA HAIRU GROUP YA SIRLANKA KWA AJILI YA UNUNUZI WA BOTI YA KISASA YA KUVULIA

1

MKURUGENZI Mtendaji Kampuni ya Uvuvi ya Zanzibar (ZAFICO) Zahor Kassim Mohamed (kulia) wakitia saini na Mwenyekiti wa Hairu Group ya  Sirilanka  Zainul-Abdeen Mohamed kwaajili ya Ununuzi wa Boti ya Kisasa ya Uvuvi, katika hafla iliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Maliasili na Uvuvi Darajani Mjini Zanzibar. MKURUGENZI Mtendaji Kampuni …

Read More »

RAIS WA TFF ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA JULIANA YASODA

25626bd4de-img8874-660x330

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) Wallace Karia amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za msiba wa aliyewahi kuwa Naibu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Juliana Matagi Yasoda. Katika salamu zake za rambirambi Rais wa TFF Ndugu Karia amesema mama Yasoda enzi za uhai wake alikuwa mwanamichezo …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UPANUZI WA MAJI YA ZIWA VICTORIA NA KUSHUHUDIA UUZAJI WA PAMBA WILAYANI KISHAPU

PMO_3245

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitazama pamba wakati alipotembelea ghala la Chama cha Ushirika cha Msingi cha Mwangongo wilayani Kishapu Julai 13, 2018.  Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack na wanne kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Mwangongo,  Pius Kushoka. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishuhudia uuzaji wa pamba …

Read More »

KAMISHNA MKUU WA TRA KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO ZA KIKODI ZINAZOIKABILI SEKTA YA UZALISHAJI WA MVINYO

PIX 3

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (katikati) akimsikiliza Mtaalam wa kutengeneza mvinyo wa kiwanda cha CETAWIKO cha Jijini Dodoma, Bw. Erick Shulz (kushoto) namna mvinyo unavyotengenezwa kiwandani hapo wakati alipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kutambua changamoto zinazowakabili Wawekezaji. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato …

Read More »

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BARAZA JIPYA LA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DAR ES SALAAM

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Baraza jipya la wadhamini wa Chama cha Mapinduzi CCM Ikulu jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia mstari wa kwanza ni Dkt. Haruni Kondo, Anna Abdallah(Mwenyekiti wa Baraza) …

Read More »

NECTA YATANGAZA MATOKEO KIDATO CHA SITA, TAZAMA HAPA

NECTA

  BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde, Mjini Zanzibar. Shule nyingine zilizoshika …

Read More »

SPIKA WA NDUGAI AFIKA KUMJULIA HALI MBUNGE WA CHAANI MHE. KHAMIS YAHYA MACHANO, NYUMBANI KWAKE MJINI UNGUJA, ZANZIBAR

PIC 1

Spika wa  Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshimiwa Khamis Yahya Machano (kulia) alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Unguja Mjini, Zanzibar mapema leo. Spika wa  Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshimiwa Khamis Yahya Machano (kulia) …

Read More »

ZAIDI YA VIBANDA ELFU TATU VYA FILAMU KUDHIBITIWA KUSIMAMIA MAADILI

Pix 3

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo Susan Mlawi amesema wizara kupitia bodi ya filamu nchini  inafanyia kazi vibanda zaidi ya 3,800  kati ya vibanda elfu 5 vilivyopo ambavyo vinaonyesha filamu bila udhibiti wa kutosha na kutishia mmomonyoko wa maadili kwa vijana na watoto. Alisema kutungwa kwa kanuni …

Read More »