Tuesday , July 17 2018

Home / filamu / KUTOKA DStv TUNAKUAMBIA HIVI,MOTO HAUZIMWI

KUTOKA DStv TUNAKUAMBIA HIVI,MOTO HAUZIMWI

DStv ads Instagram(1080px X 1080px)

Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja wa DStv ambaye akaunti yake iko hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na za Watoto buree kabisa!

Amini usiamini…., utashuhudia mieleka na mbio za magari za langalanga(Formula 1) kupitia Supersport 1,2,3,4,5,6,7 na 8.

Ofa hii haijawaacha Watoto kwani nao wataweza kushuhudia katuni mpya za peppa pig/munki and trunk na cloudy with a chance of meetballs kupitia Cartoon network, Disney, Nickleodeon na Cbeebies.

Hii si ya kukosa…….. au vipi?

Hakikiksha tu akaunti yako haijakatika na kama imeatika wahi kulipia akauti yako leo usipitwe na ofa hii ya aina yake!

Kumbuka ni chaneli zote za Supersport na katuni (Watoto) bila kijali kifurushi ulichopo.Unangoja nini?

#KamaSioDStvPotezea

About Alex

Check Also

8b

VIDEO:MAMA SAMIA ANUKUU BIBLIA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinukuu baadhi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

18 + 10 =