Tuesday , July 17 2018

Home / MCHANGANYIKO / Utekelezaji Wa Mradi wa SMMRP Waanza, Wajenzi Wilaya Ya Mpanda Wakabidhiwa Kazi

Utekelezaji Wa Mradi wa SMMRP Waanza, Wajenzi Wilaya Ya Mpanda Wakabidhiwa Kazi

1

Mkurugenzi wa Sheria Kutoka Wizara ya Madini Bw. Edwin Igenge (Kulia) na Kaptain Jackson Stephano Muwakilishi kutoka Suma JKT wakitiliana saini ya kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Umahiri kwa kampuni ya SUMA JKT ikiwa ni utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) wenye lengo la kusaidia kuwaongezea ujuzi wachimbaji wadogo, Mkoani Katavi katika Wilaya ya Mpanda.

2

Mkurugenzi wa Sheria Kutoka Wizara ya Madini Bw. Edwin Igenge (Kulia) na Kaptain Jackson Stephano Muwakilishi kutoka Suma JKT wakibadilishana mikataba  baada ya utiaji saini kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Umahiri kwa kampuni ya SUMA JKT ikiwa ni utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) wenye lengo la kusaidia kuwaongezea ujuzi wachimbaji wadogo, Mkoani Katavi katika Wilaya ya Mpanda.

3

Mkurugenzi wa Sheria Kutoka Wizara ya Madini Bw. Edwin Igenge (Kulia) na Msanifu Majengo kutoka kampuni ya Y&P Bw. Benjamin Kasiga (kushoto) wakimkabidhi Muwakilishi wa Kampuni ya SUMA JKT Kapteni Jackson Stephano mchoro kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) wenye lengo la kusaidia kuwaongezea ujuzi wachimbaji wadogo, Mkoani Katavi katika Wilaya ya Mpanda.

4 5

Wawakilishi kutoka Wizara ya Madini, SUMA JKT na Kampuni ya Y&P wakiangalia mchoro kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) wenye lengo la kusaidia kuwaongezea ujuzi wachimbaji wadogo, Mkoani Katavi katika Wilaya ya Mpanda

6

Eneo utakapotekelezwa mradi wa  Ujenzi wa Kituo cha Umahiri kwa kampuni ya SUMA JKT ikiwa ni utekelezaji wa Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP) wenye lengo la kusaidia kuwaongezea ujuzi wachimbaji wadogo, Mkoani Katavi katika Wilaya ya Mpanda.

PICHA NA IDARA YA HABARI

 

About Alex

Check Also

PMO_5560

MAJALIWA AZINDUA GHALA LA KUHIFADHIA MAZAO YA WAKULIMA KATIKA KIJIJI CHA BULIGE WILAYANI KAHAMA

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ghala la kuhifadhia mazao ya wakuliama katika …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

five × three =