Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 14

Daily Archives: July 14, 2018

Watanzania wang’ara Majimaji Selebuka Marathon

riadha

NA MWANDISHI WETU, SONGEA TAMASHA la Majimaji Selebuka 2018 limekata utepe jana mjini hapa kwa mbio za Marathon huku ikishuhudiwa Nestory Hudu kutoka Singida akiwatoa nishai Wakenya.  Hudu aliibuka kidedea katika mbio za Kilomita 42 kwa wanaume akitumia saa 2:21:25 akifuatiwa na John Leonard wa Arusha saa 2.22:09 huku nafasi …

Read More »

DKT. KALEMANI ATOA SIKU KWA TANESCO TABORA KUHAKIKISHA UMEME UNAWAKA KATIKA KIWANDA CHA PAMBA CHA MANONGA

1a

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (mbele) akimwogoza  na ,Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani(wa pili) kutembelea mitambo ya kiwanda cha pamba cha Manonga kilichopo Wilayani Igunga alipokwenda kujionea jinsi ukosefu wa umeme wa Tanesco unavyopunguza uzalishaji na kulazimika kuliagiza Shirika la TANESCO kupeleka haraka umeme. Waziri wa Nishati …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA PAMOJA NA NAIBU KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO NA MAZINGIRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha cheo Phaustine Martin Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la …

Read More »

LIVE IKULU: Rais Akiwaapisha Kamshina Jenerali wa Magereza

magereza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo Julai 14, 2018 anamuapisha Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Martin Kasike. Tukio hilo linafanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Kabla ya kuteuliwa kushika nafasi hiyo ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Dkt. Juma Alli Malewa, ambaye amestaafu Julai 06, …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA

PMO_3699

Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyokamuliwa  kutokana na mbegu za pamba wakati  alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha  JIELONG nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho, Gemin Shao.  Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za …

Read More »

WASTAAFU POLISI WAPATIWA ELIMU YA MIKOPO

1

Mwenyekiti wa Chama cha Askari Polisi Wastafu(TAPOA) Kamishna mstaafu Suleiman Kova akizungumza katika ufunguzi wa semina ya wastaafu hao ambapo walipatiwa elimu ya kupata mikopo ya kustaafu na benki ya Azania Meneja wa huduma za mikopo kutoka benki ya Azania Thobias Samwel akizungumza na wanachama wa Chama cha Askari Polisi …

Read More »

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA UMMA MJINI SHINYANGA

PMO_3563

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Umma kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha Ushirika  Moshi, Kituo cha Kizumbi mjini Shinyanga, Julai 14, 2018.   Baadhi ya watumishi wa  Umma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ushirika Moshi, Kituo  cha Kizumbi mjini Shinyanga, Julai 14, …

Read More »

WAZIRI KALEMANI AWASHA UMEME KIJIJI CHA KISANGA

122222

  Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwasha umeme katika Kijiji cha Kisanga Kata ya Kisanga wilaya ya Sikonge tarehe 12 Julai, 2018. Wengine wanaoshuhudia ni Viongozi Waandamizi kutoka kwa Mkuu wa Wilaya Sikonge, REA, TANESCO, Wakandarasi pamoja na wananchi.   NA RHODA JAMES – SIKONGE WAZIRI wa Nishati, Dkt. …

Read More »

WAZIRI MKUU: WANAUME PIMENI VIRUSI VYA UKIMWI

PMO_3207

*Asisitiza wananchi wajiunge na Bima ya Afya   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanaume wote wa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wakapime afya zao ili kubaini kama wameambukizwa virusi vya UKIMWI au la. Ametoa rai hiyo jana (Ijumaa, Julai 13, 2018) wakati akizungumza na mamia ya wananchi wa kijiji cha Mwangongo …

Read More »

WAKULIMA DAKAWA WANUFAIKA NA KILIMO CHA UMWAGILIAJI

Picha no 6

Mkoani Morogoro. Pichani Mhandizi wa kanda ya Morogoro, kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Senzie Maeda, akiongea na waandishi wa habari katika skimu ya kilimo cha Umwagiliaji cha Dakawa, kilichopo katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Pichani, moja ya miundombinu inayopeleka maji katika skimu ya kilimo cha umwagiliaji cha Dakawa …

Read More »