Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 15

Daily Archives: July 15, 2018

MSHAMBULIAJI MPYA WA SIMBA APATA AJALI YA GARI AKITOKEA MWANZA

37224585_265455400898218_4672028337546199040_n

Na Mwandishi Weti, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa Simba SC, Adam Salamba amepata ajali ya gari akiwa njiani kurejea mjini Dar es Salaam kutoka kwao Mwanza, lakini bahati nzuri hakuumia. Salamba amesema kwamba ajali hiyo imetokea eneo la Vigwaza, Bagamoyo mkoani Pwani baada ya kugongwa kwa nyuma na kusababisha naye …

Read More »

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWAONGEZEA MAENEO YA KILIMO

Picha no 4

Mhandisi wa kanda ya Mororgoro kutoka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji, Senzia Maeda, akiongea kuhusu upanuzi wa eneo lenye ukubwa wa Hekta (1000) kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji katika skimu ya Dakawa, wilayani Mvomero. Ghala la kuhifadhia mazao lililojengwa na serikali katika skimu ya Dakawa wilayani Mvomero, ili kuweza …

Read More »

WAZIRI MKUU: MUWAFUATE WANANCHI VIJIJINI

PMO_4223

    *Ataka watenge siku tatu hadi nne waende waliko wananchi *Asema Serikali hii haitaki mambo ya urasimu   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wote wa Serikali za Mitaa nchini watenge theluthi mbili ya muda wao wa kazi kwa kuwasikiliza wananchi na kuwahudumia.   Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, …

Read More »

WAZIRI MKUU AKEMEA MAHUSIANO MABAYA YA WATUMISHI KAHAMA

PMO_4203

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Umma wa wilaya ya Kahama na Mkoa wa Shinyanga kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya hiyo   Julai 15, 2018. Wengine pichani  kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Stanslaus Nyongo na …

Read More »

“LAMBALAMBA MARUFUKU MKOANI SONGWE”-CHIKU GALLAWA

a

Mkuu wa Mkoa wa Chiku Gallawa akizungumza katika kikao cha wadua wa Afya kilichofanyika katika chuo cha Uuguzi Mwambani Mkwajuni-Songwe, Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Songwe Samwel Jeremia na Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje Joseph Mkude. ……………… Grace-Songwe Waganga wote wa jadi wanaopiga ramli chonganishi maarufu …

Read More »

WAZIRI MKUU AONGOZA HARAMBEE YA PAPO KWA PAPO

PMO_4007

*Achangisha mifuko 2,000 ya saruji ujenzi wa uzio wa sekondari   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amechangisha mifuko 2,000 ya saruji na sh. milioni 50 kwenye harambee ya papo kwa papo kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa sekondari ya Mwendakulima wilayani Kahama.   Waziri Mkuu ameendesha zoezi hilo leo (Jumapili, …

Read More »

JAFO AWAPONGEZA SHULE YA SEKONDARI KIBAHA

IMG-20180715-WA0086

   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akizungumza na walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kibaha.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)Selemani Jafo akipokea taarifa kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Elimu Kibaha.  Waziri …

Read More »

KANGI LUGOLA ATEMBELEA KITUO CHA UCHAPAJI NYARAKA ZA UHAMIAJI,KILICHOPO MTONI KIJICHI,JIJINI DAR ES SALAAM

PIX 4

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola(wapili kutoka kushoto), akimsikiliza Mchapaji wa nyaraka mbalimbali zinazotumiwa na Idara ya Uhamiaji,Enos Lwinga, wakati alipotembela kiwanda cha uchapaji nyaraka hizo kilichopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es Salaam.Wakwanza kushoto ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,Dk. Anna Makakala Waziri wa Mambo ya Ndani ya …

Read More »

MAJALIWA AENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA SHINYANGA

PMO_4058

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimina na Bw. Terence Little ambaye ni Asset Protection Manager wa Kamapuni ya uchimbaji madini ya Acacia na viongozi wengine wa Kampuni hiyo  wakati alipotembelea mgodi wa Buzwagi wilayani Kahama Julai 14, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na wazee wa mila wa Kisukuma baada kuhutubia …

Read More »

Wachimbaji Wadogo Handeni Kunufaika na Kituo cha Umahiri

2

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Bw. Godwin Gondwe akisisitiza umuhimu  wa Kituo cha umahiri kwa wachimbaji wadogo wa madini Wilayani Handeni kinachojengwa na Wizara ya Madini ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuinua wachimbaji hao katika Wilaya hiyo na maeneo yote ya mikoa ya jirani na Wilaya hiyo. Luteni  Khalfani …

Read More »

FURSA YA BANDARI YA NYAMIREMBE KUFUFULIWA MKOANI GEITA

C.waziri wa ujenzi,uchukuzi na mawasiliano, eng. isack aloyce kamwelwe (koti la mistari, wapili mbele kushoto) na alioambatana nao wakitafakari jambo

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe (MB), ametembelea na kuona miradi mbalimbali inayotekelezwa Mkoani Geita akiambatana na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Mhandisi Robert Gabriel, Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Shaaban Ntarambe, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Mhandisi Deusdedith Kakoko, pamoja na Meneja …

Read More »

TAMUFO YAZIONYA KAMPUNI ZA KUUZA MUZIKI ZA NCHINI KENYA

IMG-20180715-WA0001

Wadau wa muziki kutoka Tanzania na Kenya wakiwa katika mkutano na  viongozi wa Umoja wa Wanamuzi Tanzania (TAMUFO), ulioshirikisha vikundi mbalimbali vya Kwaya ili kuwajengea uelewa na kuhakikisha wanafaidika na kazi zao za muziki unaoendelea jijini Arusha. Kushoto mbele mwenye tai ni Rais wa TAMUFO Dk. Donald Kisanga.  Majadiliano yakiendelea. …

Read More »

TzIGF YAWATAKA WATUMIAJI WA MTANDAO KUJUA HAKI NA WAJIBU

1

   Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) Dkt. Philip Filikunjombe, akizungumza wakati wa kufunga kongamano la kujadili matumizi ya mtandao na utawala lililofanyika Chuo cha Usafirishaji (NIT) jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.   Washiriki wakiwa kwenye kongamano hilo.   Washiriki wakiwa kwenye kongamano hilo.  Mratibu wa Jukwaa la Utawala wa …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE AKUTANA NA VIONGOZI WA SHIRIKISHO LA MUZIKI,SANAA ZA MAONESHO,FILAMU,KIZAZI KIPYA NA DANSI ILI KUJADILI UTEKELEZAJI WA KANUNI MPYA ZA BASATA

IMG-20180714-WA0164

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) leo tarehe 14 Julai, 2018 amekutana na  viongozi wa Shirikisho la Muziki, Shirikisho la Sanaa za Ufundi, Shirikisho la Sanaa za Maonyesho, Shirikisho la Filamu, Chama cha Muziki wa Kizazi Kipya na Chama cha Muziki wa Dansi na …

Read More »