Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 16

Daily Archives: July 16, 2018

WAZIRI MKUU AMWAGIZA RPC SHINYANGA AWAKAMATE VIONGOZI TISA WA AMCOS YA USHETU

PMO_4956

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwapungia wananchi wa Kijiji cha  Kangeme katika Halmashauri  ya Ushetu mkoani Shinyanga wakati alipowasili  kijijini hapo kuhututibia Mkutano wa hadhara na  kuzindua Fao la Ushirika Afya ambalo litawazesha wanaushirika kunufaika na huduma za Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya, Julai 16, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maeleazo kutoka kwa  Waziri  wa …

Read More »

TRA YAKUSANYA TRILIONI 15.5 KWA MWAKA WA FEDHA 2017/18

PICHA 1

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya kodi ya Mwaka wa Fedha 2017/18 ambayo yameongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 15.5 kutoka shilingi trilioni 14.4 kwa …

Read More »

RC GEITA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI YA BINAFSI GOLDEN RIDGE ILI KUJUA SABABU YA KUFANYA VIBAYA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

1

Picha ya pamoja ofisini kwa mkuu wa mkoa wa geita wakati akizungumza na wawakilishi wa golden ridge Mkuu wa mkoa wa geita, mhe.mhandisi robert gabriel(karibu na bendera) akitoa maelekezo kwa mkuu wa shule ya sekondari golden ridge ofisini kwake …………………. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Mhandisi Robert Gabriel amekutana …

Read More »

Serikali Yapongezwa Kwa Kuwainua Wanawake Sekta ya Madini

2

Msanifu majengo wa Kampuni ya InterConsult Ltd Bw. Beno Matata akieleza mikakati ya kampuni hiyo katika kuhakikisha kuwa inasimamia mradi  wa ujenzi wa Kituo Maalum kitakachotumika kuwajengea uwezo wanawake wanaojishughulisha na uchimbaji wa madini, Kituo hicho kitawanufaisha wachimbaji hao ikiwa ni sehemu ya Juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Madini …

Read More »

AIRTEL MONEY NA SPORTPESA WAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI

IMG_0409

Mshindi wa promosheni ya AMSHA AMSHA USHINDE NA AIRTEL MONEYFredy Mduma wa Kimara DSM akifurahi zawadi yake ya simu aina ya smartphone baada ya kukabidhiwa wakati wa kuwazadia washindi wa promosheni jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kwenye promosheni hiyo, wateja wa Airtel wanajishindia zawadi mbali mbali kwa kuweka …

Read More »

TFF YAITAKA MTIBWA SUGAR KUPELEKA USHAHIDI WAO WA DENI LA CAF

Pix-2

SHRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF), limeibana klabu ya Mtibwa Sugar juu ya malipo ya deni lao la faini katika Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kwa kuwataka wapeleke uthibitisho ili wapate nafasi ya ushiriki Kombe la Shirikisho baadaye mwaka huu. Awali kulikuwa na sinto­fahamu juu ya ushiriki wa Mtibwa Sugar …

Read More »

KUKAMATWA KWA WAHAMIAJI HARAMU KWA KOSA LA KUINGIA NCHINI BILA KIBALI JIJINI MBEYA

ASKARI

                                                        Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama hali inayopelekea …

Read More »

RPC ARUSHA ATAJA VIPAUMBELE VITANO KUELEKEA KUUSHINDA UHALIFU

JC9A3009

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi ………………….. Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha Jeshi la Polisi mkoani hapa kupitia Kamanda wake wa mkoa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi, limetaja mambo matano ambayo yakifanyika basi kutakuwa na mafanikio …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU 14 WAJASIRIAMALI WAHAME

PMO_4626

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa Kahama, Julai 15, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma wakati  alipowasili kwenye Uwanja wa Taifa Kahama   kuhutubia mkutano wa hadhara, Julai 15, 2018. Wapili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack. Picha na Ofisi …

Read More »

WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU MICHANGO YA SHULE

PMO_4223

*Yadaiwa Wazazi Kahama wanatozwa sh. 20,000 kwa kaya    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hakuna michango yoyote itakayokusanywa kutoka kwa wazazi kwa ajili ya shule kama haina kibali cha Mkurugenzi wa Halmashuri.   “Mheshimiwa Rais wetu, Dkt. John Pombe Magufuli alishapiga marufuku michango ya aina hii na akatangaza mpango wa …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

JB9A9979

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kukabiliana na vitendo vya uhalifu na ajali za barabarani ili kuhakikisha kuwa wageni na wakazi wa Mkoa huu wanaendelea kuwa salama na mali zao. Aidha Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa usalama hali inayopelekea kupata …

Read More »