Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 17

Daily Archives: July 17, 2018

Fainali Ya mashindano Ya ngoma Za Asili, Tamasha la Majimaji Selebuka

1...

Picha mbalimbali kikundi cha Ngoma Keifo kutoka mkoani Mbeya, kikitoa burudani ya aina yake kwenye tamasha la Majimaji Selebuka linaloendelea mjini Songea. Kikundi hicho  kimeibuka mabingwa kwa kuvipiga chini jumla ya vikundi 14 vilivyoshiriki michuano hiyo. Kikundi cha vijana wa Ruvuma Champions kutokea Songea katika mchuano mkali wa mchujo wa …

Read More »

MUHIMBILI YAMUAGA MRATIBU WA MADAKTARI WA CHINA

002

Mratibu aliyemaliza muda wake wa timu ya madaktari wa China wanaotoa huduma za afya nchini, Sao Tao akichangia damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam. Baada ya Tao kuchangia damu, uongozi wa hospitali hiyo ulimkabidhi cheti cha shukrani kutokana na kuhudumu kwa miaka tisa. Mkurugenzi Mtendaji …

Read More »

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEJENGA VITUO VYA AFYA 108

PMO_5552

*Aweka jiwe la msingi kituo cha afya Chela   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imejenga vituo vya afya 108 na inatarajia kujenga vingine 68 katika mwaka huu wa fedha.   Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Jumanne, Julai 17, 2018) wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi …

Read More »

Madaktari Bingwa Wa Moyo Wa Taasisi Ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana Na Wenzao kutoka Nchini China Wafanya Upasuaji Kwa Wagonjwa

picha no. 3

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini China  wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa bila kufungua kifua kupitia tundu dogo lililotobolewa katika paja (Catheterization) wa kuzibua mshipa wa moyo ambao haupitishi damu vizuri kwa kutumia mtambo wa Cathlab. Kwa mwaka huu wa …

Read More »

KILIMANJARO QUEENS YAFANYA MAZOEZI NCHIN RWANDA TAYARI KWA MICHUANO YA KOMBE LA CECAFA KWA WANAWAKE 2018

unnamed

Timu ya Wanawake ya Tanzania Bara “Kilimanjaro Queens iliyopo nchini Rwanda kwa mashindano ya CECAFA kwa Wanawake,leo Jumanne Julai 17,2018 imefanya mazoezi yake ya kwanza nchini hapa. Mazoezi hayo yaliyosimamiwa na kocha Mkuu Bakari Shime yamefanyika kwenye Uwanja wa Mumena uliopo Nyamirambo. Wachezaji wote wameshiriki kikamilifu katika mazoezi hayo yaliyoanza …

Read More »

MGOGORO WA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU KONDOA WAMALIZIKA

IMG-20160309-WA0084-1024x576

Na Ahmed Mahmoud Kondoa Hatimaye Mgogoro wa wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu kwenye Mtaa wa Tumbelo wilayani Kondoa na Mmiliki wa kampuni ya kidee Minning umefikia tamati kwa busara iliyotumika ya kuachia eneo hilo kwa wachimbaji wadogo kuahidiwa kupewa leseni katika eneo waliloliomba kwenye wizara ya madini.  Kitendawili hicho …

Read More »

OR-TAMISEMI YATOA AJIRA ZA WALIMU 4840

4O3A0871

Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo ametangaza ajira za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari zipatazo 4840 ikiwa ni sehemu ya kibali cha ajira cha kuajiri walimu 6840. Akitangaza ajira hizo katika Ofisi Ndogo za Wizara zilizopo …

Read More »

MAJALIWA AKAGUA SHAMBALA DENGU JIMBO LA MSALALA

PMO_5496

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari 10, mali ya Bw. Philipo Kapande  (kushoto) katika kijiji cha  Jomu kwenye Halmashauri ya  Msalala Julai 17, 2018. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua shamba la dengu lenye ukubwa wa ekari 10, mali …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA TUME YA MADINI

ngao

TAARIFA KWA UMMA Tume ya Madini kwa Mujibu wa Kanuni Namba 6(2)(b) ya The Mining (Local Content) Regulations, 2018 inawataka waombaji na wamiliki wote wa leseni za utafutaji, uchenjuaji, uyeyushaji, usafishaji na uchimbaji mkubwa na wa kati wa madini kuwasilisha Mpango wa Ushirikishwaji wa Utoaji Huduma na Bidhaa kwa wazawa …

Read More »

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, KAMISHANA WA JESHI LA POLISI ZANZIBAR WALA KIAPO CHA UJUMBE TUME YA UTUMISHI, JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

PIX 2

Katibu Mkuu Wazira ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu akisalimiana na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Dr. Eliezer Feleshi, wakati alipoenda kuapishwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi Jeshi la Polisi, Magereza pamoja na Uhamiaji jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu WazirI ya Mambo …

Read More »

ZIARA YA WAZIRI UMMY MWALIMU MKOANI TABORA

unnamed

 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akimbeba mtoto mchanga aliyezaliwa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete Mkoani Tabora Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tabora Dkt.Gunini Kamba alimueleza Waziri wa Afya vifaa vilivyofungwa kwenye chumba cha upasuaji vilivyofungwa kwenye  jengo la Upasuaji lililojengwa hospitalini hapo Picha jengo la upasuaji lililopo …

Read More »

AJALI UBUNGO DARAJANI PIKIPIKI YAGONGWA NA GARI

IMG_0846

  Wananchi wa Ubungo Darajani wakitoa msaada kwa majeruhi aliepata ajari badala ya pilkipiki yenye namba za usajili MC760 BNS aliyokuwa amepakia kugongwa na gari aina ya Toyota Ist yenye namba za usajili T730 DMD baada ya pikipiki hiyo kukatiza kwenye kivuko cha waenda kwa miguu bila kuchukua tahadhali,

Read More »

WAZIRI MKUU AZINDUA FAO LA USHIRIKA AFYA LA NHIF

PMO_4960

   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua fao la Ushirika Afya ambalo linawalenga wananchi wanaojishughulisha na kilimo kupitia ushirika.   Amezindua fao hilo jana (Jumatatu, Julai 16, 2018) kwenye mkutano uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi Ulowa katika kijiji cha Kangeme, kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama, Shinyanga. …

Read More »