Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 18

Daily Archives: July 18, 2018

MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR

PMO_5833

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mohammed Abdulwakil ambaye ni Kaka wa Rais  wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil  Wakati  alipozulu kaburi la Rais huyo, eneo la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. ( Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Rais wa Awamu ya Nne …

Read More »

VIONGOZI WA KISIASA TUHAMASISHE WANANCHI KUENZI UTAMADUNI WAO – WAZIRI MKUU

PMO_6389

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Sherehe za Mwakakongwa  zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,  Hassan Khatib Hassan. PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………………….     WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wakiwemo mawaziri na wabunge wawahamishe Watanzania kuendeleza utamaduni wao. …

Read More »

TOURISTS FLOCK TO TARANGIRE NATIONAL PARK

t (1)

A velvet monkey tries to solicit some cookies from some tourists taking a breather at the gates of the Tarangire National Park, however it is strictly forbidden to feed animals in national parks mainly for fear of spreading deceases to the wild animals. A motorcade of tourists  is surrounded by …

Read More »

MAWASILIANO YAWEZESHA UKUSANYAJI WA MAPATO MOROGORO

JPEG. NA. 1

Naibu Waziri wa uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa tatu kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Kebwe S. Kebwe (wa pili kulia) picha ya maeneo yaliyojengwa minara ya mawasiliano na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) mkoani humo. Wa kwanza kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Mawasiliano …

Read More »

Elimu Ya Kodi Ni Muhimu Mashuleni- Dr. Ndumbao

IMG_0095

Mbunge wa Songea Mjini Mhe. Dr. Damas Ndumbaro akisisitiza jambo wakati akizindua mashindano ya vilabu vya Kodi kwa Shule za Sekondari katika Tamasha la Majimaji Serebuka linaloendelea Songea Mkoani Ruvuma Baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari mkoani Ruvuma wakifuatilia mashindano ya Vilabu vya Kodi kwa shule za Msingi katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Songea Mratibu wa Mashindano ya …

Read More »

WAZIRI ISACK KAMWELWE AWASILI OFISINI JIJINI DODOMA LEO

????????????????????????????????????

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akisalimiana na Katibu Mkuu wa Sekta ya Mawasiliano, Dkt. Maria Sasabo, mara baada ya kuwasili mjini Dodoma leo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Sekta ya Ujenzi, Mhandisi Joseph Nyamhanga. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akisalimiana na Kaimu …

Read More »

KIVUMBI LIGI KUU BARA, WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA SEPTEMBA 30

Kabamba-Tshishimbi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Bodi ya Ligi (TPLB) limetangaza ratiba mpya ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2018/19 itakayoanza Agosti 22 2018. Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Boniface Wambura, amesema ligi hiyo itahusisha jumla ya mechi 380 kutoka 240 ambazo zilikuwa zilichezwa msimu uliopita kutokana na onegzeko la …

Read More »

MABALOZI WANNE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM

1H7A2909

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) aliyesimama katikakti akiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi waliomaliza muda wao wa uwakilishi nchiniTanzania. Mabalozi hao, wakwanza kutoka kushoto ni Balozi wa Norway, Mhe. Hanne-Marie Kaarstad, Balozi wa Malawi, Mhe. Hawa Olga Ndilowe, …

Read More »

VIDEO: WAKAZI DODOMA WAHAMISHWA USHIRIKI BONANZA LA MICHEZO

IMG_4957

Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuph Singo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) kuhusu maandalizi ya Bonanza la michezo linalotarajiwa kufanyika Julai 21 ,2018 Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Lorietha Laurence na kulia ni …

Read More »

Tanzania yafurahishwa na UN katika kutekeleza mradi wa KJP

ALVARO FAFANUA

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) akibadilishana mawazo na wadau wa maendeleo mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Umoja wa Mataifa kabla ya kuanza kwa mkutano wa kamati ya maandalizi ya utekelezaji …

Read More »

TAMUFO YAIONYA REDIO HABARI MAALUMU YA JIJINI ARUSHA

IMG-20180716-WA0021

 Kushoto ni Mkurugenzi wa Redio Habari Maalumu, akijitetea mbele ya viongozi wa TAMUFO.  Viongozi wa Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO), Kwaya mbalimbali na Uongozi wa Redio Habari Maalumu wakitiliana saini mkataba wa makubaliano ya matumizi ya kazi zao. Kulia ni Rais wa TAMUFO, Dk.Kisanga na nyuma yake ni Katibu wa …

Read More »

Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke

1

 Katibu Tawala wilaya ya Temeke Ndugu Hashimu Komba (kwa niaba ya MKuu wa Wilaya),akimkabidhi Kombe la Tatu Mzuka kwa kijana mkazi wa Mbagala,Abeid Amir aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 300,alipokwenda kutambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.Katika mazungumzo yake na Uongozi wa Wilaya mshindi huyo ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi …

Read More »

UTEKELEZAJI WA RBF WILAYANI URAMBO WAMVUTIA WAZIRI WA AFYA

PIX 4

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wa pili kulia akikata utepe kuashiria kuweka jiwe la msingi kwenye jengo la wodi ya wazazi lilitokana na mpango wa malipo kwa ufanisi katika Zahanati ya Itebulanda wilayani Urambo Mkoani Tabora wakati wa ziara yake mkoani humo,wa kwanza kulia ni …

Read More »

WAGONJWA 300 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MACHO WILAYANI MUHEZA

IMG_5024

 MKUU wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza na wananchi wa wilaya hiyo waliofanyiwa uchunguzi wa  matatizo ya macho  wakati wa zoezi la kufunga kambi ya matibabu ya tiba ya macho iliyoendeshwa na Taasisi ya isiyokuwa ya kiserikali ya Medewell Health Centre kwenye kituo cha Afya cha Ubwari wilayani …

Read More »

BITEKO AFANYA ZIARA MGODI WA TANCOAL

Picha Na 1

Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko (kulia mbele) na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme (katikati) wakiendelea na ziara katika eneo la mgodi wa Tancoal uliopo wilayani Mbinga mkoani Ruvuma tarehe 17 Julai, 2018. Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko (katikati) akiangalia moja ya jiwe la makaa ya mawe. …

Read More »

MABARAZA YA WATOTO YAHIMIZWA KUFICHUA VITENDO VYA UKATILI

Pix 5

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akihojiwa na wanahabari watoto wa mkoa wa Mwanza wakati alipowatembelea Baraza la Watoto la Mkoa wa Mwanza na kuona shughuli wanazofanya wajumbe wa Baraza hilo. Makamu Mwenyekiti Baraza la Watoto la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »