Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 19

Daily Archives: July 19, 2018

SIMBA YAMTAMBULISHA KOCHA MPYA

Patrick Aussems

Rais wa klabu ya Simba, Salim Abdallah maarufu kama Try Again (katikati) akiangalia kocha wao mpya, Mbelgiji Patrick Aussems akiweka wino kusaini mkataba wa  kuifundisha timu hiyo. UONGOZI  wa klabu ya Simba umemtangaza rasmi kocha wao mpya raia wa Ubelgiji,  Patrick Aussems, ukisema yuko tayari kuanza kazi ya kuiandaa timu …

Read More »

TBL FC KWENDA UINGEREZA KUTEMBELEA KLABU YA LIVERPOOL

TBL FC 14

Wachezaji wa timu ya TBL Group FC  ambao ni mabingwa wa  kombe la Standard Chartered 2018 wakiwasili makao makuu ya kampuni hiyo Ilala jijini Dar es Salaam  wakati wa hafla ya kupongezwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Sanjay Rughani (Kushoto) akiwa na maofisa wa benki hiyo …

Read More »

WATU 18 WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOANI TABORA

rpc nley

NA TIGANYA VINCENT TABORA POLISI Mkoa wa Tabora linawashikiria watu 18 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kuwachoma moto na wengine kushiriki katika mauaji. Kauli hiyo ilitolewa jana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Emmanuel Jackson . Alisema watuhumiwa 16 wanashikiriwa kwa tuhuma cha kujaribu kuwaua wanawake wanne kwa kuwachoma moto. …

Read More »

TIGO YAPANUA MTANDAO WAKE KWA MAENEO YASIYOKUWA NA MAWASILIANO

IMG_7987

Wananchi wa Kata ya Kumbulu, Wilaya ya Gairo, Mkoa wa Morogoro wakicheza kwa furaha pamoja na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge –  Miundombinu, Mhe mbunge Rashid Mohammed Chwachwa (Masasi- aliyejifunga shuka)  wakati wa uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa kampuni ya Tigo unaowezesha mawasiliano ya simu kupatikana kwa …

Read More »

WAZIRI MKUU ATETA NA BALOZI MBELWA KAIRUKI

PMO_6538

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki kwenye Makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 19, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu …………………   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Tanzania nchini China, Balozi Mbelwa Kairuki na amempongeza …

Read More »

GCLA Kutoa Mafunzo Endelevu ya Kemikali UDOM

1 (11)

Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama) akitoa hotuba wakati wa kufunga mafunzo ya siku tatu ya Usimamizi Salama wa Kemikali kwa wahitimu wa masomo ya Shahada ya Uhandisi wa Sayansi ya Madini na Uchakataji Madini (B.Sc. Metallurgy and Minerals Processing Engineering) wa Chuo cha Sayansi ya Ardhi (CoES), …

Read More »

UINGEREZA KUWEKEZA MKOANI MOROGORO

image2

 Dkt. Kebwe anamsikiliza kwa makini Mgeni wake baada ya kumkabidhi kitabu kinachoonesha maeneo ya Uwekezaji Mkoani Morogoro (Morogoro Region Investment Guide). Dkt. Kebwe akimkabidhi Sarah Cooke kitabu cha Uwekezaji. Wakiwa Ofisini, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro. Dkt. Kebwe anamsindikiza mgeni wake baada ya kukamilisha mazungumzo yao. ……………………… Na. …

Read More »

MAWASILIANO YAINUA UCHUMI WA WANANCHI WA GAIRO

JPEG. NA. 1

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Moshi Selemani Kakoso (wa tatu kulia) akishirikiana na Naibu Waziri wa uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (wa nne kulia) kukata utepe kuzindua mnara wakati wa wa ziara ya Kamati hiyo ya kukagua upatikanaji wa mawasiliano kwenye kijiji cha Kumbulu kilichopo wilayani …

Read More »

KONGAMANO LA SIKU MBILI SEKTA YA MAJI

Pix 00

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa wadau wa sekta ya maji (hawapo pichani) wakati wa kongamano la kujadili fursa zilizopo na changamoto zinazoikabili sekta binafsi nchini katika kuchangia maendeleo ya sekta ya maji nchini. Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa akisisitiza jambo kwa …

Read More »