Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 20

Daily Archives: July 20, 2018

BREAKING NEWS:CCM YAIBOMOA NGOME YA MBOWE HAI

IMG-20180720-WA0059

Viongozi wote wa Chadema Kata ya Muungano, wakiongozwa na Godliving Emmanuel Kimaro ( Baba Diana) Mwenyekiti wa Kata ya Muungano na Ibrahimu Hamis Mkindi (Mparee) Mwenezi wa Chadema Kata Muungano kutoka Wilaya ya Hai wamejivua uanachama wa Chadema na kujiunga na CCM. Viongozi hao wamepokelewa na Katibu wa NEC Itikadi …

Read More »

ARSENAL YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA CHINI YA KOCHA MPYA KWA MOTO

4E6FE4B500000578-5974911-image-a-16_1532099235844

Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang (mbele) akiwa kwenye maji akiupoza mwili baada ya mazoezi ya leo Uwanja wa Colney mjini London chini ya kocha mpya, Mspaniola, Unai Emery aliyechukua nafasi ya kocha wa muda mrefu, Mfaransa Arsene Wenger. Arsenal inatarajiwa kwenda Singapore Jumapili kushiriki Kombe la Mabingwa wa Kimataifa PICHA ZAIDI SOMA …

Read More »

CCM YAZINDUA KAMPENI UCHAGUZI MDOGO KATA YA MAWENZI MOSHI MJINI

5T7A0657

Katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo kata ya Mawenzi Wilaya ya Moshi Mjini Mkoa wa Kilimanjaro Ndg. Humphrey Polepole, Katibu wa NEC Itikadi na  Uenezi wa CCM Taifa amesema CCM itaendelea kusimamia na kutoa fursa nyingi zaidi za kimaendeleo kwa wananchi wa Moshi Mjini katika Kata ya Mawenzi. Ndg. …

Read More »

TPF NET ARUSHA YAPONGEZWA

JC9A0219

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akitoa mada ya Mwanamke na Uongozi katika ufunguzi wa Semina juu ya mafunzo kwa askari wa TPF NET mkoa wa Arusha (Hawapo pichani) iliyofanyika wilayani Monduli. Baadhi ya askari wa kike mkoa wa Arusha ambao ni …

Read More »

SHERIA MPYA KUDHIBITI UZITO KUANZA MWAKANI

????????????????????????????????????

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Joseph Nyamhanga, akihutubia wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), katika mkutano wa kutoa elimu kuhusu sheria  mpya ya kudhibiti uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya mwaka 2016, uliofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya …

Read More »

Wadau wa Sekta ya Filamu Mkoa wa Songwe Waipongeza Serikali

PIX 4

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiwaahidi wadau wa sekta ya filamu Halmashauri ya Tunduma (hawapo pichani) kuhusu kupokea maombi yao na kuwaahidi kuaanda mafunzo ya siku tano yatakayohusu uandaaji wa miswada na elimu juu ya upigaji picha wa filamu alipokuwa akizungumza katika warsha ya mafunzo ya …

Read More »

MOI Yawajengea Uwezo Wataalamu Wa Kubeba Wagonjwa

1

Mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya wataalamu wa kubeba wagonjwa ‘Patient transporters’  Bi. Tunu Salum akipokea sare maalum inayowatambulisha wataalamu hao wa kubeba na kusafirisha wagonjwa kutoka kwa Mkrugenzi mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface . Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface (Aliyeketi katikati) na viuongozi wengine waandamizi wa …

Read More »

WABUNGE WA KIGOMA WAKUTANISHWA MRADI WA PAMOJA NA UN

ALVARO UKARIBISHO

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati), Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Kigoma, Evance Siangicha (kushoto) pamoja na Mchambuzi Mratibu wa Umoja wa Mataifa (UN Coordination Analyst )nchini, Kanali Rankho wakipitia Programu ya Pamoja ya Kigoma na Umoja …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA ZA KONGAMANO LA WAHANDISI WASHAURI

Pix 01

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Dkt.  Leonard Chamuriho akifafanua jambo kwa wahandisi washauri (hawapo pichani) wakati wa kongamano la wahandisi hao la kujadili mafanikio na changamoto katika sekta hiyo. Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Prof. Ninatubu Lema akifafanua jambo kwa wahandisi washauri (hawapo …

Read More »

MAGEREZA NA JKT KUSHIRIKIANA KATIKA MIRADI YA UZALISHAJI MALI

PIX 1

Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike akifuatilia kwa makini mazungumzo kati yake na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali, Martin Busungu(kulia) alipomtembelea Ofisini kwake leo Julai 20, 2018 jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujitambulisha rasmi tangu aapishwe rasmi kuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara, …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AMPA MWEZI MMOJA MKANDARASI KUKAMILISHA UJENZI BARABARA YA KUUNGANISHA DARAJA LA NYERERE, KIGAMBONI

PICHA NA. 1

  Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akimueleza jambo Mhandisi Jamal Mruma, anayejenga kwa kiwango cha lami barabara yenye urefu wa  kilometa mbili inayo unganisha Daraja la Nyerere na barabara ya Kibada -Feri iliyopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakati …

Read More »

JAFO AWATAKA TEMEKE KUKAMILISHA MIRADI YA DMDP KWA UBORA

3

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo(katikati) akikagua ujenzi wa Soko la Kijichi lenye uwezo wa kubeba  wafanyabiashara 200 linajengwa kupitia Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dmdp) chini ya OR TAMISEMI. Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo(katikati) akisalimiana na Mbunge wa Temeke Mhe. Issa Mangungu(kulia) …

Read More »

WEMA SEPETU AHUKUMIWA JELA MWAKA MMOJA

bbca2f12-4cd1-4297-82c6-e3c2168a3e58

        Leo Julai 20 Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya milioni 2 baada ya kukutwa na makosa ya kutumia dawa za kulevya. Akisomewa hukumu hiyo leo Makahama ya Mkazi Kisutu Wema Sepetu ametakiwa kulipa faini hiyo …

Read More »

SSRA YAHIMIZA VIJANA KUJENGA DESTURI YA KUJIWEKEA AKIBA

IMG_7933

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Uhamasishaji wa SSRA Bi Sarah Kibonde Msika akifafanua jambo wakati kwa wadau waliotembelea banda la SSRA wakati wa Maonyesho ya Taasisi za Elimu ya Juu yanaendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye banda la SSRA wakati …

Read More »