Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 21

Daily Archives: July 21, 2018

TPF NET ARUSHA YAPONGEZWA

JC9A0219

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akitoa mada ya Mwanamke na Uongozi katika ufunguzi wa Semina juu ya mafunzo kwa askari wa TPF NET mkoa wa Arusha (Hawapo pichani) iliyofanyika wilayani Monduli. (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha) Mtaalamu wa Jamii …

Read More »

Simiyu wafunika baiskeli Majimaji Selebuka Festival

MAJI

  NAMWANDISHI WETU, SONGEA   WAENDESHA Baiskeli kutoka Mkoa wa Simiyu wameng’ara katika mashindano ya Baiskeli yaliyoandaliwa na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Songea Mississippi (SOMI), kupitia Tamasha la Majimaji Selebuka. Mashindano hayo ya Baiskeli ya Kilomita 100 kutoka MbingaMjini hadi Uwanja wa Majimaji mjini Songea Mkoa wa Ruvuma, Masunda …

Read More »

NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM

images

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi madiwani nane (8) wanawake wa viti maalum kujaza nafasi wazi  za madiwani katika halmashauri nane (8) za Tanzania bara. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage amesema kuwa uteuzi huo umefanyika baada ya NEC kupokea taarifa kutoka kwa …

Read More »

MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMA YAFUNGWA RASMI: WAANDISHI WAASWA KUENDELEA KURIPOTI HABARI KWA KUZINGATIA SHERIA NA KANUNI

DSC09565

Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Bw. Bakari Kimwanga akitoa neno la shukrani kwa niaba ya Waandishi wa Habari na Wahariri walioshiriki katika Mafunzo hayo, katika maneno yake ya shukrani Bw. Kimwanga ameishukuru Mahakama ya Tanzania kwa kuandaa mafunzo hayo kwani wamejifunza mambo mengi ya Kimahakama ambayo yatawasaidia kama mwongozo katika …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE LEO

sam3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Songwe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Songwe Mhe. Lt. Mstaafu Chiku Galawa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makala na Viongozi wengine wa Chama na Serikali katika uwanja wa ndege wa …

Read More »

MTENDAJI MKUU WA TBS NA WATENDAJI WAKE WAPEWA AGIZO

IMG_20180721_082718

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI KIONGOZI wa mbio za mwenge kitaifa mwaka huu ,Charles Kabeho amemuagiza mtendaji mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na watendaji wake ,kwenda kufanya ukaguzi katika kiwanda cha Kuchi Jogoo kilichopo kata ya Visiga ,Kibaha mkoani Pwani ili kujiridhisha na kutoa kibali cha kuanza kuzalisha unga wa nafaka . …

Read More »