Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / July / 22

Daily Archives: July 22, 2018

MZEE MKAPA, DKT. BILAL, JAJI RAMADHAN WATOA POLE KWA RAIS MSTAAFU DKT KIKWETE KWA KUFIWA NA BABA MKWE WAKE, MAREHEMU MZEE RASHID MKWACHU

MMG_2715

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Mkapa alipowasili nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu.  Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimaiana na Mke wa Mh. Benjamin Mkapa, …

Read More »

RC Geita Ashiriki Ufunguzi wa Jema Elution Plant Tawi la Geita

1

RC Geita Mhandisi Robert Gabriel (kulia mwenye koti), Katibu wa CCM Wilaya, Bw. Julius Peter (katikati, shati ya drafti),Mkurugenzi wa Jema Africa Bw. Jumanne Mokili (kushoto,mweye shati la blue) kwa pamoja wakishiriki kuweka jiwe la ufunguzi katika hafla fupi ya ufunguzi wa kiwanda cha uchenjuaji na uchakataji madini ya dhahabu …

Read More »

AWOTTA NA TWCC ZAJA NA MIKAKATI MIKUBWA YA KUKUZA UTALII WA NDANI

????????????????????????????????????

Meneja wa utafiti na Maendeleo kutoka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB),Bw.Gladstone Mlay,akifungua mkutano huo Mwenyekiti wa AWOTTA,Bi.Mary Kalikawe,akichangia mada katika mkutano huo Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara Wanawake (TWCC),Bi.Jacqline Maleko akisisitiza jambo kuhusu utalii wa ndani Mwenyekiti wa AWOTTA,Bi.Mary Kalikawe akitoa mada ya fursa za utalii wa ndani ……………………………………………………………………… Chama …

Read More »

WAGOMBEA UDIWANI KATA 30 WAPITA BILA KUPINGWA

1

Wagombea 30 wa Udiwani katika uchaguzi Mdogo wa kata 77 utakaofanyika Agosti 12 mwaka huu, wamepita bila kupingwa.   Akizungumza Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia amesema kuwa wagombea hao wamepita bila kupingwa baada ya Tume kukutana, kujadili na …

Read More »

UNESCO waendesha kongamano la utawala kwa redio za jamii

RM1

   Mwezeshaji kutoka Sung Consultants Wakili, Harold Sungusia akiwasilisha mada juu ya masuala ya uongozi kwenye mafunzo ya siku tano ya uongozi, utawala na menejimenti jijini Dodoma.  Mafunzo hayo yanaratibiwa na UNESCO kwa ufadhili wa SDC.  Mafunzo hayo yanajumuisha wamiliki na mameneja wa redio za kijamii ambazo ni  wanachama wa …

Read More »