Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / August

Monthly Archives: August 2018

KAMATI YA BAJETI YATEMBELEA VIWANDA MKOANI SINGIDA

5T6A2608

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa George Simbachawene wakifuatilia Uwasilishwaji wa Taarifa ya utekelezaji wa kazi za Sido Mkoa wa Singida kwa kipindi cha mwaka 2016 hadi Juni 2018. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na …

Read More »

UEFA KUANZISHA MASHINDANO YA TATU YA KLABU ULAYA

4F89D70C00000578-0-image-a-29_1535666180165

Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin aliongoza kikao jana kupitia muundo wa mashindano ya klabu Ulaya SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa katika mchakato wa kuanzisha mashindano mapya ya klabu, ambayo yatakuwa ya tatu baada ya Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Ulaya. Baraza la Taratibu za Soka lilikutana mjini …

Read More »

SAMATTA ATUPWA KUNDI RAHISI EUROPA LEAGUE,ARSENAL NAO JEPESI

photonews-10734397-217_1535664007-950x633

Na Mwandishi Wetu, MONACO MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na kazi nyepesi katika Europa League baada ya timu yake, KRC Genk kupangwa Kundi I pamoja na Besiktas ya Uturuki, Malmo FF ya Sweden na Sarasporg FC ya Norway. Katika droo ya hatua ya makundi iliyopangwa leo ukumbi wa Grimaldi …

Read More »

Jeshi la Polisi Lawashikilia Mgambo Waliompiga Raia Dar

UF3A1262

Na Fatma Salum-MAELEZO Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni linawashikilia watuhumiwa watatu kwa tuhuma za kumshambulia na kumsababishia maumivu makali mtu anaetambulika kwa jina la Robson Orotho ambaye ni mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa …

Read More »

MAJALIWA AMWAKILISHA JPM MKUTANO WA FOCAC NCHINI CHINA

PMO_8713

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere akienda China kuwakilisha Rais John Magufuli katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya Afrika  na China  (FOCAC), Agosti 31, 2018 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza …

Read More »

TANESCO YATUMIA WIKI YA ZIMAMOTO KUTOA ELIMU DODOMA

IMG_2743

   Wiki ya Zimamoti na Uokoaji inataraji kumalizika leo katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma ambapo wadau mbalimbali wakiongozwa na jeshi la Zima Moto na Ukoaji wameshiriki katika maonesho yaliyoenda sambamba na utoaji elimu ya majanga ya moto na uokoaji.   Shirika la Umeme Nchini TANESCo ni miongoni mwa wadau …

Read More »

TANZANIA YADHIHIRISHA UTEKELEZAJI WA HAKI ZA BINADAMU

07

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri katika ukumbi wa TAMISEMI, Mkapa House jijini Dodoma leo. Picha na ofisi ya Makamu wa Rais ………………..   Na Judith Mhina-MAELEZO Kitendo cha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushtakiwa …

Read More »

Michezo ya SHIMIWI kuanza Septemba 25 mwaka huu jijini Dodoma

moshi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MAANDALIZI YA MICHEZO YA SHIMIWI 2018           Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) limeandaa Michezo kwa Watumishi wa Seriali kutoka katika Wizara, Idara Zinazjitegemea, Wakala wa Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa itakayofanyika Jijini Dodoma kuanzia tarehe 25 Septemba  hadi …

Read More »

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA SEKTA BINAFSI KWA MCHANGO MKUBWA KATIKA UKUAJI WA SEKTA YA VIWANDA NA FURSA YA AJIRA

vu01

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira Mh Anthony Mavunde ameishukuru sekta binafsi kwa mchango mkubwa inaoutoa katika sekta ya Uchumi wa Viwanda na fursa za Ajira inazozitengeneza kupitia uwekezaji. Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo katika uzinduzi wa muonekano mpya wa kinywaji kikali cha K-VANT katika Hotel …

Read More »

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA TIBA ASILI AFRIKA

3 (8)

Na Ramadhani Ali – Maelezo                      31.8.2018 Waziri wa Biashara na Viwanda Amina Salum Ali amewataka wananchi kuachana na dhana kuwa waganga wa Tiba Asili ni watu wa korofi wasio kuwa na elimu na lengo lao ni kutafuta fedha. Amesema waganga wa Tiba Asili wamekuwa wakitoa mchango mkubwa ya kuhudumia jamii …

Read More »

Rais Shein kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa zoezi la uimarishaji taarifa za vitambulisho vya wazanzibar wakaazi

rais-wa-zanzibar-dk-ali-mohammed-shein

Na   Mwajuma Moh’d na Mwashungi Tahir   Maelezo      31-8-2018. Uzinduzi wa  mfumo wa usajili na zoezi la uimarishaji taarifa za vitambulisho vya wazanzibari wakaazi . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein  anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa   zoezi la uimarishaji taarifa za vitambulisho …

Read More »

NIDA mkoa wa Dodoma,imewataka wananchi,wageni na wakimbizi wanaoomba vitambulisho vya taifa kuhakikisha wanatoa taarifa sahihi za utambulisho wao

IMG_3090

MAMLAKA ya vitambulisho vya taifa NIDA mkoa wa Dodoma,imewataka wananchi,wageni na wakimbizi wanaoomba vitambulisho vya taifa kuhakikisha wanatoa taarifa sahihi za utambulisho wao huku wakijihakikishia kutokuwa na makosa ya kisarufi ili kurahisisha upatikanaji wa vitambulisho hivyo.Vitambulisho hivyo ni nyaraka nyeti kwa ajili ya ulinzi na usalama wa Tanzania., Agnes Gelard …

Read More »

TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU (MB) WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA TIBA ASILI YA MWAFRIKA TAREHE 31/8/2018 – DODOMA.

ummy-mwalimu

TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU (MB) WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA TIBA ASILI YA MWAFRIKA TAREHE 31/8/2018 – DODOMA. Ndugu wananchi, Maadhimisho ya Siku ya Tiba Asili ya Mwafrika yalianza rasmi mwaka 2003 baada ya Mawaziri wa Afya wa nchi …

Read More »

Sekta ya Mifugo Kuchochea Ujenzi wa Uchumi wa Viwanda

mpina

Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma Serikali imepanga  kuzalisha mitamba zaidi ya milioni 1  kwa mwaka ili kukuza sekta ya mifugo hapa nchini ili  kuchochea ujenzi wa uchumi wa  viwanda. Akizungumza  katika kipindi maalum cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na kuratibiwa na Idara ya Habari- MAELEZO, Waziri wa …

Read More »

ALAT TABORA YAWAAGIZA MA-DED KUKUTANA NA VIONGOZI WA MKOA KUJADILIANA JINSI YA KUBORESHA MAKUSANYO YA MAPATO YA NDANI

1 (10)

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za mitaa Tanzania ( ALAT) Mkoani Tabora Adam Malunkwi akifunga jana mkutano wa Jumuiya hiyo uliofanyika wilayani Uyui. Mkutano huo ulijikita katika kusisitiza kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya Halmashauri za Mkoa wa Tabora. Katibu wa Jumuiya ya Serikali za mitaa Tanzania ( ALAT) Mkoani Tabora Philemon Magesa  …

Read More »