Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 01

Daily Archives: August 1, 2018

RAIS DK.SHEIN AKUTANA NA KIONGOZI WA KAMPUNI YA MAFUTA NA GESI YA PERTAMINA YA JAKARTA NCHINI INDONESIA

DSC_2562

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Kiongozi wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Pertamina  ya Jakarta Nchini Indonesia  Bw.Daniel S.Purba akiwa na ujumbe wa kampuni hiyo walipofika  kwa mazungumzo  katika ukumbi  wa  Ofisi ya Jumuiya ya   Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN)   Mjini Jakarta Indonesia Rais …

Read More »

ASANTE KOTOKO YA GHANA KUNOGESHA SIMBA DAY

asantekotoko20102

  Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kucheza na timu ya Asante Kotoko ya Ghana katika tamasha lake la Simba Day, Agosti 8 mwaka huu. Kupitia kwa Ofisa Habari wa klabu hiyo, Haji Sunday Manara, amesema Simba itachuana na timu hiyo kongwe ambayo inashiriki Ligi Kuu Ghana kwa ajili …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA WAKUU WA MIKOA, MAKATIBU WAKUU, MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA MANAIBU KATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

k (1)

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela kuwa mkuu wa mkoa wa Songwe  kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 1, 2018  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   …

Read More »

AHADI YA RPC YAANZA KUTEKELEZWA

IMG_9011

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng’anzi akiongea na wananchi wa Mto wa Mbu wilayani Monduli wakati wa mkutano wa uzinduzi wa vikundi Tisa vya ulinzi shirikishi vilivyokuwa na jumla ya askari 215. (Picha na Rashid Nchimbi wa Polisi Arusha)  Baadhi ya wananchi …

Read More »

RAIS MAFUGULI: MAENDELEO HAYANA CHAMA WALA KABILA

magufuliii

Na Immaculate Makilika-MAELEZO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli  alisema kuwa maendeleo hayana chama wala kabila na hivyo viongozi huteuliwa kushika nafasi mbalimbali kutokana na uwezo wao wa utendaji kazi pamoja na uadilifu wao. Rais Magufuli aliyasema  hayo leo wakati wa hafla ya uapisho wa Wakuu wa mikoa …

Read More »

WANANCHI BAGAMOYO WAHIMIZWA KUJENGA VYOO BORA

DSC_0371

Afisa Afya Wilaya ya bagamoyo Bi. Joyce Nganzo akichangia mada wakati wa utambulisho wa mradi wa uboreshaji sekta ya Afya na Usafi wa mazingira Bagamoyo.( picha na Mwamvua Mwinyi) NA MWAMVUA MWINYI, BAGAMOYO Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na taasisi ya WEPMO (Water and Environmental Sanitation Projects Maintanance …

Read More »

NZEGA MJI YATOA MILIONI 161.6 KWA VIKUNDI MWAKA WA FEDHA ULIOPITA

3 (5)

Viongozi  mbalimbali wa Halmashauri ya Mji wa Nzega na Mkoa wa Tabora wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaanza kwa Kikao cha Baraza la Madiwani jana. Kutoka kushoto ni Makamu wa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Kapaya Sozy(kushoto), Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo William Jomanga(wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo …

Read More »

LESENI ZA MADINI AMBAZO HAZIFANYI KAZI KUFUTWA

Pix 3 Mmiliki wa kiwanda

Mwenyekiti wa Tume ya Madini Nchini, Prof Idris Kikula (mwenye kofia) akionyeshwa bidhaa mbalimbali zinazopatikana katika mgodi wa Mawe ya nakshi uliopo Wilayani Chamwino. Tume ya Madini iko katika ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za madini ili kujua changamoto mbalimbali za wachimbaji hao na kuzitatua  Mkoani Dodoma. Mwenyekiti wa Tume …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALIIMHE. HASUNGA ATEMBELEA DARAJA LA UMOJA

1a (2)

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amesema  Daraja la umoja  ambalo ni daraja la  kuvukia mto Ruvuma lililojengwa kwa shabaha ya kuunganisha nchi mbili za Tanzania na Msumbiji ni moja ya kivutio cha utalii kwa mikoa ya kusini Amesema hayo wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara  wakati alipotembelea daraja hilo   ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya …

Read More »

DIWANI WA CUF AHAMIA CCM

MEYA KUMBILAMOTO

NAIBU Meya wa Manispaa ya Ilala iliyopo Jiji la Dar es Salaam ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti (CUF), Omary Kumbilamoto amejiuzulu wadhifa huo kwa madai ya kupewa vitisho pindi unapoiunga mkono serikali. Kumbilamoto ametangaza uamuzi huo leo mbele ya wanahabari, ambapo amedai kuwa amekuwa akipatiwa vitisho kutoka …

Read More »