Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / August / 02

Daily Archives: August 2, 2018

DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI INDONESIA

????????????????????????????????????

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji Risyanto Suanda wa  Kiwanda cha Uvuvi Perun Perikanan Nchini Indonesia akipotembelea Kiwanda hicho leo kuangalia maendeleo ya kazi zake katika kuzindika Samaki wa aina mbali mbali katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais …

Read More »

JAJI KIONGOZI APEWA UFAFANUZI JINSI MFUMO WA ‘VIDEO CONFERENCE’ UTAKAVYOFUNGWA NA UTAKAVYOFANYA KAZI MAHAKAMANI

DSC00121

Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akiongea jambo katika kikao hicho. Wajumbe wakifuatilia mada katika kikao hicho. Jaji Kiongozi, Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Dkt. Eliezer Feleshi akiongoza majadiliano mara baada ya uwasilishwaji wa mada ya mfumo wa ‘Video Conferencing.’ Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu-Kanda ya Dar …

Read More »

BINTI THERESIA,MKAZI WA MBURU ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU

DE1

“Huyu binti anaitwa Theresia yupo hapa Mbulu, aliugua ghafla na kupooza upande wa kulia toka 2011,alikuwa hawezi kuongea kabisa kwa zaidi ya mwaka mmoja,baada ya matibabu kwa mwaka mmoja alianza kuongea kidogo na kukaa, Lakini kutokana na hali kuwa ngumu ya kumuhudumia ,wazazi wake walishindwa kuendelea na matibabu,na kwa zaidi …

Read More »

KATIBU MKUU HAZINA AKUTANA NA MAMEJA WA TRA NCHINI

AC3A6270

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, akihutubia Bodi ya Wakurugenzi, Viongozi na Mameneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kutoka Mikoa yote ya Tanzania Bara, kuhusu umuhimu wa kusimamia ipasavyo makusanyo ya kodi, katika kikao maalumu kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kilimanjaro wa Benki Kuu ya …

Read More »

NAONA FAHARI UWEKEZAJI WA MWANGA GEMS-KAIRUKI

2 (8)

Waziri wa Madini Angellah Kairuki (katikati) akipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha God Mwanga Gems Ltd kuona namna shughuli mbalimbali za uchakataji wa madini ya Kinywe zinavyofanyika. Waziri wa Madini Angellah Kairuki (katikati) akitembelea maeneo mbalimbali katika kiwanda cha Kuchakata Madini ya Graphite cha GodMwanga Gems Ltd. Wa kwanza …

Read More »

WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

PIX 1 (A)

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Msanii wa Filamu nchini Bi.Wastara Juma (kulia) alipofika ofisini kwake leo jijini Dodoma  kwa ajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na  Serikali kwa ujumla kwa michango waliyotoa kufanikisha matibabu yake …

Read More »

Wafanyakazi wa TBL wasaidia kaya zenye mahitaji kata ya Mchikichini

DONATION 6

Mshiriki wa programu ya mafunzo ya uongozi katika kampuni ya TBL,Raj Chandrana ,  (kushoto) akikabidhi msaada. Mshiriki wa programu ya mafunzo ya uongozi katika kampuni ya TBL,Lisa Cheche  (kushoto) akikabidhi msaada kwa Joanither Josephat  wakati wafanyakazi wa kampuni hiyo walipotembelea kaya zenye kipato cha chini na kutoa msaada wa vyakula na nguo katika …

Read More »

Serikali Kujenga Nyumba 400 za Askari Polisi

PIX 4 (5)

Afisa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Mara, Mrakibu Mwandamizi ,Jeremiah Shila  akitoa maelezo ya mwenendo wa mashtaka ya watuhumiwa walioko katika Kituo cha Polisi Bunda kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wapili kulia) na  Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Lydia Bupilipili(watatu kulia), wakati wa ziara …

Read More »

JOKATE NA KAWAWA KUAPISHWA KESHO PWANI -NDIKILO

IMG_20180802_140309

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo August 3(ijumaa) mwaka huu ,anatarajia kuwaapisha viongozi wateule Jokate Mwegelo na Zainab Kawawa . Akizungumzia juu ya hafla hiyo fupi ,Ndikilo alisema inatarajiwa kufanyika asubuhi katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa huyo . Alisema viongozi hao bado …

Read More »

KAMATI YA USHIRIKI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI YAANZA KUPITIA MIPANGO YA KAMPUNI ZILIZOOMBA LESENI ZA MADINI

PICHA NA 3 (2)

Leo tarehe 02 Agosti, 2018 Kamati ya Ushiriki wa Watanzania katika Sekta ya Madini (Local Content) imekutana jijini Dodomakwa ajili ya kupitia mipango ya ushiriki wa watanzania katika sekta ya madini iliyowasilishwa na kampuni za uchimbaji wa madini nchini zilizoomba leseni za madini. Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Idara ya Leseni na …

Read More »

WADAU WA AFYA WAIPIGA TAFU HOSPITAL YA MSOGA

IMG_20180801_123617

Mwakilishi kutoka Tanzania Health Promotion Support (THPS) ,Sisty Moshi akimkabidhi mbunge wa Chalinze ,Ridhiwani Kikwete msaada wa vifaa mbalimbali vilivyogharimu milioni 48.412 katika hospital ya wilaya ya Msoga.(picha na Mwamvua Mwinyi) NA MWAMVUA MWINYI, CHALINZE WADAU wa afya Tanzania Health Promotion Support (THPS) ,wametoa msaada wa vifaa mbalimbali vilivyogharimu milioni …

Read More »

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AIPONGEZA TANROADS MANYARA

IMG-20180802-WA0070

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa (katikati) akizungumza na wafanyakazi wa Tanroads na Temesa mjini Babati Mkoani Manyara, kulia ni Meneja wa Tanroads Mkoani Manyara, mhandisi Bashiri Rwesingisa na Meneja wa Temesa Mkoani Manyara Edwin Ndomba. Naibu Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa akipokewa na Meneja wa Tanroads Mkoani Manyara mhandisi …

Read More »

NEC YAKABIDHIWA JENGO LA OFISI ZANZIBAR.

PICHA - 6

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dkt. Athumani Kihamia akiangalia mandhari ya nje ya jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) lililotolewa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wengine pichani ni baadhi ya Watendaji wa Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) ambalo jengo hilo lilikua chini …

Read More »

ZAO LA MCHIKICHI KUMALIZA UHABA WA MAFUTA NCHINI

PMO_9850

SEKTA ya kilimo ni mhimili wa uchumi wa Taifa na inategemewa katika kuifikisha Tanzania kwenye uchumi wa kati ifikapo 2025, kupitia viwanda kwa sababu kilimo ndicho kitawezesha viwanda kwa kuvipatia malighafi. Kutokana na umuhimu wa sekta hiyo katika kukuza uchumi wa nchini, serikali imekuwa ikifanya juhudi kubwa kuhakikisha inaiboresha ili …

Read More »

MAMA WA SHIGONGO AZIKWA BUCHOSA SENGEREMA

shigongo 1

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo (wa kwanza kulia) akiwaongoza ndugu zake kuweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu. Paroko wa Kanisa Katoliki Mwangika Parokia ya Mt. Yakobo Mkuu, Padri Hilary Faraja,  akiongoza ibada fupi ya kumuombea marehemu. Watoto wa kike wa marehemu wakiweka shada la maua kwenye …

Read More »