Wednesday , April 24 2019

Home / Uncategorized / Rais Shein afanya mazungumzo na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye viwanda ya Indonesia (KADIN)

Rais Shein afanya mazungumzo na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenye viwanda ya Indonesia (KADIN)

DSC_2887

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Mwani ya ASOSIASI RUMPUT LAUT INDONESIA (ARLI) Bw.Safari Azis mara baada ya Mkutano wa Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda katika Ofisi za Jumuiya hiyo Jakarta Nchini Indonesia akiwa katika ziara ya Mualiko wa Makamo wa Rais wa nchi hiyo Mohammed Jusuf Kalla,(katikati) Bw.HermanMoeliana Mkurugenzi Mkuu waPT INTERA LESTARI POLIMER, [Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.
DSC_2827
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ( kulia) alipokuwa akiangalia mifuko inayotengenezwa kwa kutumia Unga wa Muhogo mara baada ya mazungumzo na  Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) katika Ofisi za Jumuiya hiyo ziliopo Jakarta Indinesia akiwa katika ziara ya mualiko wa Indonesia Mohamed Jusuf Kalla,wengine(kushoto)  Viongozi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara  na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN), [Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.
DSC_2600
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa  Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba,(kulia) Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Malaysia pia akiiwakilisha Indonesia Balozi Ramadhan Kitwana Dau,[Picha na Ikuklu.] 02/08/2018.
DSC_2663
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa katika mazungumzo ya pamoja na Jumuiya ya Wafanyabiashara na Wenyeviwanda ya Indonesia (KADIN) wakati Rais alipofika katika Ofisi za Jumuiya hiyo kwa mazungumzo na Wanajumuiya hiyo Jakarta Indinesia kwa mualiko wa Makamu wa Rais wa Nchi hiyo katika ziara ya kikazi ya siku saba,[Picha na Ikuklu.] 02/08/2018. 

About regina

Check Also

IMG-20180928-WA0022

NA MWAMVUA MWINYI, PWANI  JESHI la polisi mkoani Pwani, limepiga marufuku kupiga disko toto pamoja …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × four =