Saturday , November 17 2018

Home / Uncategorized / WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

PIX 1 (A)

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Msanii wa Filamu nchini Bi.Wastara Juma (kulia) alipofika ofisini kwake leo jijini Dodoma  kwa ajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na  Serikali kwa ujumla kwa michango waliyotoa kufanikisha matibabu yake yaliyofanyika nchini India katika hospitali ya Saifee.

PIX 1(B)

Msanii wa Filamu nchini Bi.Wastara Juma (kulia) akitoa shukrani zake Kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe za kumshuruku Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa msaada aliyoutoa kwake kufanikisha matibabu yake ya mguu yaliyofanyika nchini India katika hospitali ya Saifee Februari mwaka huu ambapo alieleza kwa sasa afya yake imeimarika.

PIX 3 (10)

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kulia) akiwa katika picha ya pamoja msanii wa filamu nchini Bi.Wastara Juma (katikati) alipofika ofisini leo  Jijini Dodoma  kwa ajili ya kutoa shukrani zake kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Serikali kwa kumsaidia kufanikisha matibabu yake ya mguu yaliyofanyika nchini India, Februari mwaka huu  katika hospitali ya Saifee kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa Bw.Francis Songoro.

About regina

Check Also

ZZZZZZZZZZZZZZZZZ

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

  KUVUNJA HOTEL USIKU NA KUIBA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

4 × one =