Saturday , November 17 2018

Home / 2018 / August / 03

Daily Archives: August 3, 2018

DK.SHEIN ATENBELEA HOSPITALI YA MOYO YA HARAPAN KITA

DSC_4183

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Dr.Mohamad Subuh MPPM Mshauri wa Waziri wa Afya mara baada ya mapokezi alitembelea Hospitali ya Ugonjwa wa Moyo iitwayo Harapan Kita katika Mjini Jakarta Nchi Indonesia jana akiwa katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo …

Read More »

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA EXIMBANK YA INDONESIA

DSC_3856

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa tatu kushoto) na Ujumbe wakiwa katika mazungumzo na Uongozi wa Benki ya Kibiashara ya Exim Bank ya Nchini Indonesia  (kulia pichani)  katika ukumbi wa Hoteli ya Borobudur iliyopo katika Mjini  Jakarta jana, wakiwa katika ziara ya Kikazi …

Read More »

KATIBU MKUU HAZINA, DOTO JAMES AWANYOOSHEA KIDOLE TRA

AC3A6109

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James, akizungumza na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato nchini-TRA, kuweka mikakati ya namna Mamlaka hiyo inavyoweza kufanikisha ukusanyaji wa shilingi trilioni 18 ambazo Serikali imeipangia kukusanya katika Mwaka wa Fedha 2018/2019, mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Kamishna Msaidizi wa …

Read More »

TANZANIA KUENDELEZA USHIRIKIANO NA KUWAIT-MAJALIWA

PMO_0897

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mazungumzo na Balazi wa Kuweit Mh Jasem Ibrahim AI Najem ,ambaye amemaliza  muda wake .Balozi Jasem. amekutana na Waziri Mkuu kwa lengo la kumuaga leo Julai 3/2018 Jijini Dar es salaam  …………….. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Tanzania itaendeleza ushirikiano na Serikali …

Read More »

JOKATE NA KAWAWA WAKUTANA NA MAAGIZO 16 MAZITO KUTOKA KWA RC NDIKILO

JOKE

MKUU wa wilaya ya Kisarawe,Jokate Mwegelo na mkuu wa wilaya ya Bagamoyo ,Zainabu Kawawa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuapishwa na Mkuu wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ,katika viwanja vya ofisi ya mkuu huyo wa mkoa (Picha na Mwamvua Mwinyi) …………………………………………………………………… MKUU wa mkoa wa …

Read More »

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE, JOKATE MWEGELO AAPISHWA

jokate 1

Mkuu mpya wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameapishwa leo huku akipewa onyo kuepuka wapotoshaji. Pamoja na Jokate, Zainab Kawawa naye ameapishwa kuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo. Jokate, ambaye aliwahi kuwa mlimbwende wa mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2006, aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Julai 28 mwaka …

Read More »

WAZIRI ISACK KAMWELWE AKAGUA KIWANJA CHA NDEGE CHA MOSHI

2 (10)

  Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) mkoa wa Kilimanjaro Bw. Julius Mlungwana (kulia), akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (kushoto), hati ya kiwanja cha Ndege cha Moshi wakati alipokuwa akikagua kiwanja hicho, mkoani humo. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, …

Read More »

TIMU 18 ZATHIBITISHA USHIRIKI LIGI DARAJA LA KWANZA WANAWAKE

simba-queens-ligi-ya-wanawake

Timu 18 zimethibitisha kushiriki Ligi Daraja la Kwanza kwa Wanawake itakayoanza Septemba 6,2018. Ligi hiyo itachezwa katika mfumo wa makundi na timu 2 zitapanda daraja wakati zitakazobaki zitasalia kwenye Daraja la Kwanza.  Timu zilizothibitisha ushiriki wao  ni  1.Yanga Princes -Dar es Salaam 2.TSC – Mwanza  3.Mapinduzi Princess -Tanga  4.Migoli Queens …

Read More »

CAF YAMTEUA MWAMUZI WA TANZANIA KOZI YA WAAMUZI UGANDA

_99740119__99722206_138-2

Mwamuzi wa Tanzania Soud Idd Lila ameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa (CAF)kushiriki katika kozi ya Waamuzi Vijana wenye vipaji itakayofanyika Kampala,Uganda kuanzia Septemba 14,2018 mpaka Septemba 18,2018. Lila anaingia kwenye kipengele cha waamuzi wasaidizi.  Septemba 13,2018 itakuwa siku ya kuwasili wakati ufunguzi utakuwa Septemba 14,2018. Kozi itahusisha …

Read More »

WADAU WA MAENDELEO WAUNGA MKONO JUHUDI ZA MAENDELÈO CHALINZE

IMG-20180803-WA0044

Mbunge wa Chalinze, MH.RIDHIWAN KIKWETE ameishukuru serikali kwa kulipatia Halmashauri ya Chalinze shilingi bilioni 1.3 kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya katika maeneo ya Kibindu,Mkange na Lugoba katika kusogeza huduma ya afya kwa wananchi. Ameyasema hayo wakati akipokea msaada wa vifaa vya ofisi kutoka Taasisi ya TANZANIA HEALTH …

Read More »

DC Sumbawanga Awaonya kinamama Wanaowanyesha Pombe Vichanga

DC Sumbawanga

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule amewaonya kinamama wenye tabia ya kuwanywesha watoto wachanga pombe pindi waliapo kwa lengo la kuwanyamazisha walale ili wao waendelee na shughuli nyiungine za kujitafutia kipato. Amesema kuwa mambo hayo mara nyingi hujitokeza kipindi cha msimu wa kilimo ambapo mama huenda na mwanawe …

Read More »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YASHIRIKI KATIKA MAONYESHO YA KILIMO NA SHEREHE ZA WAKULIMA (NANE NANE) MKOANI SIMIYU

jky+pic

Ili kuhakikisha kila Mwananchi anapata huduma bora za matibabu ya moyo Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inatoa huduma ya upimaji wa magonjwa hayo katika maonyesho ya Kilimo na Sherehe za wakulima (nanenane) yanayofanyika kitaifa mkoani Simiyu. Maonyesho hayo yanafanyika katika uwanja wa Nyakabindi uliopo Halmashauri ya mji wa Bariadi. …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA

kamandamtei-620x308

KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI @ GONGO. Mnamo tarehe 02.08.2018 majira ya saa 16:30 jioni, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko eneo la Usongwe lililopo Kata ya Nsalala, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Kipolisi Mbalizi, Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata HELENA ULEMBUSYA [30] Mkazi wa …

Read More »

MKAZI WA MBAGALA RANGI TATU JIJINI DAR ES SALAAM AJISHINDIA GARI AINA YA RENAULT KWID, NI GARI LA TANO KATIKA PROMOSHENI YA KUSHEREHEKEA MIAKA 10 YA M-PESA

????????????????????????????????????

Mshindi wa gari la tano  aina ya Renault Kwid  katika promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Salum Chande Athumani (kushoto) Mkazi wa Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam, akionyesha funguo za gari pamoja na kadi ya gari hilo mara baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom …

Read More »

TIMU YA TAIFA YA ALGERIA IMEPATA KOCHA MPYA

_102811276_74ffde67-1e21-4185-9566-c9facb15e8d2

Chama cha soka cha Algeria kimemtangaza Djamel Belmadi kuwa meneja mpya wa timu ya taifa kwa mkataba wa miaka minne Belmadi, anakuwa meneja wa sita wa Algeria katika kipindi cha miaka miwili na anachukua nafasi ya Rabah Madjer. Belmadi aliichezea timu ya taifa ya Algeria kuanzia mwaka 2000 mpaka 2004 …

Read More »