Friday , March 22 2019

Home / 2018 / August / 04

Daily Archives: August 4, 2018

WANAFUNZI NA WAKAZI WA DODOMA WATEMBELEA BANDA LA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE JIJINI DODOMA

PIC NANENANE 6

Afisa kutoka Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akiwaonyesha wanafunzi kiti ambacho kimewahi kutumiwa na Maspika mbalimbali, wanafunzi hao walitembelea Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma. Afisa kutoka Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda akiwaonyesha watoto namna ya ukaaji wa Waheshimiwa Wabunge ndani ya Ukumbi wa …

Read More »

Matukio Katika Picha Mazishi ya Shadrack Sagati Wilayani Bunda

13

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa akitoa salamu za pole kwa niaba ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma …

Read More »

PSG YATWAA KOMBE LA KWANZA LA MSIMU,YAICHAKAZA MONACO 4-0

4ED2654E00000578-6026447-image-a-66_1533393680021

Wachezaji wa PSG wakishangilia na Kombe lao Mabingwa baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Monaco leo Uwanja wa Shenzhen City mjini Shenzhen mabao yake yakifungwa na Angel Di Maria mawili dakika za 33 na 90 na ushei, Christopher Nkunku dakika ya 40 na Timothy Weah dakika ya 67, kikosi cha kocha Thomas Tuchel …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AMPOKEA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT.KIGWANGALLA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishirikiana na Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Wafanyakazi wa Kiwanja cha Ndege cha Mwalimu Julius Nyerere kumshusha kutoka kwenye ndege  Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ambaye alijeruhiwa katika ajali ya gari mkoani Manyara. Ndege …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI KAPUNI YA UTALIII

DSC_4847

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Utalii Mjini Bali nchini Indonesia Nd,Abubakar Mansoer jana walipokutana kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery Kartika Plaza  akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Mhe.Mohamed Jusuf Kalla …

Read More »

DK.SHEIN ATEMBELA OFISI ZA KIWANDA CHA MAFUTA YA NAZI

DSC_5519

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Meneja Mauzo wa Kiwanda cha mafuta ya Nazi cha Samani Island Virgin Coconut Oil Manufacture kiliopo Jimbaran Bali Nchini Indonesia wakati alipotembelea Ofisi hizo jana akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa …

Read More »

MADEREVA 216 WAPATIWA MAFUNZO MIRERANI

IMG-20180804-WA0340

Mkuu wa kitendo cha usalama barabarani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Mkaguzi msaidizi wa polisi, Nicodemus Mushi akizungumza baada ya kuhitimishwa kwa mafunzo ya madereva. Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, mrakibu msaidizi wa polisi (ASP) Evarest  Makala akiwapa nasaha madereva wa pikipiki na magari wa Mji …

Read More »

DK.SHEIN ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA UDAYANA MJINI BALI,INDONESIA.

DSC_5208

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipofuatana na mwenyeji wake  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Udayana Prof.Dr.Ida Bagus Wyasa Putra  alipotembelea Chuoni hapo baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Chuo hicho kiliopo Jambaran Bali (TBC)  alipokuwa katika ziara ya kikazi Nchini …

Read More »

DK.SHEIN AKUTANA NA GAVANA WA MJINI BALI INDONESIA

DSC_4504

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Gavana wa Mji wa Bali nchini Indonesia Bw.IMade Mangku Pastka kwa mazungumzo katika Hoteli ya Discovery  Kartika Plaza alipokuwa katika ziara ya kikazi Nchini Indonesia kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed …

Read More »

DK.MABODI ASEMA WANASISA WABINAFSI WAPUUZWE.

_MG_1540

Mkurugenzi wa shirika la Direct AID la nchini Kuwait, Ayman Mohamed akizungumza katika hafla hiyo ambao ni wadau wa maendeleo walioshirikiana na SMZ kuchimba kisima hicho. DIWANI wa wadi ya Ijitimai, Asha Hassan Juma akizungumza katika hafla hiyo. NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka wananchi  kisiwani humo …

Read More »

WATU WATATU WAFA NA WENGINE NANE KUJERUHIWA PWANI

IMG_20180707_122514

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI WATU watatu wamefariki dunia kutokana na matukio mawili tofauti yaliyotokea mkoani Pwani . Kati yao wawili wamefariki kwa ajali ya basi ambapo watu wengine wanane wamejeruhiwa baada ya gari mali ya kampuni ya Modern Coach kuacha njia na kupinduka . Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia August …

Read More »

MA-DC MKOANI TABORA WAAPISHWA NA KUPEWA MAAGIZO

6

Mkuu wa Wilaya ya Uyui Gift Msuya akitoa neno la shukurani mada baada ya kuapishwa leo.  Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Kitwala akitoa neno la shukurani mada baada ya kuapishwa leo. NA TIGANYA VINCENT TABORA 4 AGOSTI 2018 WAKUU wa Wilaya ya Tabora na Uyui wametakiwa  kuhakikisha wanafanya kazi kwa …

Read More »

VYUO VYA POLISI VYAPEWA MIKAKATI

1 (13)

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiimba wimbo pamoja na Askari wakati wa kikao chake na Askari wanafunzi katika Chuo cha Polisi Zanzibar wakati wa ziara yake. Kulia kwake ni Kamishna wa Polisi Zanzibar Mohamed Hassan Haji na kushoto ni Mkuu wa Utawala na Fedha Kamisheni ya …

Read More »

LESENI ZA MADINI SASA KUTOLEWA KWA MASHARTI MAGUMU-KAIRUKI

PICHA KUPOKEA RIPOTI

Waziri wa Madini Angellah Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na Kamati iliyochunguza mnyororo wa madini ya vito  kuanzia kuzalisha hadi usafirishaji nje ya nchi pamoja na kubaini sababu za utoroshaji wa madini na kupendekeza hatua za kuchukuliwa ili kuzuia utoroshaji. Wa tatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, …

Read More »