Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 05

Daily Archives: August 5, 2018

TAMWA YAHIMIZA MAZINGIRA SALAMA KWA WANAFUNZI SHULENI

IMG_0494

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), Bi. Eda Sanga (kulia) na mgeni rasmi katika sherehe za Mahafali ya nane ya Darasa la Saba ya Shule ya Msingi St. Aloysius akimkabidhi cheti na zawadi mmoja ya wahitimu wa darasa la saba katika shule hiyo iliyopo Mbezi …

Read More »

ZIJUE AINA SITA ZA VIAZI LISHE NA FAIDA ZAKE

IMG_0127

Hiza ni aina ya ya mbegu za viazi lishe zilizopo katika shamba la mfano la SUGECO Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro, ambalo washiriki wa mafunzo ya uongezaji thamani wa viazi lishe walitembelea mwishoni mwa mwezi uliopita, ambapo pia walijinea viazi kutoka kwa mkulima Sparta . Viazi Lishe vina asilimia kubwa …

Read More »

MAMA SHEIN ATEMBELEA WAJASIRIA MALI

2B8A4897

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akimkabidhi zawadi Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Ujasiria mali na Ushirika ya Indonesia Bibi Emila Suhaimi alipotembelea Viwanda vidogovidogo vinavyojishuhulisha na ujasiriamali wakati alipokuwa katika ziara Mjini Jakarta ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla, Mke wa Rais …

Read More »

DK.SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA MWANI

DSC_7212

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Mwani Hendrico Soewardjono alipowasili katika kiwanda cha kampuni hiyo leo na Ujumbe wake akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla Rais wa Zanzibar …

Read More »

DK.SHEIN ATEMBELEA SEHEMU ZA HISTORIA BALI,INDONESIA

DSC_5873

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Biashara Arifin Tirta Wijara alipotembelea katika eneo la historia la Garuda Waisnu Kencana jana liliopo Nje ya Mji wa Bali Indonesia akiwa na Ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf …

Read More »

WAZIRI MKUU AUPONGEZA UONGOZI WA MAKUMBUSHO

PMO_1101

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua ramani ya muonekano mpya wa kijiji cha Makumbusho kwenye kikao cha kujadili maandalizi ya Tamasha la Utamaduni wa Tanzania katika kijiji cha Makumbusho jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Mary Majaliwa wakioneshwa ramani ya muonekano …

Read More »

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI WAZIRI DKT. KIGWANGALA NA MSANII MAJUTO

PMO_1431

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary wakimpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es salaam Agosti 5, 2018, akipewa matibabu baada ya kupata ajali. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla, ambaye …

Read More »

RAIS WA VENEZUELA, NICOLAS MADURO ANUSURIKA KIFO

maduro

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amenusurika kifo katika jaribio la mauaji linalodaiwa kufanywa na vikundi kutoka nchini Colombia na Marekani. Tukio la jaribio la kutaka kumuua Rais Maduro limetokea leo, wakati Rais Maduro akihutubia warsha ya kijeshi mjini Caracas,ambapo rais huyo amonyesha mashaka yake juu ya vikosi hivyo kutoka Colombia. …

Read More »

WAZIRI MKUU AUPONGEZA UONGOZI WA MAKUMBUSHO

PMO_9065

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameupongeza uongozi wa Makumbusho ya Taifa kwa kuchora ramani ya Tanzania katika Kijiji cha Makumbusho ambayo itatumika kwenye ujenzi wa nyumba za utamaduni wa makabila mbalimbali nchini. Amesema uamuzi huo utarahisisha watu kufika kwa urahisi katika nyumza za tamaduni za mikoa yao kwa kuwa watakuwa wanatumia …

Read More »