Saturday , March 23 2019

Home / 2018 / August / 06

Daily Archives: August 6, 2018

PROF.SHEMDOE AKABIDHIWA RASMI OFISI YA KATIBU TAWALA MKOA WA RUVUMA

IMG_20180806_082053[1]

Sehemu ya watumishi wa Sekretariati ya mkoa wakimpokea Katibu Tawala Mkoa wakati alipowasili ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kuteuliwa na Rais John Magufuli hivi karibuni. Katibu Tawala Mkoa anayestaafu Hassan Bendeyeko(aliyevaa tai) akiongea mbele  ya watumishi wakati alipomtambulisha Katibu Tawala Mkoa mpya .Kulia kwake ni Prof.Riziki Shemdoe …

Read More »

WAZIRI MKUU AFUNGUA MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI

PMO_7176

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipuliza firimbi kuashiria ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Majeshi ya Polisi ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam Agosti 6, 2018, Wanamichezo kutoka Jeshi la Polisi la Tanzania,  wakipita mbele ya mgeni rasmi, ambaye ni Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim …

Read More »

TAIFA STARS YAPATA KOCHA MPYA KUTOKA NIGERIA

38391559_287922401984851_1989880209620336640_n

Emmanuel Amunike (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari leo hoteli ya New Africa mjini Dar es Salaam …………….. Na Mwandishi Wetu RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amemtambulisha winga wa zamani wa kimataifa wa Nigeria, Emmanuel Amunike kuwa kocha mpya wa timu ya taifa, Taifa Stars. Karia amemtambulisha …

Read More »

WAAJIRI WASIO AJIRI WALEMAVU KUANZA KUCHUKULIWA HATUA

2a

Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Msalika Makungu (aliyesimama) akitoa ufafanuzi jana mjini hapa wakati wa mkutano wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Bunge , Kazi Vijana na Walemavu Stela Ikupa(aliyekaa) na wajumbe wa Baraza la Watu wenye Ulemavu Mkoa wa Tabora ulifanyika katika Hospitali ya Rufaa ya …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

Kamanda-wa-Polisi-Mkoa-wa-Mwanza-Ahmed-Msangi

MTU MMOJA AMEUAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI KWA KUPIGWA NA SILAHA ZA JADI HADI KUFA BAADA YA KUIBA MBUZI JIKE MMOJA  WILAYANI MAGU. MLINZI MMOJA WA KAMPUNI YA LAKE  SECURITY AMEUAWA KWA KUPIGWA RISASI TUMBONI KISHA KUTOKEA MGONGONI NA MLINZI MWENZAKE BAADA YA KUZUKA UGOMVI KATI YAO WA KUDAIANA …

Read More »

Vodacom Yadhamini Na kutoa Vifaa Vya Mawasiliano kwa Wapandaji Wa Mlima Kilimanjaro, Yumo Afisa Mtendaji Mkuu Wa Samsung Africa

No 2

Washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa muasisi na rais mstaafu wa taifa la Afrika Kusini ijulikanayo kama Trek4Mandela wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kupanda mlima Kilimanjaro. Zoezi hili hufanyika kila mwaka kwa udhamini wa kampuni ya Vodacom na pesa zinazokusanywa …

Read More »

Ndege Adimu Duniani Hatarini kutoweka Nchini

most-beautiful-and-colorful-bird-in-the-world-peacock-003

Na Amed Mahmoud Arusha Zaidi ya aina 20ya ndege adimu duniani wanaopatikana hapa nchini ambao  ni kivutio cha utalii ,wapohatarini kutoweka iwapo jitihada za maksudi hazitafanyika kuhakikisha mazingira yao yanalindwa nakuhifadhiwa. Akiongea kwenye Mkutano Mkuu wa kwanza wa taasisi ya uhifadhi wa utalii wa Ndege(Nature Tanzania)Jiji Arusha, mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ,John Salehe,amesema kuwa hapa nchini kuna zaidi ya Makundimbalimbaki ya aina za ndege wapatao 1070 nchini wanaosaidia kukuza utalii wa ndege hapa nichini. Amesema kuwa sekta ya utalii wa ndege imekuwa ukiingiza fedha za kigeni kwa watalii wanaoingia hapanchini katika maeneo ya Misitu ambayo hayapo ndani ya hifadhi zilizopo na itasaidia kukuza utalii wa ndege. Hapa nchini watalii wengi wanaokuja wanataka kuona ndege adimu duniani ambao ni zaidi ya aina 70 wasiopatikana  katika nchi yoyote duniani. Kwa upande wake kiongozi wa Utalii wa ndege Antony Rafael kutoka kampuni ya Tanzania Birding and Beyond co.LTD amesema  maeneo mengi yaliyopo ndani ya uhifadhi wamebaini Ndege zaidi ya 20 wapo hatarini kutoweka Aidha amesema wapo Ndege adimu …

Read More »

ERNEST SUNGURA ATEULIWA KIONGOZI MKUU VYOMBO VYA HABARI VYA CCM

unnamed

Kuongoza mageuzi makubwa ya vyombo hivyo: Ni baada ya kufanya maboresho makubwa katika tasnia ya habari nchini . Na Derek Murusuri, Dar Es Salaam USEMI maarufu katika vitabu vifakatifu kuhusu jiwe lililokataliwa na waashi kuwa jiwe kuu la pembeni, unasadifu uteuzi wa gwiji la habari nchini, Ernest Samson Sungura, kuongoza …

Read More »

KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO (SDA) LA KATA YA IYUMBU MKOANI SINGIDA LAPATA VYOMBO VYA MUZIKI KUPITIA HARAMBEE YA MBUNGE

1

   Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu (katikati), akisalimiana na waumini wa Kanisa la Waadventista Wasabato (SDA) la Kata ya Iyumbu wakati akiingia katika kanisa hilo kuendesha harambee ya changizo la kupata vyombo vya muziki vitakavyotumika kumtukuza mwenyezi mungu. Harambee hiyo ilifanyika jana katika kanisa hilo lililopo …

Read More »

DK.MABODI ATAKA WATOTO YATIMA KUTHAMINIWA

IMG_1736

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdulla Juma Saadalla Mabodi akizungumza na Watoto yatima wanaolelewa na Kituo kinachomilikiwa na shirika la Direct AID, kilichopo Ijitimai ya zamani Mwanakwerekwe. MKURUGENZI wa shirika Direct AID, Ndg.Ayman Mohamed akielezea mikakati ya shirika hilo katika kusaidia masuala mbali mbali ya kijamii. NAIBU Katibu …

Read More »

CDE LUBINGA AENDELEA NA ZIARA YA KAMPENI MTWARA VIJIJINI

IMG-20180806-WA0053

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CDE Ngemela Lubinga ameendelea na ziara yake ya kampeni katika wilaya ya Mtwara vijijini katika kata za Nanguruwe na Malingu. Katika ziara yake hiyo ya kampeni cde Lubinga ameendelea kuwashukuru wananchi kwa kuweza kumchagua  Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri …

Read More »

WAZIRI LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA MAKAMPUNI BINAFSI YA ULINZI, ASEMA YANAAJIRI VIKONGWE, ATOA MWEZI MMOJA KUJIREKEBISHA KABLA YA WIZARA YAKE HAIJAANZA UHAKIKI

PIX 1 (2)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa Mji wa Bunda, mkoani Mara katika Mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Stendi ya zamani mjini humo. Waziri Lugalo aliyatuhumu baadhi ya makampuni binafsi ya ulinzi nchini kwa kuajiri wazee wasiojiweza (vikongwe) ili walinde katika ofisi mbalimbali, …

Read More »

TETEMEKO LA ARDHI LAUA WATU 82 INDONESIA

indonesia

Watu takribani 82 wamefariki dunia kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea kwenye kisiwa cha Lombok nchini Indonesia. Serikali nchini Indonesia kupitia maafisa wa idara ya kudhibiti majanga imesema mamia ya watu wamejeruhiwa vibaya kutokana na tukio hilo lililotokea jana Jumapili. Tetemeko hilo lenye nguvu ya 7 kwenye vipimo vya Richter limeharibu …

Read More »

UN yakabidhi mipira Yes Tanzania kufundishia SDGs

2 (2)

 Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mipango ya Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya YES, Kenneth Simbaya (kulia) mipira itakayotumika kufunza vijana kuhusu SDGs na wajibu katika hafla …

Read More »

SERIKALI YATOA SHILINGI MILIONI 500 KWA AJILI YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIJIJI CHA MAKUNGU MKOANI SINGIDA

mbunge kingu

   Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu, akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Makungu katika mkutano wa hadhara uliohusu miradi ya maendeleo ukiwemo wa ujenzi wa kituo cha afya kitakacho gharimu sh.milioni 500 zilizotolewa na serikali uliofanyika wilayani Ikungi mkoani Singida jana.  Wananchi wakifuatilia mkutano huo.  Katibu wa …

Read More »

Mwanamuziki Saidi Kanda na Mvula-Mandondo Band kutingisha onyesho kubwa la International African Festival Tübingen, Germany 2018

Mvula-Mandondo Band chini ya uongozi wa Saidi Kanda wenye makao ya nchini Uingereza wanasifa za kimataifa katika majukwaa

  Ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Mvula-Mandondo Band yenye makao yake nchini Uingereza,inayoongozwa na mwanamuziki mkongwe wa dansi mtanzania Saidi Jumanne Kanda aliyewahi kutamba na bendi za Super Matimila, na Bima Lee. mkongwe huyo wa muziki anakiongoza kikosi chake cha Mvula-Mandondo Band katika jukwaa kubwa …

Read More »