Monday , February 18 2019

Home / 2018 / August / 07

Daily Archives: August 7, 2018

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AHIMIZA WAKANDARASI KUUNGANA

????????????????????????????????????

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bi. Anna Mngwira, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa (wa pili kushoto) kuhusu hali ya miundombinu ya barabara katika mkoa huo wakati Naibu Waziri huyo alipomtembelea Ofisini kwake. Wa kwanza Kushoto ni Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), Mkoa wa …

Read More »

DKT TIZEBA AWATAKA WAFANYABIASHARA KUPUNGUZA BEI ZA MBEGU

DSC_0342

Waziri Wa kilimo Mhe Dkt Charles Tizeba akikagua vipando vya Pamba mara baada ya kutembelea maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kanda ya Ziwa Magharibi katika viwanja vya Nyamhongolo Jijini Mwanza, Leo tarehe 7 Agosti 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal-Wizara ya Kilimo) Waziri Wa kilimo Mhe Dkt …

Read More »

NANE NANE ISINGOJE MWEZI WA NANE-SERIKALI

2

Waziri wa Nchi OR TAMISEMI, Mhe. Seleman Jafo akizindua muongozo wa maandalizi ya kilimo kwa ngazi ya Wilaya Waziri wa Nchi OR TAMISEMI, Mhe. Seleman Jafo, akihutubia kabla yakuzindua muongozo wa kilimo kwa ngazi ya Wilaya. Mark Tanda Ofisa TEHAMA, akitoa Maelezo kwa Waziri wa Nchi alipofika katika Banda la …

Read More »

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AMJULIA HALI WAZIRI KIGWANGALLA

04 (1)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7, Agosti 2018 amemtembelea Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kingwangalla aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam ambapo alimjulia hali na kumpa pole kufuatia ajali ya gari aliyoipata Agosti …

Read More »

MWAKILISHI WA JIMBO LA TUNGUU ZANZIBAR MHE. SIMAI MOHAMMED SAID AKABIDHI CHETI CHA SHUKRANI KWA UONGOZI WA SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR

MWAKILISHI

  Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Bima Zanzibar Ndg. Abdulnasir Ahmed Abdurahaman akiwa na mgeni wake Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said wakielekea chumba cha mkutano wakati wa mkutano wake wa kutowa shukrani na kukabidhi Cheti cha shukrani kwa kuthamini mchango wao kusaidia Wananchi wa Jimbo …

Read More »

VODACOM YAZINDUA HUDUMA MPYA INAYOMWEZESHA MWANANCHI KUFANYA MALIPO KWA MFUMO WA SERIKALI WA KIELEKTRONIKI

02

Mkuu wa Kitengo cha Mwendelezo wa Biashara ya M-Pesa, Vodacom Tanzania Plc,Polycarp Ndekana (katikati ) Mhasibu wa Fedha  wa RITA, Audiface Cresence (Kushoto) na Afisa Mwandamizi wa Tehama  Wizara ya Fedha , Benard Mabagala wakiwaonyesha waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) vipeperushi vinavyoonyesha   jinsi ya kujiunga na …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

m (6)

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi  Alinikisya Cheyo, aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, …

Read More »

NEC YATANGAZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA 21

Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt. Athumani Kihamia. Hussein Makame, NEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 21 za mikoa 10 ya Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 16 Septemba mwaka huu. Akitoa taarifa ya uchaguzi huo jijini Dar es …

Read More »

Kumekucha Ligi ya Italia (Serie A) sasa yarejea DStv!

3

Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania Bw. Alfa Mria akizungumza mbele ya waandishi wa habari wakati akitangaza uzinduzi wa Msimu mpya wa Soka. DStv ilitangaza kurejea kwa ligi ya Italia Serie A msimu huu.   Meneja Masoko wa MultiChoice Tanzania Alpha Mria akizungumza wakati wa uzinduzi wa Msimu mpya wa Soka. …

Read More »

TRA yaelimisha wadau wa sekta ya kilimo Maonesho ya Nane Nane

????????????????????????????????????

Na Mariam Mwayela- Nyakabindi-Simiyu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya kodi katika sekta ya kilimo kwa wananchi wa Mkoa wa Simiyu na vitongoji vyake pamoja na Mikoa ya Arusha, Mwanza, Morogoro, Mbeya, Tabora na Lindi ambao wanatembelea banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania katika Maonesho …

Read More »

RAIS MAGUFULI ANAYAFANYA YOTE KWA NIABA YETU WATANZANIA

MAGUFULI

      Na Emmanuel J. Shilatu   Watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele kwani Mwenyezi Mungu ametupenda zaidi kwa kutupatia Rais John Magufuli ambaye ukitazama matendo, kauli na maisha yake yanaonyesha amejitoa kwa ajili ya Watanzania. Dkt. Magufuli ni Rais wa kipekee ambaye amekataa kabisa kupanda ndege …

Read More »