Monday , September 24 2018

Home / MICHEZO / MATUKIO KATIKA PICHA MAZOEZI YA YANGA MKOANI MOROGORO NI BALAA

MATUKIO KATIKA PICHA MAZOEZI YA YANGA MKOANI MOROGORO NI BALAA

1 2

Kikosi cha Yanga kipo mjini Morogoro kikiendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger.

3

Yanga itashuka dimbani Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Agosti 19 2018 kumenyana na Alger kutoka Alger wakiwa na kumbukumbu mbaya katika mechi ya mkondo wa kwanza.

4

Yanga iliruhusu mabao manne kwa sufuri huko Algiers, Algeria na mpaka sasa ikiwa ina alama moja pekee katika kundi ambalo timu zingine zilizopo ni Rayon Sports ya Rwanda na Gor Mahia FC ya Kenya.
5
Kuelekea mechi hiyo, Kocha Mkongomani, Mwinyi Zahera, anaamini Yanga wanaweza wakafanya vizuri dhidi ya wapinzani wao.
Zahera ana imani hiyo kulingana na mazoezi anayowapa vijana wake akizingatia kufanyia marekebisho juu ya mapungufu kadhaa ambayo yamejitokeza katika mechi zilizopita za mashindano hayo.

About Alex

Check Also

42468009_697277200652061_2373146357922791424_n

TAMBWE AING’ARISHA YANGA APIGA BAO MBILI,IKIITANDIKA SINGIDA UNITED 2-0 MECHI YA LIGI KUU

Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga SC imerudi kileleni mwa Ligi Kuu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

nine + twelve =