Monday , September 24 2018

Home / MICHEZO / MATUKIO KATIKA PICHA: WACHEZAJI SIMBA WATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DSM

MATUKIO KATIKA PICHA: WACHEZAJI SIMBA WATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA DSM

IMG_3582

Taasisi ya Mo Dewji kwa kushirikiana na klabu ya Simba wametoa msaada wa viti vya walemavu, vyakula, vinywaji na sabuni kwa kituo cha kutunza watoto yatima wenye ulemavu cha Watoto Kwanza kilichopo Kawe jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Rabi Hume

IMG_3593 IMG_3594 IMG_3597

About Alex

Check Also

42468009_697277200652061_2373146357922791424_n

TAMBWE AING’ARISHA YANGA APIGA BAO MBILI,IKIITANDIKA SINGIDA UNITED 2-0 MECHI YA LIGI KUU

Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM TIMU ya Yanga SC imerudi kileleni mwa Ligi Kuu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

three × five =