Tuesday , March 26 2019

Home / 2018 / August / 08

Daily Archives: August 8, 2018

BREAKING NEWSSSS: MZEE KINGI MAJUTO AMEFARIKI DUNIA MUHIMBILI

images

Tutawaletea taarifa zaidi kadiri tutakavyozipokea kuhusu msiba wa Mzee Amri Athuman’ King Majuto’ aliyefariki jioni hii katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa akitibiwa ugonjwa wa Tezi Dume, Hivi Karibuni Mzee Majuto alipelekwa nchini India kwa matibabu zaidi na baadaye alirejea nchini na kupelekwa moja kwa moja …

Read More »

MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA AZUNGUMZA NA BALOZI WA CHINA

index

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Philip Mangula  amekutana na kuzungumza na Balozi wa China nchini komredi Wang Ke  nchini Tanzania katika kutekeleza falisafa ya “Hapa Kazi tu” kwa kukutana na kufanya mazungumzo na balozi huyo katika  ofisi ndogo za CCM Lumumba Dar es salaam. Akimkaribisha Balozi wa China ofisini …

Read More »

HUYU HAPA MRITHI WA RAIS CONGO, JOSEPH KABILA

MRITHI

RAIS WA CONGO, JOSEPH KABILA Sasa ni rasmi kwamba Rais Joseph kabila wa Congo hatowania tena urais na kwamba chama chake kimemchagua Emmanuel Ramazani Shadari kuwa mrithi wake na mgombea wa uchaguzi wa urais unaotarajiwa kufanyika mwezi Disemba. Tayari  Ramazani amewasilisha stakhabadhi zake za kuwania urais kwa tume ya ya …

Read More »

MICHEZO YA MAJESHI YA POLISI YAENDELEA KUSHIKA KASI DAR

3 (2)

Na. Jeshi la Polisi.  Michezo ya Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki (EAPCCO)  imeendelea kupamba moto huku Tanzania ikiwa imepata medali ya dhahabu katika mbio za mita 5000,Fedha moja na Shaba tano katika mchezo wa Karate. Mwanariadha Fabian Nelson ndiye aliyefungua pazia kwa kuipatia Tanzania medali ya dhahabu baada …

Read More »

KAMISHNA TRA AWAASA WAKULIMA, WAFANYABIASHARA KUTUMIA MASHINE ZA EFD

_DSC0002

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Bw. Charles Kichere akimkabidhi mfanyabiashara wa Simiyu Bw. Saidi Mussa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN) na mashine ya kutolea risiti za kielektroniki. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Bw. Charles Kichere akijadili jambo na Bi.Magdalena Faustine Shirima, Afisa kutoka Kliniki ya Biashara Tanzania(TanTrade) …

Read More »

BITEKO ATOA MAAGIZI MAZITO MGODI WA MAGAMBAZI WILAYANI HANDENI

IMG_20180807_123822_3

Serikali yamjia juu mwekezaji katika mgodi wa CANACO,ulipo  Magambazi, kwa kukiuka Sheria ya Madini.  Na Zuena Msuya, Tanga Serikali imeiagiza Tume ya Madini Tanzania, kutoa hati ya makosa kwa Kampuni ya Canaco inayomiliki leseni ya Uchimbaji Madini wa Kati  iliyopo katika Kijiji cha Magambazi Wilayani Handeni Mkoani Tanga, na kuzuia …

Read More »

RC HAPI AKUTANA NA VIONGOZI WA DINI MKOA WA IRINGA

IMG-20180808-WA0038

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Salum Hapi jana amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali mkoani Iringa. Katika mkutano huo Mhe. Hapi amewaelezea viongozi wa dini kama kundi muhimu katika jamii ambalo lina mchango mkubwa. Hapi amewaomba viongozi hao kumpokea, kumuombea, kumpa ushirikiano na …

Read More »

MSAJILI WA MASHIRIKA YASIYO YAKISERIKALI ATEMBELEA KIKOSI KAZI KINACHOPITIA RASIMU YA SERA YA MASHIRIKA YASIYO YAKISERIKALI MJINI ARUSHA

PIX NO 5

Katibu mkuu  baraza la mashirika yasiyo ya kiserikali Bwana Ismail Suleiman(Kulia) akiwa pamoja na Msajili wa mashirika yasiyo yakiserikali Bwana  Marcel Katemba  wakisikiliza kwa makini taarifa fupi inayotolewa na  mshauri muelekezi  mpema hii leo mjini Arusha. Mshauri muelekezi  Bwana Harold Sungusia Akitoa taarifa kwa ufupi  mbele ya Msajili wa  Mashirika …

Read More »

WAKILI MWESIGWA: WAZEE CHUKUENI HATUA MNAPOONA UONGOZI WA CCM UNAYUMBA

mwesiga

Na Mwandishi Wetu Wazee wameshauriwa kutokaa kimya na badala yake kuchukua hatua madhutubi wanapoona uongozi unayumba katika kusimamia uhai na utekelezaji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo yao. Ushauri huo ulitolewa juzi na Mwanasheria wa CCM, Wakili wa Kujitegemea Mwesigwa Zaidi wakati akizungumza kwenye kikao cha Wazee, katika Tawi la …

Read More »

MBUNGE AWATAKA WANACCM NA WANANCHI SINGIDA KUMPA HESHIMA RAIS MAGUFULI

SIN

  Mbunge wa Singida Magharibi, Mheshimiwa Elibariki Kingu (kulia), ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Kata ya Unyambwa Wilaya ya Singida mjini, Abdulazizi Hamisi Labu, akihutubia wananchi na wana CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika  katika Viwanja vya Kitongoji …

Read More »

KIWANJA CHA NDEGE CHA SIMIYU CHA KIPEKEE-RC MTAKA

mtaka

Na Mwandishi Wetu, Simiyu KIWANJA kipya cha ndege cha mkoa wa Simiyu kinachotarajiwa kuanza kujengwa baadaye mwaka huu kitakuwa cha kipekee kwa kuwa ndio cha kwanza cha serikali kuwa karibu na mbuga ya wanyama, imeelezwa. Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka amesema hivi karibuni alipotembelea banda la maonesho …

Read More »