Thursday , February 21 2019

Home / 2018 / August / 09

Daily Archives: August 9, 2018

Msimu mpya wa Premier League na DStv

Full Shangwe-01-1

Baada ya Msimu wa Kombe la Dunia kuisha tunarudi kwenye ratiba yetu rasmi ya Soka la Kibabe la Ligi ya EPL. Wanaotufungulia dimba Ijumaa hii ni mechi kati ya Manchester United dhidi ya Leicester City. Wazee wa kazi wanasema biashara asubuhi, je wabingwa hawa wataanzaje msimu huu? MAJIBU tutayapata Ijumaa …

Read More »

WASANII WAJITOKEZA KUMUAGA MZEE MAJUTO

12

Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz (mwenye kanzu nyeupe) akibeba jeneza la mwili wa aliyekuwa nguli wa filamu za uchekeshaji nchini, Amri Athumani ‘King Majuto’ baada ya kumalizika kwa shughuli ya kuuaga mwili wake iliyofanyika leo tarehe 9 Agosti, 2018 kwenye viwanja vya Karim Jee vilivyoko …

Read More »

JAFO AAGIZA MAFISADI BIHARAMULO WASHUGHULIKIWE

sele

      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akiongea na wananchi wa Nyakanazi Mkoani Kagera.  Baadhi ya vifaa kwaajili ya kituo cha afya Nyakanazi ambavyo vitawekwa katika kituo cha afya Nyakanazi  Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na usalama wa wilaya …

Read More »

WAGOMBEA 26 WAJITOKEZA KUIRITHI MIKOBA YA RAIS KABILA

ramadhani

Mgombea wa chama tawala nchini Kongo PPRD, Emanuel Shadari anayeungwa mkono na Rais Joseph Kabila. Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kongo imeorodhesha majina ishirini na sita ya wagombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Katika orodha hiyo, wagombea huru waliojitokeza katika kinyang’anyiro hicho ni 16 wakati wa vyama wakiwa …

Read More »

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS ISSA HAJI USSI(GAVU)AONGOZA UJUMBE WA ZANZIBAR KATIKA KIKAO NA WATAALAMU WA NCHI ZA FALME ZA KIARABU(UAE)

DSC_1161

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi  akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kumaliza Mkutano uliowakutanisha  Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar  na  Ujumbe wa Wataalamu kutoka Nchi za Falme za Kiarabu kuhusiana na mambo mabalimbali  na sekta mbalimbali ambazo wanaweza kusaidia mkutano uliofanyika Hoteli …

Read More »

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA UMEPUNGUA KUFIKIA ASILIMIA 3.3

2 (8)

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Jamii Bw. Ephraim Kwesigabo akitoa taarifa ya hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi Julai 2018 leo Jijini Dodoma ambapo mfumuko huo umeshuka kwa asilimia 3.3 kwa mwezi Julai 2018 ikilinganishwa na asilimia 3.4 kwa mwezi June 2018. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWAONGOZA MAMIA YA WANANCHI KATIKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE AMRI ATHUMAN ‘KING MAJUTO’ KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

1 (4)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) Rais wa …

Read More »

WAZIRI NDALICHAKO AZINDUA BARAZA LA UONGOZI LA NACTE

NDALICHAKO 1

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Baraza la Uongozi la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) iliyofanyika leo tarehe 9, 2018 jijini Dar es Salaam. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako (wa pili kutoka kulia) akiwa …

Read More »

HALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO YA KILIMO KWA VIJANA

MAVUNDE SIKU YA VIJANA

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana, Mh. Anthony Mavunde, akisisitiza jambo kuhusu siku ya kimataifa ya vijana duniani ambayo itaadhimishwa kitaifa mkoani Arusha tarehe 12 Agosti, 2018. Kauli mbiu ya maadhimisho hayo mwaka huu ni “MAZINGIRA SALAMA KWA VIJANA”. Na. Georgina Misama – MAELEZO Halmashauri zote …

Read More »

KIJIJI CHA CHIMBILA B KUSAMBAZIWA MAJI-MAJALIWA

PMO_8170

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. milioni 250 kwa ajili ya usambazaji wa huduma ya maji safi katika kijiji cha Chimbila ‘B’ kichopo kata ya Mnacho. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Agosti 9, 2018) wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Mnacho wilayani Ruangwa akiwa katika siku ya pili …

Read More »

DK.SHEIN KUZUNGUMZA NA UJUMBE WA UAE IKULU ZANZIBAR.

DSC_8697

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya …

Read More »

JAFO AZITAKA HALMASHAURI KUSIMAMIA VYEMA MATUMIZI.

jaf (1)

   Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Selemani Jafo akipata maelezo ya ujenzi wa soko kutoka kwa Mkurugenzi wa mji wa Geita.  Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Magufuli walipotembelewa leo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MADINI ATOA HEKO KWA NFRA KWA ELIMU WANAYOITOA KUHUSU UHIFADHI WA MAHINDI BAADA YA KUVUNA

nfra

  Naibu Waziri wa Madini Mhe Stanslaus Nyongo akisikiliza maelezo kuhusu uhifadhi wa nafaka ya mahindi mara baada ya kutembelea banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula nchini (NFRA) kwenye maadhimisho ya maonesho ya kilimo na sherehe za wakulima Nanenane Kitaifa yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani …

Read More »

UJENZI WA MAHAKAMA NCHINI WASHIKA KASI: MTENDAJI MKUU AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI MARA, KIGOMA, GEITA, BUKOMBE, CHATO NA SIMIYU

4

Hali ya jengo la Mahakama kuu kanda ya Kigoma lilipofikia Mtendaji Wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma Bw. Moses Mashaka akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi mbele ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Hussein Kattanga na Mtendaji wa Mahakama Kuu, Bw. Leonard Magacha. Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Bw Hussein …

Read More »

MKAPA:SERIKALI KUINUA ZAO LA PAMBA

1

Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin Mkapa akizungumza wakati akifunga maonesho ya Kilimo (Nanenane) yaliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Nyakabindi Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe. Benjamin akiwapungia wananchi wakati akitoka kukagua mabanda ya maonesho ya Nanenane viwanja vya  Nyakabindi Wilaya ya …

Read More »

TUME YA MADINI YATOA ELIMU KWA VIONGOZI, MAAFISA WAANDAMIZI

PICHA NA 1

Meneja wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu kutoka Tume ya Madini, Miriam Mbaga akielezea Muundo na Majukumu ya Tume ikiwa ni pamoja na taratibu za uwasilishaji wa taarifa Makao ya Tume, Wizara ya Madini na Mamlaka/Taasisi nyingine kwa viongozi na maafisa waandamizi wanaotarajiwa kufanya kazi kwenye tume tarehe 09 Agosti, …

Read More »