Wednesday , December 12 2018

Home / MCHANGANYIKO / MKAZI WA BOKO JIJINI DAR ES SALAAM AKABIDHIWA GARI MPYA RENAULT KWID TOKA M-PESA

MKAZI WA BOKO JIJINI DAR ES SALAAM AKABIDHIWA GARI MPYA RENAULT KWID TOKA M-PESA

02 (1)

Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto )akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na Pwani, George Lugata  funguo za gari  wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.

04 (2)

Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam, akishuhudiwa na mke wake Frida Saimoni (kushoto )akikabidhiwa na Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam, na Pwani, George Lugata  funguo za gari  wakati wa hafla iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam. Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu.

05 (1)

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu akiongea kwa waandishi wa Habari pamoja na wananchi waliojitokeza kwenye viwanja vya Mwenge jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla kumkabidhi  Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo . Yamebakia magari manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#

08

Balozi wa Miaka 10 ya M-Pesa  Idrisa Sultan, akionge na wananchi waliojitokezwa kwenye  viwanja vya Mwenge  wakati wa hafla ya kumkabidhi mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo mkazi wa Boko  jijini Dar es Salaam. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#

09

Mshindi wa  sita  wa gari  aina ya Renault Kwid  la promosheni ya  kusherehekea miaka kumi ya M-Pesa, Batholomeo Kanjo (watatu kushoto) akitoa ushuhuda njisi alivyoibuka mshindi  wa Promosheni ya M-Pesa  wakati wa hafla kumkabidhi gari  hiyo iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es huku akishuhudiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Jacqueline Materu( kushoto) Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata, Balozi wa M-Pesa Idrisa Sultan, Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota na  Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni. Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00#

07 (1)

 Mkuu wa Vodacom Tanzania Plc, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, George Lugata,(kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 1  mkazi wa Mwenge Samweli Joseph baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya M-Pesa ,  wakati wa hafla kumkabidhi gari    aina ya Renault Kwid  mshindi wa sita Batholomeo Kanjo  iliyofanyika katika Viwanja vya Mwenge jijini Dar es alaam . Yamebakia magari Manne ili kushinda mteja wa Vodacom unatakiwa kutumia huduma ya M-Pesa tu kwa Kupiga *150*00# wapili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mipango Mkakati na Ripoti wa Vodacom Tanzania, Nelusigwe Mwagota Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa M-Pesa Happymark Mbeteni.

About regina

Check Also

2

WAZIRI JAFO AWAPONGEZA TARURA

Waziri Jafo akikagua daraja la Mto Tete wilayani Kisarawe Waziri Jafo akiongea na wananchi wa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

four × three =