Sunday , October 21 2018

Home / MCHANGANYIKO / RAIS DKT. MAGUFULI AWAONGOZA MAMIA YA WANANCHI KATIKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE AMRI ATHUMAN ‘KING MAJUTO’ KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DKT. MAGUFULI AWAONGOZA MAMIA YA WANANCHI KATIKA KUAGA MWILI WA MAREHEMU MZEE AMRI ATHUMAN ‘KING MAJUTO’ KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR ES SALAAM

2 (6)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)

3 (4)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Hamza Amri Athuman mtoto wa marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

4 (3)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Hamza Amri Athuman mtoto wa marehemu Msanii mkongwe wa Vichekesho na Maigizo nchini Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

10

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally akisoma dua kumuombea Marehemu Mzee Amri Athuman “King Majuto katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Mara baada ya dua hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliongoza mamia ya wananchi kutoa heshma za mwisho katika msiba huo.

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuaga Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally baada ya kutoa heshima zake za Mwisho kwa marehemu Mzee Amri Athuman “King Majuto.

3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda wakati akitoa salamu zake za pole kwa waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa marehemu Mzee Amri Athuman “King Majutokwenye ukumbi wa Karimjee leo.

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzikiliza Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally alipokuwa akitoa salamu zake katika tukio hilo la kuaga mwili  wa marehemu Amri Athuman “King Majutokwenye ukumbi wa Karimjee leo.

5

Mkurugenzi wa Kaurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu pia alikuwepo katika tukio hilo.

6

Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Kikwete akitoa heshima zake za mwisho katika Jenreza la mwili wa marehemu Mzee Amri Athuman “King Majuto kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

7

Humphrey Polepole Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa Chama cha Mapinduzi (CCM) akitoa heshima za mwisho kwa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

8

Meya wa Jiji Mh. Isaya Mwita akitoa heshima zamwisho kwa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

9

Naibu Waziri wa Wizara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Juliana Shonza akitoa heshima za mwishi kwa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

10

Mke wa Marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto pamoja na wanafamilia wakitoa heshima za mwisho kwa marehemu kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

11

Staa wa muziki wa Bongofleva Naseeb Abdull Maarufu Diamondplatnumz akishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto kutoka kwenye ukumbi wa Karimjee leo mara baada ya shuguli za kuaga kumalizika.

12 13

Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya Karimjee wakati wa kuaga mwili wa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

15

Jeneza lenye mwili wa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto likiwa kwenye ukumbi wa Karimjee leo.

16

Jeneza lenye mwili wa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto likiingizwa kwenye ukumbi wa Karimjee leo

17

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Juliana Shonza akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee akiongozana na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Bi Joyce kushoto na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi.

18

Gari lililobeba mwili wa marehemu mzee Jeneza lenye mwili wa marehemu mzee Amri Athuman “King Majuto likiwasili  kwenye ukumbi wa Karimjee leo

19

Baadhi ya wasanii na waombolezaji mbalimbali waliohudhuria wakati wa kuaga mwili wa marehemu mzee  Amri Athuman “King Majuto  kwenye ukumbi wa Karimjee leo

20 21 22

 

About regina

Check Also

3

Matukio Katika Picha Tamasha la Wajasiriamali wanawake Jijini Dodoma

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Bi. Roida Andusamile akisisitiza …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eleven − six =